Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

Ndugu yangu niko Ujerumani huku kuna madogo wana miaka 17 wanafanya kazi Sehemu mbili na wanasoma chuo. Wanafunzi foreigners visa yao wanatakiwa kufanya kazi 20 hrs per week. Madogo wa Kijerumani hata wasipofanya kazi serikali inawalipa, ila madogo wanakaza kuliko vijana waliokuja kusoma aisee. Mwanzo mgumu ila ukiamua vitu vitakuwa vilaini.
Hao madogo ni wakuja au wazawa?
 
Mkuu mimi natoka kwangu saa10:30 asubuhi narudi saa1 usiku. Kwa siku 7 naanza tena kwenda saa 10:30 jioni narudi saa1 asbh kwa siku7 halafu mapuziko siku saba

Hapo unasafiri siku2 hadi kwako na kurudi kazini siku2 je utafanya kazi gani?
Hizo siku unazo anza kurudi saa 1 asubui ndio mtaji wako, tumia nusu saa au saa 1 utaona cha kufanya.
 
Mkuu mimi natoka kwangu saa10:30 asubuhi narudi saa1 usiku. Kwa siku 7 naanza tena kwenda saa 10:30 jioni narudi saa1 asbh kwa siku7 halafu mapuziko siku saba

Hapo unasafiri siku2 hadi kwako na kurudi kazini siku2 je utafanya kazi gani?
Nunua mashine ukodishe, fungua salun, bas hata tengeneza vile vibanda vya chuma ukodishe n.k

Hyo mida ya jion unapitia hesabu
 
Baada ya kugundua kwenye utu uzima PESA na KAZI ndio BABA'KO ndio MAMA'KO mjini.
 
Hivi kuajiriwa na biashara bora nini?

Nikisema biashara namaanisha hizi za chini kabisa mtaji kuanzia 100k hadi 500k
 
Pesa zinaflow zenyewe kwa vile napiga kazi ,hakuna kinachonisukuma hata siku moja ...
 
Hivi kuajiriwa na biashara bora nini?

Nikisema biashara namaanisha hizi za chini kabisa mtaji kuanzia 100k hadi 500k
Ajira ni mtaji usioisha mkuu, so ukipata chance ya kuajiriwa ni best zaidi...

Baada ya hapo, tengeneza tawi la biashara, ( so kwenye biashara hapa hata kama mtaji utayumba gafla, bado utakuwa na backup ya mtaji kutoka kwenye salary ya kudumu.

1. Ingawa kitu cha msingi zaidi ni heshima ya pesa ndo inahitajika sana sana.

2. Ukiona biashara yako inakuingizia faida mara mbili ya mshahara unapokea serikalini, unahaki ya kuacha pia then unaendelea kuendesha biashara yako,
 
Back
Top Bottom