Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

Narudia no one is busy we just differ in priorities, kitu kikiwa muhimu kwangu naki fanya hata kama the odds are against me.

saa 10 mbona badi mapema mkuu?, kuna kipindi nilikuwa nina session 4 za mishe zangu.

Saa 11 asubui hadi saa 3, saa 3 hadi saa 8, 8 - saa 12 , saa 12 -4.

Bado Nilikuwa active jf, hadi trudie ali wahi uliza nalala Saa ngapi 🤣 😂.

Kuibiwa haku epukiki, ina tegemea na muhusika Ume jipanga vipi.
🤣🤣🤣🤣🤣 nakumbuka kipindi kile muda wote upo active na usiku tupo wote kwenye thread ya usiku wa manane.....kweli kabisa bro PRIORITIES hapo umemaliza kila kitu
 
Mfano umeajiriwa unatafutaje pesa kwa bidii?
Kuajiriwa ni kilema na wengi walioajiriwa wakirudi mtaani wanakuwa na maisha magumu sana na wengi unakuta jawajaweka mifumo ya kupata kipato kama umeajiriwa kuwa makini sana weka mifumo ya kukupatia kipato ukiwa kazin ukishatoka uwe na mwendelezo mzur wa maisha
 
Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
Mimi nilisimangwa na baamedi kwa sauti kubwa nitafute hela mbele za watu kisa nilimlalamikia anatumia muda mrefu kutuhudumia. Nilizuga lakini moyoni iliniuma sana. Nashukuru niko mahala pazuri na nilishakutana naye nikampa hela ya soda ya kutosha no hard feelings alinipa somo siku ile.
 
Kuajiriwa sio gereza kusema una shinda humo siku nzima, no one is busy we just differ in priorities.

uki toka kazini saa 8 au 10 jaribu kupanga hustle zako nyingine, kasome na jifunze kuhusu leverage.
Mkuu mimi natoka kwangu saa10:30 asubuhi narudi saa1 usiku. Kwa siku 7 naanza tena kwenda saa 10:30 jioni narudi saa1 asbh kwa siku7 halafu mapuziko siku saba

Hapo unasafiri siku2 hadi kwako na kurudi kazini siku2 je utafanya kazi gani?
 
Nimekuelewa lakini ni ngumu, yani utoke kazini saa kumi uingie mtaani kufanya kazi utafute pesa? Unapumzika saa ngapi kujiandaa na kesho job? Ukisema ufungue biashara umuweke mtu ndio unakula za uso kwasababu naamini biashara inakuhitaji wewe mwenyewe mda mwingi.
Ndugu yangu niko Ujerumani huku kuna madogo wana miaka 17 wanafanya kazi Sehemu mbili na wanasoma chuo. Wanafunzi foreigners visa yao wanatakiwa kufanya kazi 20 hrs per week. Madogo wa Kijerumani hata wasipofanya kazi serikali inawalipa, ila madogo wanakaza kuliko vijana waliokuja kusoma aisee. Mwanzo mgumu ila ukiamua vitu vitakuwa vilaini.
 
Kuajiriwa ni kilema na wengi walioajiriwa wakirudi mtaani wanakuwa na maisha magumu sana na wengi unakuta jawajaweka mifumo ya kupata kipato kama umeajiriwa kuwa makini sana weka mifumo ya kukupatia kipato ukiwa kazin ukishatoka uwe na mwendelezo mzur wa maisha
Hujakosea mkuu naandika reply hii nikiwa kazini natumikishwa hapa. Nimeacha mke wangu jamani na watoto
Kuja kutumikishwa aseee inauma sana🥲🥲😬😬😬😂😂
 
Back
Top Bottom