Nilidhani Nimepoteza Kumbe Kuna Vingi Vimebaki.

Joined
Jul 8, 2024
Posts
19
Reaction score
37
Jana saa kumi jioni nilihisi kuchoka na kama kukata tamaa vile,

Na kuona mbona ni kama najitahidi kupambana na ninarudishwa nyuma,

Yaani ni kama kuna nguvu zinanifanya nisipige hatua na hata mimi sioni ni nguvu zipi,

Tukio lililonifanya nifike hapa ni swala la dharura ambalo lilinifanya nitumie pesa yote niliyoweka ya akiba,

Na nilikuwa na mipango nayo kweli hiyo pesa na basi dharura ni dharura ikabd pesa itumike,

Lakini nikaa na kufikiria kuhusu swla hili na nikakumbuka kitabu kimoja nilisomaga kuhusu matumizi ya mida,

Mwandishi aliandika "usijiulize ni muda gani umepoteza ila jiulize umebakiwa na muda gani na unatakiwa kuutumiaje?"

Ndipo na mimi nikajiuliza "Hivi nimebakiwa na nini?"

Ni kweli nimetumia akiba yote

Lakini sio kwamba nimeachwa tupu kwamba kesho siwezi kuamka na kupambana,

Nguvu na akili zangu hazijaondoka pia bado ninazo,

Sasa kwa nini nianze kulaumu? Na huku kuna vitu vingi zaidi vimebaki?

Hili ni jambo muhimu sana kwa kila mtu

Maana mara nyingi huwa tunapuuza vile vichache vilivyobaki kwa sababu ya vile vingi vilivyoondoka,

Na kwa bahati mbaya tusichojua ni hiki

Hakuna ambaye anaachwa bila kitu,

Ujue hata huo uzoefu yani kumbukumbu kwamba niliweka akiba na dharura ilitokea akiba yote ikaenda,

Ni muhimu sana kunisaidia kwenye kupambana,

Mana kwa ufupi natakiwa kuhakikisha naongeza bidii ya kupambana

Au hata wakati mwingine kuangalia namna bora zaidi ya kushughulikia dharura kuliko kutoa akiba

Hivyo mpendwa,

Kama unajiona upo kwenye hali isiyoeleweka

Au huko mbele ukijiona kwenye hali kama hiyo

Kupata vitu na baadae kupotea

NI vema kujiuliza "Umebakiwa na nini?"

Na hicho kilichobaki kitumie kupata kila kitu kilichopotea,

Na ni ngumu kupoteza mara nyingine kwa sababu tayari ushajua chanzo cha kupotea vitu mara ya kwanza.

Wewe unasemaje kuhusu hili?
 
Nondo imenyooka sana hii 🙏
 
Nimekupata mkuu! time is money...

Umeongea hali iliyonikuta jana kabisa
 
Umeongea jambo kubwa sana mkuu. Mara nyingi tunahesabu tulichopoteza mpaka tunasahau tulichobakiwa nacho. Akiba inaweza kuisha, pesa inaweza kupotea, lakini kama bado una afya, akili, nguvu na uzoefu, bado una mtaji wa kuanza tena. Muhimu ni kujifunza kilichotokea na kutorudia kosa lilelile.
 
Back
Top Bottom