Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Nimetoka kulia kwenye msiba wa mama ake mkubwa walikua wanaaga asubuhi. Nimelia hadi kubembelezwa.
Hapa nasubiri uchi akitoka mazikoni
Hapa nasubiri uchi akitoka mazikoni
Nakuchek pm kuna ishuZina nguvu kwako, jisemee mkuu.
Nihonge Mimi alafu uone namna dunia utakavyoiona pepoMimi ni shahidi kwenye hili, Kwanini mara nyingi nyie wadada, tukiwahonga pesa na kuwaonesha upendo wa kweli, mnatupiga na vitu vizito kichwani na kutuona mafala, Yani utakuta labda unavunja benki na kujitutumua, unamnunulia mdada kitu fulani kwa upendo, halafu hapo hapo anakujibu kunya na kwa ukatili, hivi huo ni u-lusifa, au ushetani wa aina gani? Kama humpendi Mtu atleast kuwa gentle and honest about it.
Nimekuja gundua binadamu mwanamke na hata sisi wanaume, hajali ni jinsi gani unampenda, bali anajali kipi anafaidika toka kwako kipesa au anakupenda vipi, nimegundua hata nikihonga gari, nikiandika sms refu kila siku kama gazeti ya kuonyesha nampenda, nikibembeleza, nikipiga simu kila mara na kumfuata fata mwanamke, kama huyo mwanamke hanipendi hio ni kazi bure, kwahiyo sahivi sijichoshi kuonyesha upendo, natongoza Muda mfupi baadae napita hivi.. Espy Atoto Yna2 Kelsea mawardat mzabzab Extrovert
Tuache kuwa na wanaume bahili..😂Nipo hapa mamii
[emoji23][emoji23] sawa sawaTuache kuwa na wanaume bahili..[emoji23]
Nikikuhonga utanionesha upendo feki, ili uendelee kunipiga hela, coz kuna uwezekano wa asilimia 90 mimi sio type ya mwanaume unaemtaka kwenye swala la muonekano Yna2Nihonge Mimi alafu uone namna dunia utakavyoiona pepo
Ilikuwa ni LAZIMA udisco chuo, kwa sababu hukujua ulichokifuata kule chuo.Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
😅😅😅😅😅😅Mbavu zanguu!Hawa watu wanatupiga sana sijui tufanyaje.View attachment 2196140
Kwani kumjari mpenz wako ni kumuonga tu pesa hovyo hovyo?Lofa kumjali mpnz wako?
Mkuu Una fikra za kizamani sn.
Aisee sijui labda ila naona sifanani KabisaSeriously, mwonekano wako unaelekeana na wa huyo mdada. Hata videvu vyenu vyafanana
Kumjari ndy nn?Kwani kumjari mpenz wako ni kumuonga tu pesa hovyo hovyo?
Endelea kuchezea pesa siku utakuja kutuomba ushauri apa ukiliaNgoja niwape mkasa wangu
Katika watu wepesi kuhonga ni mimi kipindi sijapigwa na kitu kizito kichwani baada ya kupigwq na kitu kizito akili ili kaa sawa na nikaanza rasimi kuhonga ipasavyo ila kwa utaratibu hata akinipiga na kitu kizito hakuna anaweza fanya zaidi atajiharibia maisha yake ....
huyu nimekaa nae mwaka na miezi kadhaa nikaamua kuwekeza kwake..kwa sbb nimemuona nammudu.
Tv inch 43 laki 700k
friji 620k
dstv 74k na ufundi
mtungi wa gas 95k na kifaa chake
jiko la gas n frame 170k
cmu yake alitoa kiasi nikaongza n S9 + n 100k.
vingine nimesahau kodi ya alipopanga nimemwambia alipe baba yake au atafute anakojua nilimkuta anagodoro na kitanda na baazi ya vitu.
nikifika kwake kama kuna mtu yupo atatolewa lbda rfik zke wawepo kuibiwa kwenye mahusiano kupo hilo halini zuu kufanya maisha.
saivi nafikilia kununua sofa la watu wanne akalie kwa sababu ya tabia yake,uchi hanibanii na anapika vizuri hana usumbufu ila mimi ndio nazingua.
hivyo vitu vyote risiti na mashahidi ninao muda wowote anaweza mpiga na kitu kizito .
Nategemea miezi ijayo nimfanyie sherehe ya kuazliwa kwake nimemuambia sihitaji mchango wowote waje wale wanywe waondoke.
Duh pole sanaMwaka 2011 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja wa chuo cha SAUT anaitwa H jina la Baba linaanzia S..
kwa sasa ni mwalimu wa secondary .
Ni mke wa mtu kwa sasa.
Dada nilimpenda Sana,,
Kipindi hicho kabla ya Mambo ya miamala ya simu.
Nilikuwa namtumia pesa kwenye ACC ya bank.
Nakumbuka niliangalia pay slip za bank zilifika kama 1.8 milioni..
Hizo ni za bank Tu,wacha zile za kumpa cash.
Mwaka fulani nilikuwa Greece nikamtumia euros 300 za matumizi ,
nusu azimie hapo ofisi za western union.
Nilikuwa nikitoka south namtumia kwa basi viatu made from SA pairs 30 auze hapo chuoni ili ajikimu na maisha..
Hizo simu za kila mara blackberry torch, carved/Samsung Corby na HTC ndy kama kawaida kubadilisha.
Na mwisho wa siku,
akanichoma na kitu chenye incha Kali moyoni.,
na kunimalizia kwa kunipiga na kitu kizito kisogoni.
Nilikwenda mwanza mara 2 tulionana mara 1 kwa kisingizio cha discussion.
Nikifikirie zile gharama roho inauma Sana.
Kwa kipindi kile ningenunuwa shamba bunju sasa napiga pesa..
Kwa hii situation mie ningemteka haki ya mungu. [emoji34][emoji34][emoji34]Tena aliniacha kinyama Sana,
Kuna simu yake fulani iliharibika kioo,
ikabidi anipe nimbadilishie kioo,
Baada ya simu kupona, nikagunduwa madudu mengi Sana kwake kupitia phone's sms ambazo zilibaki kwenye simu yake.
Baby mbona Jana nimekuwekea chakula lakini umesusa ?
Najuwa hunipendi Ila mimi nakupenda Sana kuliko mwanaume yeyote..
Hakika wewe ndy chaguo langu.
Moja Kati ya sms zake niliizozikuta kwenye simu yake ,
Kwa kwl niliumia sn..
Nikiangalia hata pesa ya Kodi ya chumba anapoishi nalipa Mimi.
Baada ya kucopy namba ya yule jamaa mlengwa ,,
nikaamua kumpigia simu,
Jamaa akafunguka kwamba hana mipango na yule demu zaidi ya kugegeda tu.
Nikarudi kwa yule mrembo wa chuo kumpigia simu.
Nikamuuliza kuhusu SMS na nimempigia jamaa amekiri kuwa na mahusiano.
Kabla hajakaa simu yangu
Akaniambiya ,,
Sasa Mimi nikusaidiaje kwa Mfano?
Ndy mwisho wa mapenzi yetu hadi sasa mwaka wa 11 sijawahi kumuona hata kwa bahati mbaya.
Niliamua kumuacha tu mkuu,Kwa hii situation mie ningemteka haki ya mungu. [emoji34][emoji34][emoji34]
Shukran sn mkuuDuh pole sana
Bali kumjali ni kufanyaje?Kwani kumjari mpenz wako ni kumuonga tu pesa hovyo hovyo?