Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
More enough anakuambia "sasa mimi nikusaidiaje?", daaah mkuu huna gundu kweli?Kama huwezi kuhonga yabidi uvumilie tu mkuu,
Kudate na wadada wauza miguu ya kuku.
More enough anakuambia "sasa mimi nikusaidiaje?", daaah mkuu huna gundu kweli?Kama huwezi kuhonga yabidi uvumilie tu mkuu,
Kudate na wadada wauza miguu ya kuku.
Pole na hongera ngosha kwa kupigwa blowjobKuna dem jamani alikula sana vihela vyangu sema alikua sio mchoyo alikua akija kukupa mambo lazima usahau shida za dunia ila akaja olewa hata sijui yuko wapi yule manzi .Ila km kula hela alikula sema ni kwa haki kabisa.Alikua akinipiga browjob nalia kisukuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyoko sana ww Husna wangu sijui uko wapi.
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Gundu litoke wapi?More enough anakuambia "sasa mimi nikusaidiaje?", daaah mkuu huna gundu kweli?
Samahani lakin mkuu ivi Huwa unajishughurisha na kazi gani? Siyo kwa ubaya nataka tu nijue.Msitumfanyie hivo jamani, siku tutawaambia mrudishe ila damage ya mbususu pia, kitu inakua mpyaa baada ya kuachana imechakaa mtakua mnalipia uchakavu[emoji23]
Mimi ni mfugaji mkuu, why umekua interested kujua nnachokifanya ?Samahani lakin mkuu ivi Huwa unajishughurisha na kazi gani? Siyo kwa ubaya nataka tu nijue.
Nimejikuta nikipenda tu maana unaonekana uko social sana nahisi wanaenjoy sana workmate wenzako hapo kazini. Lakin kama ni mfugaji kweli bas ni vizuri pia.Mimi ni mfugaji mkuu, why umekua interested kujua nnachokifanya ?
Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Ujanielewa mkuu Soma vzr mm siongo kiboya wakt Nina bint wangu nampilipia mamabilioni kwa mwak mie Bab kae kwa Kaz za kuungaunga200k yote hiyo? Labda viwango vyako viko vizuri,aisee mimi sijawahi mpa mwanamke pesa zaidi ya 50,000 ..
Na hii 50,000 niliwahi mpa mmja tuu kama mtaji Ili aache kuomba omba na vizinga maana huwa nachukia na nakublock.
Kikubwa kwangu kumuhonga mwanamke ni kulipia gesti tuliyowajibikia (shillingi 40,000) na labda na chakula cha shillingi 25,000 ili tupate nguvu ya kutokwa na jsho kitandani.Habari wana JF.
I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.
Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.
Binafsi kitu kikubwa nilichowah kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.
Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.
FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Pole[emoji23]Toyota Vitz,
Na baada ya hapo aliniacha kwa dharau[emoji2298][emoji2298]
Huyo ni malaya tu wa UDSM..Leo Kuna kijan wangu kamu import dent wa udsm lzm laki imtoke mnk inaonekana mtto Ni pisi kali
Sawa,endelea kuhonga[emoji53]Mafuta unajua sio mazuri kwa afya yanaleta magonjwa mengi kama shinikizo la damu,obesity, pressure , magonjwa ya moyo nakadhalika
Kula chakula bila mafuta umefanya jambo la umuhimu my wangu
Ooh ahsante kama unaniona hivo mkuu, afu ni behind the keyboard tu, mtaani huwezi dhania hata kama naongea, si muongeaji sanaNimejikuta nikipenda tu maana unaonekana uko social sana nahisi wanaenjoy sana workmate wenzako hapo kazini. Lakin kama ni mfugaji kweli bas ni vizuri pia.
Niliteleza tu si unajua shetani huyu
Kwahiyo shetani ndiye aliyehonga kidumu cha mafuta?Niliteleza tu si unajua shetani huyu
Noma sana mkuuVijana tuwe makini tusiwekeze kwa mpenzi ni vizur tuwekeze kwa mke hata mkiachana ukimuachia kila kitu siyo mbaya kuliko kuwekeza kwa mtu ambaye hata kwao hawakujui na wewe hupajui
Mmh ya kweli hayo?Ooh ahsante kama unaniona hivo mkuu, afu ni behind the keyboard tu, mtaani huwezi dhania hata kama naongea, si muongeaji sana
Kweli mkuu, afu mimi ni mshamba mmoja siwezi fanana na hiyo avatar banaMmh ya kweli hayo?
Sema unajua huyo mdada kwenye avatar yako, umefanana nae kiasi?