Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Nilienda na Demu Mliman City kabla ya kuingia ndani akaniambia ana hamu ya Pizza nikasema sawa twende, we Elfu 40 ikanitoka kizembe, Demu Kala kipande kimoja kasema kashiba moyoni nikajua Demu hajawai Kula Pizza anajifunzia kwangu au anataka abakize apeke showoff Kwa Rafiki zake, nilivyoona nikachukua nikamwambia twende ghetto akagoma ndipo nikajua nimepigwa hasara hapa, nikachukua pizza Ila nikafungiwa nikasepa zangu nikamwacha aniita niita Tu pale nje

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sometimes we have to show them kuwa na sisi ni vichaaa zaidi yao
 
Upo sahihi kabisa
Ilikuwa ni LAZIMA udisco chuo, kwa sababu hukujua ulichokifuata kule chuo.

Thats why wenzio waliojua kwa nini wapo chuo waliendelea na kumaliza salama.

Watoto wa walalahoi mnatia sana aibu, unasoma kwa boom then unaleta uzembe mpaka kudisco.

Huwa mnaleta mjini ushamba wa mikoani, kuna haja ya ninyi watoto wa walalahoi kupewa semina kabisa.
 
Alinihonga ndoa, nikahonga watoto. Yaliyobaki mengine ni kusaidiana japo kama yey ndio anaendelea kuhonga zaidi huku ndoani[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafsi kitu kikubwa nilichowah kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Gegedo....nilikuwa sitaki kumpa ila kwa kuwa nilitaka msaada kwake nikampa promise nitampa shoo ya kufa mtu akakubali. Baada ya hapo nikampa nguo zangu anifulie (msaada).
 
Nilienda na Demu Mliman City kabla ya kuingia ndani akaniambia ana hamu ya Pizza nikasema sawa twende, we Elfu 40 ikanitoka kizembe, Demu Kala kipande kimoja kasema kashiba moyoni nikajua Demu hajawai Kula Pizza anajifunzia kwangu au anataka abakize apeke showoff Kwa Rafiki zake, nilivyoona nikachukua nikamwambia twende ghetto akagoma ndipo nikajua nimepigwa hasara hapa, nikachukua pizza Ila nikafungiwa nikasepa zangu nikamwacha aniita niita Tu pale nje

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Hapo ulifanya LA maana mzee baba
 
Mkuu acha usinitoneshe vidonda.

Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .

Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kanipa zawad hiyo na mzigo pia ,demu wako mtamu bwana
 
Nilienda na Demu Mliman City kabla ya kuingia ndani akaniambia ana hamu ya Pizza nikasema sawa twende, we Elfu 40 ikanitoka kizembe, Demu Kala kipande kimoja kasema kashiba moyoni nikajua Demu hajawai Kula Pizza anajifunzia kwangu au anataka abakize apeke showoff Kwa Rafiki zake, nilivyoona nikachukua nikamwambia twende ghetto akagoma ndipo nikajua nimepigwa hasara hapa, nikachukua pizza Ila nikafungiwa nikasepa zangu nikamwacha aniita niita Tu pale nje

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Huyo ni mjinga[emoji23],aisee nikiongozana na mtu siwezi muambia aninunulie kitu labda atake mwenyewe,,,,unaweza kosa vitu vizuri kwa tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom