Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Una moyo sana asee.
Wale wanaume wanaofikia kumdhuru mwanamke baadae huishia kwenye majuto.

Samehe tu,,

iwe kama hujawahi kukutana na mwanamke aina hyo.

Wanawake ni Sawa na samaki,,
Wapo wengi baharini /ziwani/mtoni wanasubiri kuvuliwa.
 
Mwaka 2011 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja wa chuo cha SAUT anaitwa H jina la Baba linaanzia S..
kwa sasa ni mwalimu wa secondary .
Ni mke wa mtu kwa sasa.

Dada nilimpenda Sana,,

Kipindi hicho kabla ya Mambo ya miamala ya simu.
Nilikuwa namtumia pesa kwenye ACC ya bank.
Nakumbuka niliangalia pay slip za bank zilifika kama 1.8 milioni..
Hizo ni za bank Tu,wacha zile za kumpa cash.
Mwaka fulani nilikuwa Greece nikamtumia euros 300 za matumizi ,
nusu azimie hapo ofisi za western union.

Nilikuwa nikitoka south namtumia kwa basi viatu made from SA pairs 30 auze hapo chuoni ili ajikimu na maisha..
Hizo simu za kila mara blackberry torch, carved/Samsung Corby na HTC ndy kama kawaida kubadilisha.

Na mwisho wa siku,
akanichoma na kitu chenye incha Kali moyoni.,
na kunimalizia kwa kunipiga na kitu kizito kisogoni.

Nilikwenda mwanza mara 2 tulionana mara 1 kwa kisingizio cha discussion.

Nikifikirie zile gharama roho inauma Sana.
Kwa kipindi kile ningenunuwa shamba bunju sasa napiga pesa..
Pole aisee
 
Mkuu acha usinitoneshe vidonda.

Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .

Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haa haa umenichekesha sana
 
Bali kumjali ni kufanyaje?

Kumfulia chupi au unaelewaje ,

Ukiambiwa mwanamke anapenda mwanaume anayejali.
Hujawai kuona mwanamke ana mpenzi wake au mume lakin mwanamke ana lalamika hajalawi na ukimuuliza hupewe pesa ana sema sitaki pesa zake mim namutaji yeye anijari ani samini anisikilize sasa mwanamke kama huyu utamuelewaje? Na kuna wanawake wengine ukiwapa pesa hawataki wanakuonea huruma kabisa we ukitaka kuwajua wanawake wanatofautiana we jaribu kuwa na wapenzi 7 ukitakuja kunipa majibu
 
nilianza na i phone 6 tano, i phone x ,i phone 11pro mbili na 13pro plus mitaji ya 20m na pesa za kila mara 30k,50k,100k plus outing hao ni mademu tofauti na bado naendelea na huu ujinga sijui nitaacha lin[emoji24] vijana wengi hayo ndo maisha yetu sema ni ngumu kumwambia mtu ila tuna umia sana linapokuja suala la mapenzi.kazi iendelee
Acha huo upumbavu mara moja, kuna age ukifika utaambulia kujuta. At least you've got a brother to warn you. Unless unafurahisha kijiwe.
 
Dem wangu next week anasafiri niliplan kumpeleka kariakoo for shopping week hii nilipanga kuunguza ka laki mbili kabisa ila kupitia huu uzi simpeleki tena asee tho she loves me so so much, nitamtafutia sababu ila nauli nitampa tuu.

Bro she’s nat like other girls mtoe tu outing utakuj kunishukuru baadae. [emoji23]
 
Mi wanawake zangu nimefanyia Mambo mengi Sana ila Kuna mmoja nilimnunuliaga laptop ya sh 45000 za kikenya [emoji848]
 
Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.

Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.

Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...

Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Duh! Ulijilipua Sana mkuu
 
Mkuu acha usinitoneshe vidonda.

Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .

Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]
 
Dem wangu next week anasafiri niliplan kumpeleka kariakoo for shopping week hii nilipanga kuunguza ka laki mbili kabisa ila kupitia huu uzi simpeleki tena asee tho she loves me so so much, nitamtafutia sababu ila nauli nitampa tuu.
Acha hizo mpeleke bwana wachana na maneno ya humu watu hawafanani.
 
Laki nne mzeya alafu ilivyokuja kuniuma eti demu hela yote kaenda kununua make up[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Wiki nzima nimenuna mpaka akajua ikabidi ajaribu nipoze na mbususu...akajiungeza akamez shahawa
Yaani unammezeshesha mtu watoto mkuu?
 
Dem wangu next week anasafiri niliplan kumpeleka kariakoo for shopping week hii nilipanga kuunguza ka laki mbili kabisa ila kupitia huu uzi simpeleki tena asee tho she loves me so so much, nitamtafutia sababu ila nauli nitampa tuu.
Unawasikiliza vijana wa jf?

Kuna uzi,"wanaume wanasema hatuachi kuhonga"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaa Tsh 300,000/= iliniuma mwezi mzima hahahahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom