Kitengo cha Vetting kimmulike mwana JF huyu

Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
tatizo la wanahabari waliozea kupokea tips ndo kazi ifanyike hata wakiingia ofisi za umma wanaweza kuendeleza mambo ya maposho isee..pili kwa serikali namna ilivyo hata ukipewa mamlaka unatakiwa ufuate kile unachoelekezwa kufanya kutoka juu so unaweza ingia na a very bright mind ukajikuta unageuka kafla na kuwa kituko au kutoa boko kama chalamila hapo bado kurogana sasa...
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
I agree, bwana paskali ni mtu anaejielewa sana na very down to earth. Mama amtumie japo baba alimfungia vioo akawaona kina bashyte na 7baya
 
Naunga mkono hoja 😄
 
I agree, bwana paskali ni mtu anaejielewa sana na very down to earth. Mama amtumie japo baba alimfungia vioo akawaona kina bashyte na 7baya
Unajua kuna watu wanachuki zaki maslai alafu kuna watu wanachuki zakufuata mkumbo.
Hawa ndo wengi wenye kumkazia bwana Pascal.

Wao enzi za mwendazake walikua keyboard worrior live hawakusubutu ku go against him.
 
Back
Top Bottom