Kitengo cha Vetting kimmulike mwana JF huyu

tatizo la wanahabari waliozea kupokea tips ndo kazi ifanyike hata wakiingia ofisi za umma wanaweza kuendeleza mambo ya maposho isee..pili kwa serikali namna ilivyo hata ukipewa mamlaka unatakiwa ufuate kile unachoelekezwa kufanya kutoka juu so unaweza ingia na a very bright mind ukajikuta unageuka kafla na kuwa kituko au kutoa boko kama chalamila hapo bado kurogana sasa...
Hapana inategemea na akili yako hebu checking Dc wa kisarawe na RC wa simiyu n.k mbona walimudu kufanya vizuri kwenye mazingira Yale ya kina sabaya na bashite?
 
nimefuatilia maandiko ya Ndugu Paschal mayalla bado namuona ni mtu asiyeaminika na anayebadilika mara kwa mara kwa maslahi yake binafsi.bado inahitajika jitihada kubwa ya vetting ili asipewe cheo kwa muktadha wa yeye kujigeuzageuza au niseme kuuma na kupuliza.

#NAPENDEKEZA
 
Naheshimu mawazo yako.

Naomba nikushauri usipitie kwa haraka maandiko yake pitia taratiibu utaelewa!

Maabandiko yake yalikua na same content katika situation tofauti.
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Mwana Bodi umekuja na Fake ID
Ile ya pasco iko wapi ?
 
Huyu pasco baba na mama yake ni maafisa waastafu wa hiko kitengo, bila shaka mtoto wa nyoka ni nyoka. Kumbuka sio lazma utumikie serikalini ukiwa unafanya kazi za wale jamaa zetu, unaweza ukapachikwa hata kwenye career yako huku ukiripoti kwao
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Kwani Pascal Mayalla ni kijana? Mama kasema anataka vijana....
 
Back
Top Bottom