Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 793
- 1,932
Ameanza kumtukana mwendazake na kusema kifo chake kimechangiwa na karma ya James ruge.Ni mnafiki wa kiwango cha lami.
Bashiru mende wako,mana wengi lumumba mnapakuliwaBashiru mumeo??
Hio tukupe wewe mkuuInatakiwa kuwepo na hata mbunge muwakilishi wa JamiiForums ili apate nafasi mkuu wetu huyo
Mimi sio lumumba...wewe juma lokole nn!!Bashiru mende wako,mana wengi lumumba mnapakuliwa
Kwann mwanabodi mwenzangu??Mwana Bodi utakuwa na ID nyingi sana humu ndani hahahahah
P mayalla inamufaa kabisa ndo maana member wanampiganiaHio tukupe wewe mkuu
Mayalla ni presidatial material bro!P mayalla inamufaa kabisa ndo maana member wanampigania
Jamaa huna watu wazima kwenu???Hakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
mzee ya L.A CALISHIZO na amsterdamMama si kasema saizi zamu ya vijana.
Basi asimsahau Baharia Msomi Lemutuz ampe wilaya moja wapo jiji la Mzizima (Don Town).
Inawezekana ni kweli kwa vile yeye hakuwa Mjumbe ambaye anaruhusiwa kupiga kura. Wajumbe, kama tulivyoambiwa si watu.Yeye anasema alipata kura mbili, lakini kiuhalisia sisi wajumbe tuliokuwepo pale ukumbini tuliona matokeo yote, Pasco hakupata kura hata moja.
Na teuzi za ma_DC zimempita MayallaMayalla ni presidatial material bro!
Sio hadhi yakeNa teuzi za ma_DC zimempita Mayalla
Anafaa uRC au uwaziri kabisaSio hadhi yake
Ndugu yangu Mkuu Rebeca 83, naomba kukukaribisha mitaa hii ili uweze kunifahamu kwa karibu huwa nasimamia nini.ingekua kumchagua ningemchagua...ila huwaga simuelewi anasimamia nini,huku yupo..kule yupo
Mkuu Baba jayaron, kwanza asante kuniangazia.Asalaaam,
Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.
Kitengo hiki japo kimfumo kiko chini ya mama, system wise, lakini in reality kiko chini ya wale "jamaa zetu", jamaa wale sometimes sio wazuri, sometimes wanatoa bad recommendation kuwahusu baadhi ya watu, mfano enzi za JPM, jina la Anton Mtaka lilipofika kwake kwa uteuzi wa ma DC, hawa jamaa wali recommend Mtaka ni hafai, hafai, hafai hata kuwa Balozi wa nyumba 10!. Hata katika zile teuzi za Mama za kuteua leo na kesho yake kutengua, yale makorokocho analetewa na hawa jamaa zetu!. Niliwahi kushauri Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda alikuwa anakoseshwa na hawa!.Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.
Hili ni kweli kabisa kunihusu mimi, kiukweli nina ngozi ngumu, na kila anayenitukana humu, sio tuu simjibu kwa mimi kumtukana, bali namtwangia like, japo lazima nikiri, pamoja na kuwa na ngozi ngumu, hata mamba atasubiri, lakini matukano mengine yanaumiza, haswa yale ya inversion of personal privacy.Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.
Kwenye hili nakubaliana na wewe.Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constructive with due respect kwa mamlaka husika ama muhusika.
Ni kweli na ndio maana sasa na mimi nimejitokeza kutupa karata yangu tena mahali, Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.
Asante.Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.
Mkuu Baba jayaron, thanks for this, hili bandiko lako sasa ndio muda wake Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.
Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Mkuu papason , naomba uniamini, mimi nina I.D moja tuu humu jf, na ni verified member.Pascal kiboko anajipigia debe kwa ile ID yake nyingine tena kivingine
Mkuu muhomakilo jr , believe me, mimi Pascal Mayalla, nina I.D moja tuu humu jf, na tangu nime join JF, nimejoin as a verified member.Pascali kaja kujifagilia....
Mkuu Its Pancho , please!. Mimi Pascal Mayalla ni ID moja tuu humu jf na ni verified member!.Pascal kafungua I'd mpya
Mkuu T14 Armata , it's true, enzi zile ilikuwa ukimaliza form VI lazima upite jeshini JKT kwa mujibu wa sheria, kabla ya kujiunga na chuo, sasa wale wazuri kwe MM, unapelekwa straight JWTZ. Mimi niliongoza somo la Range, kati ya 10, nilihit the bull 9!, hivyo baada ya JKT nikaenda straight JWTZ.Kumbe Mayalla aliwahi kuwa JWTZ