Salamu toka Kwa Shabiki wa Simba, Simba ijifunze kwa Yanga

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,288
9,923
Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa.

Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na wivu wetu lakini tutumie mafanikio haya kujifunza, Yanga wametupa somo haswa.

1. Yanga wametufundisha kuwa soka la kisasa linahitaji viongozi vijana wenye maono na utulivu wa akili, wenye uwezo wa kupambana na kusimamia mambo kwa weledi na sio kuangalia mtu amekuwa mwanachama miaka 40 kwa hiyo ni simba mwenzetu tumpe uenyekiti. Tukiendelea na vingozi wachumia tumbo na waongo waongo na wanaoishi kwa mazoea hatutoboi.

2. Soka linahitaji wachezaji bora na benchi la ufundi bora. Simba tumefukuza makocha kila mwaka lakini Yanga wamempa nafasi Nabi. Mwanzoni amechemka wakamvumilia na kumsapoti na sasa wanavuna matunda.

Nabi ndio anachagua mchezaji gani asajiliwe nani asisajiliwe, nani acheze na nani asicheze. Benchi la ufundi la Yanga haliingiliwi kwenye maamuzi na mtu yoyote na hata kipindi mashabiki maandazi walipomzodoa Nabi, viongozi walisimama naye na sasa hata mashabiki wa Yanga wameanza kubadilika na kujua umuhimu wa uvumilivu na kuheshimu taaluma.

Juzi wamefungwa Dar, asilimia 90 au zaidi ya Wanayanga wamelaumu mvua na Simba hawakutukana wachezaji wala benchi la ufundi, hili ni jambo kubwa sana katika maendeleo ya soka.

3. Uwezo wa viongozi kuhimili pressure za ndani na nje ya uwanja ni mkubwa sana kwa viingozi vijana wa yanga. Swala la Feisali limekuwa likiibuliwa na wanaoihujumu yanga kila wakati ambao yanga wana mechi kubwa ili kuwatoa kwenye focus yao.

Hebu niambieni baada ya interview ya feisal ni kiongozi gani wa Yanga amejibu? Jamaa wanaakili walishagundua huu ni mtego na hujuma wakadharau na kuendelea na maandalizi ya mechi ambayo matokeo yake tumeyaona.

4. Uhusishaji wa wanachama katika maendeleo ya club. Kati ya vitu ambavyo yanga wametuacha mbali sana. Hili swala la usajili wa kidigitali wa wanachama uliotokana na mabadiliko thabiti ya mfumo wa uendeshaji wa Yanga unaosimamiwa na Sevilla na Laliga ni kete ya maana sana iliyochezeshwa kiufundi sana.

Yanga wanaendelea na mabadiliko ya kweli, kwa sasa Yanga wana wanachama hai zaidi ya 50,000 ambao wanauhakika wa kuingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 1.5 kila mwaka, hili sio jambo dogo katika kuelekea kwenye kuifanya timu isiwe tegemezi.

5. Kila kitengo muhimu Yanga wameweka vijana wenye nguvu na weledi na wachapakazi, Yanga inaimarika kwenye kila idara kadri siku zinavyokwenda. Kujiuza huku ndio kumeifanya Yanga kugombaniwa na vyombo vikubwa vya habari, Raisi wa Yanga kule South Afrika alikuwa anagombaniwa na kila chombo cha habari kutaka kufanya nae mahojiano na alipopata nafasi aliitumia kuiuza timu yake.

Timu ya hivi itakosaje wadhamini wa kimataifa? Ni swala la muda tu. Je, Simba tulienda mara ngapi South Africa, kuna chombo kilitafuta viingozi wetu, na hata viongozi wetu waliiona hiyo fursa ya kujiuza? Mwisho tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki pale pale kwamba Yanga kuna vitu wamejifunza kwetu, wakakaa, wakajitafakari wakaweka mikakati yao wakaongeza mbinu na weledi na sasa wamefanikiwa kuliko sisi.

Huu ni muda wa simba kujifunza kwa Yanga ili timu zetu ziweze kufanikiwa tukishupaza shingo na kuendelea na ushabiki wetu wa mazoea wa kuponda kila kitu msimu ujao gap letu na yanga litakuwa kubwa sana, watatuacha mbali. Kuwapiga waarabu wawili kwao katika msimu mmoja kunahitaji timu iliyo bora kwenye kila kitu sio timu ya mchongo mchongo.

Wakati sisi tunaangalia nani tumsajili habari za uhakika ni kwamba Yanga wameshamaliza usajili wa wachezaji wanne wa kimataifa ni swala la mida tu ili watangaze wanamuacha nani na nani anaingia hawa viongozi wa Yanga wanajua wanachofanya.

Sisi kama Simba tuendelee kuponda mafanikio ya yanga kishabiki na kiuhasimu lakini Yanga katupa shule ya maana sana, tujifungie darasani tujifunze kwa faida yetu ya soka la Tanzania.
 
Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa. Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na wivu wetu lakini tutumie mafanikio haya kujifunza, Yanga wametupa somo haswa. 1. Yanga wametufundisha kuwa soka la kisasa linahitaji viongozi vijana wenye maono na utulivu wa akili, wenye uwezo wa kupambana na kusimamia mambo kwa weledi na sio kuangalia mtu amekuwa mwanachama miaka 40 kwa hiyo ni simba mwenzetu tumpe uenyekiti , tukiendelea na viingozi wachumia tumbo na waongo waongo na wanaoishi kwa mazoea hatutoboi.

2. Soka linahitaji wachezaji bora na benchi la ufundi bora. simba tymefukuza makocha kila mwaka lakini Yanga wamempa nafasi Nabi .Mwanzoni amechemka wakamvumilia na kumsapoti na sasa wanavuna matunda . Nabi ndio anachagua mchezaji gani asajiliwe nani asisajiliwe, nani acheze na nani asicheze. Benchi la ufundi la Yanga haliingiliwi kwenye maamuzi na mtu yoyote na hata kipindi mashabiki maandazi walipomzodoa Nabi, viongozi walisimama nae na sasa hata mashabiki wa yanga wameanza kubadilika na kujua umuhimu wa uvumilivu na kuheshimu taaluma. Juzi wamefungwa Dar , asilimia 90 au zaid ya wanayanga wamelaumu mvua na simba hawakutukana wachezaji wala benchi la ufundi, hili ni jambo kubwa sana katika maendeleo ya soka.

3. Uwezo wa viongozi kuhimili pressure za ndani na nje ya uwanja ni mkubwa sana kwa viingozi vijana wa yanga. Swala la Feisali limekuwa likiibuliwa na wanaoihujumu yanga kila wakati ambao yanga wana mechi kubwa ili kuwatoa kwenye focus yao. Hebu niambieni baada ya interview ya feisal ni kiongozi gani wa Yanga amejibu? Jamaa wanaakili walishagundua huu ni mtego na hujuma wakadharau na kuendelea na maandalizi ya mechi ambayo matokeo yake tumeyaona.

4. Uhusishaji wa wanachama katika maendeleo ya club. Kati ya vitu ambavyo yanga wametuacha mbali sana.Hili swala la usajili wa kidigitali wa wanachama uliotokana na mabadiliko thabiti ya mfumo wa uendeshaji wa Yanga unaosimamiwa na Sevilla na Laliga ni kete ya maana sana iliyochezeshwa kiufundi sana. Yanga wanaendelea na mabadiliko ya kweli, Kwa sasaYanga wana wanachama hai zaidi ya 50 ,000 ambao wanauhakika wa kuingiza zaidi ya 1.5bil kila mwaka hili sio jambo dogo ktika kuelekea kwenye kuifanya timu isiwe tegemezi.

5.Kila kitengo muhimu yanga wameweka vijana wenye nguvu na weledi na wachapakazi, yanga inaimarika kwenye kila idara kadri siku zinavyokwenda. Kujiuza huku ndio kumeifanya Yanga kugombaniwa na vyombo vikubwa vya habari, Raisi wa Yanga kule SA alikuwa anagombaniwa na kila chombo cha habari kutaka kufanya nae mahojiano na alipopata nafasi aliitumia kuiuza timu yake. Timu ya hivi itakosaje wadhamini wa kimataifa? Ni swala la muda tu. Je simba tulienda mara ngapi SA kuna chombo kilitafuta viingozi wetu. Na hata viongozi wetu waliiona hiyo fursa ya kujiuza?Mwisho tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki pale pale kwamba Yanga kuna vitu wamejifunza kwetu , wakakaa wakajitafakari wakaweka mikakati yao wakaongeza mbinu na weledi na sasa wamefanikiwa kuliko sisi.

Huu ni muda wa simba kujifunza kwa Yanga ili timu zetu ziweze kufanikiwa tukishupaza shingo na kuendelea na ushabiki wetu wa mazoea wa kuponda kila kitu msimu ujao gap letu na yanga litakuwa kubwa sana, watatuacha mbali. Kuwapiga waarabu wawili kwao katika msimu mmoja kunahitaji timu iliyo bora kwenye kila kitu sio timu ya mchongo mchongo. Wakati sisi tunaangalia nani tumsajili habari za uhakika ni kwamba Yanga wameshamaliza usajili wa wachezaji wanne wa kimataifa ni swala la mida tu ili watangaze wanamuacha nani na nani anaingia hawa viongozi wa Yanga wanajua wanachofanya.Sisi kama simba tuendelee kuponda mafanikio ya yanga kishabiki na kiuhasimu lakini Yanga katupa shule ya maana sana, tujifungie darasani tujifunze kwa faida yetu ya soka la Tanzania.
fluke of a season nothing to learn dude!!
 
Simba itajifunza nini kutoka kwa failure,kama simba ingekuwa inashiriki kombe la shirikisho basi ingekuwa vyema kujifunza kwa yanga maana yanga kafika final za mashindano hayo
Simba inapaswa kujifunza kutoka kwa al ahly,wydad,mamelodi na timu za aina kama hiyo ..
Kwani wakati unaloga mchana kweupe kule kwa Madiba ulikuwa unashiriki kombe lipi? Ficha uzuzu wako.
 
Katika mambo yote uliyoongea ni moja tu la maana la Simba kuongeza wanachama na sio kuwa na wanachama wanaosubiri uchaguzi ukifika walipiwe kadi.
Point namba moja imeonyesha wewe ni utopolo kwa sababu utopolo tunawajua kwa tabia zenu za kuropoka, nitajie kiongozi wa Simba aliyechaguliwa kwa sifa unazozitaja na pia ujana sio kigezo cha kuwa kiongozi mfano mnao kwa kijana wenu Ally Kamwe
 
Sasa Mangungu anatafuta mahali pa kuzeekea anaweza kuwa na mawazo progressive kweli, any way najua Mo anawakumbatia watu ambao hawatamchallange
 
Wakati wanatolewa CAF champions league hatua ya awali ndio ulitakiwa uje na huu ushauri.Simba hatuna chochote cha kujifunza kwa Yanga.
 
Kwani wakati unaloga mchana kweupe kule kwa Madiba ulikuwa unashiriki kombe lipi? Ficha uzuzu wako.
Habar za uzuzu zinakujaje acha ungese nimejibu kulingana na mtazamo wangu na wew umeweka hoja kulingana na mtazamo wako kwaiyo unataka tukubaliane na wew kwa vitu ambavyo ni pointless!!?
 
Binafsi nikiri wazi mbali ya kujaribu kuponda mafanikio ya watani zetu Yanga kwa ajili tu ya uhasimu tulionao, lakini nina uhakika sisi kama wanasimba na wanamichezo wapenda mpira wa miguu mioyoni mwetu tumeona na kukiri Yanga walivyofanikiwa.

Tubeze kwa sababu ya ubinadamu wetu na utani na wivu wetu lakini tutumie mafanikio haya kujifunza, Yanga wametupa somo haswa.

1. Yanga wametufundisha kuwa soka la kisasa linahitaji viongozi vijana wenye maono na utulivu wa akili, wenye uwezo wa kupambana na kusimamia mambo kwa weledi na sio kuangalia mtu amekuwa mwanachama miaka 40 kwa hiyo ni simba mwenzetu tumpe uenyekiti. Tukiendelea na vingozi wachumia tumbo na waongo waongo na wanaoishi kwa mazoea hatutoboi.

2. Soka linahitaji wachezaji bora na benchi la ufundi bora. Simba tumefukuza makocha kila mwaka lakini Yanga wamempa nafasi Nabi. Mwanzoni amechemka wakamvumilia na kumsapoti na sasa wanavuna matunda.

Nabi ndio anachagua mchezaji gani asajiliwe nani asisajiliwe, nani acheze na nani asicheze. Benchi la ufundi la Yanga haliingiliwi kwenye maamuzi na mtu yoyote na hata kipindi mashabiki maandazi walipomzodoa Nabi, viongozi walisimama naye na sasa hata mashabiki wa Yanga wameanza kubadilika na kujua umuhimu wa uvumilivu na kuheshimu taaluma.

Juzi wamefungwa Dar, asilimia 90 au zaidi ya Wanayanga wamelaumu mvua na Simba hawakutukana wachezaji wala benchi la ufundi, hili ni jambo kubwa sana katika maendeleo ya soka.

3. Uwezo wa viongozi kuhimili pressure za ndani na nje ya uwanja ni mkubwa sana kwa viingozi vijana wa yanga. Swala la Feisali limekuwa likiibuliwa na wanaoihujumu yanga kila wakati ambao yanga wana mechi kubwa ili kuwatoa kwenye focus yao.

Hebu niambieni baada ya interview ya feisal ni kiongozi gani wa Yanga amejibu? Jamaa wanaakili walishagundua huu ni mtego na hujuma wakadharau na kuendelea na maandalizi ya mechi ambayo matokeo yake tumeyaona.

4. Uhusishaji wa wanachama katika maendeleo ya club. Kati ya vitu ambavyo yanga wametuacha mbali sana. Hili swala la usajili wa kidigitali wa wanachama uliotokana na mabadiliko thabiti ya mfumo wa uendeshaji wa Yanga unaosimamiwa na Sevilla na Laliga ni kete ya maana sana iliyochezeshwa kiufundi sana.

Yanga wanaendelea na mabadiliko ya kweli, kwa sasa Yanga wana wanachama hai zaidi ya 50,000 ambao wanauhakika wa kuingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 1.5 kila mwaka, hili sio jambo dogo katika kuelekea kwenye kuifanya timu isiwe tegemezi.

5. Kila kitengo muhimu Yanga wameweka vijana wenye nguvu na weledi na wachapakazi, Yanga inaimarika kwenye kila idara kadri siku zinavyokwenda. Kujiuza huku ndio kumeifanya Yanga kugombaniwa na vyombo vikubwa vya habari, Raisi wa Yanga kule South Afrika alikuwa anagombaniwa na kila chombo cha habari kutaka kufanya nae mahojiano na alipopata nafasi aliitumia kuiuza timu yake.

Timu ya hivi itakosaje wadhamini wa kimataifa? Ni swala la muda tu. Je, Simba tulienda mara ngapi South Africa, kuna chombo kilitafuta viingozi wetu, na hata viongozi wetu waliiona hiyo fursa ya kujiuza? Mwisho tukubali au tukatae lakini ukweli utabaki pale pale kwamba Yanga kuna vitu wamejifunza kwetu, wakakaa, wakajitafakari wakaweka mikakati yao wakaongeza mbinu na weledi na sasa wamefanikiwa kuliko sisi.

Huu ni muda wa simba kujifunza kwa Yanga ili timu zetu ziweze kufanikiwa tukishupaza shingo na kuendelea na ushabiki wetu wa mazoea wa kuponda kila kitu msimu ujao gap letu na yanga litakuwa kubwa sana, watatuacha mbali. Kuwapiga waarabu wawili kwao katika msimu mmoja kunahitaji timu iliyo bora kwenye kila kitu sio timu ya mchongo mchongo.

Wakati sisi tunaangalia nani tumsajili habari za uhakika ni kwamba Yanga wameshamaliza usajili wa wachezaji wanne wa kimataifa ni swala la mida tu ili watangaze wanamuacha nani na nani anaingia hawa viongozi wa Yanga wanajua wanachofanya.

Sisi kama Simba tuendelee kuponda mafanikio ya yanga kishabiki na kiuhasimu lakini Yanga katupa shule ya maana sana, tujifungie darasani tujifunze kwa faida yetu ya soka la Tanzania.
😎😎😎tukipata 5kamawewe 🇹🇿 tunacheza fainali 🌏🌎🌍⚽🏆 soon
 
Hivi una akili tamim?
 
Umeandika porojo tu. Kwanza nabi siyo kocha mahiri, amebahatika tu kuwa na wachezaji wazoefu. Na hakuna alichowaongezea.
Hivi mangungu ana umri gani vile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom