Kitengo cha Vetting kimmulike mwana JF huyu

Mkuu Pascal Mayalla , usiwasikilize hawa WAJUMBE! Wanakujaza upepo ili mwisho wa siku umchukie MAMA kwa kuto kukuteua kwenye nafasi yoyote ile ya kuitafuna keki ya Taifa!

Saba Saba na Nane Nane zinakaribia! Jiandae Mzee Baba kwa ajili ya kupiga hela kupitia yale matangazo ya ile program yako ya PPR nini sijui!!
 
ingekua kumchagua ningemchagua...ila huwaga simuelewi anasimamia nini,huku yupo..kule yupo
Pasco ana akili ya kisiasa. Yani anaenda na upepo ukipuliza kwenda Mashariki anaenda nao ukipuliza kurudi Magharibi nae yumo.

Yani hataki kuonekana ame base upande fulani zaidi ili likitokea la kutokea aweze kufit upande wowote.
 
Kwani kawe hukumuona?
😂🤣
1623865117884.png
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Sidahni kama SSH ataruhusu kujipendekeza ili kupewa ulaji iwe sehemu ya sera zake. Kama anataka cheo si akihangaikie badala ya kuzawadiwa kwani naye ni mtu wa viti maalum?
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Ajitahidi afanye ' Kafara ' Kubwa aupate.
 
Usimkumbushe machungu ya wajumbe
 
Rais Samia keshasema ' Mkeka ' ujao wa DC's na hata Nafasi zingine utawahusu mno Vijana nashangaa Watu wanaoitafuta sasa 55 au 60 ' mnalazimisha ' nao Mama awateue. Naona baadhi yenu mnamchukulia Mama ' poa ' au siyo?
 
Asalaaam,

Nachukua nafasi hii bila kushawishiwa na mtu wala si kwakumfahamu moja kwa moja zaidi ya kumuona kwenye mitandao ya kijamii.

Naomba kitengo hichi cha vetting chini ya Mama yetu Mh.Samia Suluhu kimtazame kwa jicho la ziadi nguli huyu was habari mwenye maono na uwelewa mpana was Mambo mbali mbali hata ya kimataifa.

Mwana Jf huyo pia ameonyesha uvumilivu mkubwa katika kukabili changamoto mbalimbali ikiwemo dhihaka na matusi katika mitandao mbali mbali.

Namna ya uahdishi wake na utoaji wake was maoni yenye kukosoa ama kupongeza serikali amekua very positive and constractive with due of respect kwa mamlaka husika ama muhusika.

Taifa hili linahitaji viongozi wenye hekima na maono ya kisasa hasa katika kukabiliana na Mapinduzi haya ya kiteknojia ambapo hata "chavya inajadiliwa" taifa linahitaji viongozi wenye exposer ya kiakiakili na kimatembezi.

Bila shaka mkipitia mabandiko yake humu JF mtagundua kitu cha tofauti sambamba na nakala kadhaa katika magazeti na mahojiano yake.

Hakika mwana JF huyu anastahili nafasi adhihirishe maono yake kutoka kwenye maandishi na kuyaishi kivitendo kwa nafasi atakayo pewa ambapo nnaimani hatoniangusha wala kuangusha wanna JF hasa ukizingatia ana hulka za kulandana na My. Rais wa sasa kivi tendo na maono.

Mwana JF huyo si mwingine zaidi ya ndugu @pascalmayalla ambaye hakuna mwana JF asiye mtambua.
Karibu!
Unajua ana umri gani ?
 
Back
Top Bottom