Mambo 20 ambayo yanatakiwa kujadiliwa ili nchi isonge mbele tukiwa wamoja

CWR2016

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
2,760
6,294
UNAFIKI pembeni!
Moja kwa moja kwenye ajenda.

1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani?

2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa hadi kufikia hatua hii? Kila sehemu ya nchi anatafutiwa mapande mapande ya ardhi, kuanzia bandari, mbuga mbali mbali, Ranchi za Taifa, misitu, n.k?

3. Ngorongoro na wananchi waishio huko wapo katika maumivu mengi sana, Mbunge wao ni shahidi, kama hadi Mbunge anatishiwa kuuwawa tena na wateule wa Rais, wakuu wa kamati za usalama. Je, ni wananchi wangapi wapo kusikojulikana?

4. Hatuna Bunge lenye sauti ya wananchi. Hatuna mahakama ya Haki.

5. DP WORLD ni mkakati ovu wa watu tulionao humu ndani kwa asilimia 70 (70%).

6. Timu ya Mzee wa nne inampa wakati mgumu sana kiongozi wa sasa. Ndio maana anachokisema sio anachokitenda. Akili inataka moyo unagoma.

7. Kundi la JK ndio lilileta hoja nyingi za kibaguzi katika Taifa.
Tangu enzi za kumuita Dr. Salim Ahmed Salim, kuwa sio mzanzibar asili, Hezbollah!
Hili ndio kundi mwaka 2010 lilimtumia Prof. Lipumba na kufanya siasa msikitini waziwazi ili JK ashinde uchaguzi (video zipo Prof. alikiri mwenyewe).
Hili ndio kundi lilitengeneza kitu inasemekana sukuma gang, kuwa label watu kwa kabila.
Hili ndio kundi leo, halijibu mjadala wala kipengele cha mkataba wa bandari, wao wanatembea na hoja ya udini.

8. Kuna mitego mingi sana inategwa katika awamu hii na watu walio nje ya serikali, lengo wanufaike wao na vizazi vyao.
Njia inayotumika ni kusainisha mikataba mbalimbali na serikali kwa vimemo.
Huko mbele watafaidika kwa namna mbili, mikataba ikivunjwa wanafungua kesi wanashinda, wanalipwa mabilioni. Mbili, ni kama ikiendelea basi wanavuna mapato makubwa makubwa miaka na mikaka.

9. Wamejipanga haswa kwa mtu wao ajaye.
Kwenye hili la bandari, kuna kitu kinaonekana. Nacho ni hiki...
Kuna baadhi ya mawaziri hawatazungumzia au kutoa maoni yoyote juu ya hili (ni lengo maalumu).
Si kwamba hawako pamoja nalo, HAPANA.
Lengo ni kuitega TISS na vetting organs zitakapoanza kumtafuta mbadala wa huyu. Reference kubwa itakuwa uliona wkt wa ufisadi wa mkataba ule, huyu hakuwa upande ule, na hakusema chochote!.

10. CCM imechoka sana sasa kuliko wakati mwingine wowote ule tangu kuumbwa kwa Dunia.
Mfano, ukiona mwijaku anamshambulia Fr. Kitima, jua hiyo ni CCM ilichoka hadi mbavu zipo nje. Ni mixer pepopunda, kifaduro, kwashakoo na TB!

11. UFISADI umekita mizizi ndani ya CCM.
Watu wanaongea waziwazi ni kuchukua chako mapema, usiangalie ni wananchi wangapi wanateseka au wanakosa mahitaji.
Mfano ni huko Ngorongoro.
Hii inawezekana tu Kwa kuwa hao wakubwa wamepewa pacent yao.

12. UDINI ni propaganda ya CCM na vipenyo wao flani flani ndani ya TISS.
Screenshot_20230820-165547.jpg
Screenshot_20230820-165835.jpg

Haya hapo juu ni maigizo yao. Huyu anayehojiwa hapo ni chawa kipenyo mmoja. Wana mseti katika matukio mbalimbali.
Anayemhoji hajioneshi ni nani, na maiki inayotumika ni ile ile.

Screenshot_20230820-165416.jpg

Huyo hapo juu anaitwa Bakari Dafa.
Anyway video zao zipo. Wako staged!
Screenshot_20230820-171224.jpg

Uzi huu hapa chini, mwaka 2010, hali ya uchaguzi ilikuwa ngumu kwa JK, baadhi ya maeneo, hivyo akafanya siasa msikitini. Prof. Lipumba anakiri kumsaidia.

Ngongeza ya maoni ya wadau.
Screenshot_20230820-182541.jpg

Screenshot_20230820-180053.jpg

13. Kwa nini serikali na watu wake, hawajibu hoja za mkataba kipengele kwa kipengele?

Hata ukisoma heading to ya mkataba, inasema bandari za bahari na maziwa. Lakini atasimama , mwana serikali anasema ni bandari ya DSM tu. Halafu anasema hao wanaopinga hawajasoma mkataba.

14. Huyu ni mwana CCM kabisa tunamjua hapa JF, katika baadhi ya komenti zake kwa kujisahau, akasema, ...jisomee...
Screenshot_20230820-181812.jpg

Kwa hiyo ni kweli kwamba hili li document limechanganywa na ya wabongo wenzetu, na ndio maana lina utata wa ajabu, hata wao hawaelewi. Yani ni 'famba' mbaya.
Kwa hiyo bandari zingine za Mtwara, Tanga, bagamoyo, rufiji, na za maziwa ni wabongo. SGR kama ilivyotajwa ni ya wabongo. Zile special economic zones ni za wabongo. Hayo mapande ya ardhi yaliyosemwa atapewa, ni kivuli cha wabongo.
Hawa ni wana CCM wanajuana.
Nadhani mnaelewa kwa nini kajitokeza kusema ooh udini. Yumo!

15. Dola $ zipo wapi?!

16. Ni nani atakayeiweka sawa nchi, pasi na kuangalia manufaa binafsi ya vikundi vya watu na familia zao?!

17. Kwa nini hotuba za Nyerere, Baba wa Taifa hazipewi nafasi ktk vyombo vya radio na TV sana sasa hivi?!
Anyway Kuna project ya kumdogosha Baba wa Taifa.

18. Kwa nini walioko nyuma ya mgongo wa Rais wetu wawe na nguvu kuliko yeye? Je, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinamsaidia ipasavyo kweli? Sio majukumu ya kiulinzi, HAPANA.
Kumpa nguvu na kuibomoa nguvu ya hao waliopo nyuma.
Yani leo Mzee Warioba anaogopa kusema waziwazi maoni yake anabaki kufumba fumba, kisa kuna Mzee mwingine ana nguvu kwa wa sasa, kweli?!

19. Kuna mkakati wa kumtega Rais tena, ili aanze kuwasikiliza wale wale wa kundi lililomfikisha hapo ktk biashara na waarabu.
Kuna nyuzi zitakuja humu, unda Tume ya watu hawa ikusaidie Rais, kataa, hao wamepangwa na ushauri wao wameutoa huko huko kwa hao waliokuwa wanakushauri mwanzo na kukwambia huu ni upepo tu, utapita.
Haya UPEPO umekuwa KIMBUNGA sasa.
Mpaka na wao wamekuja mbele leo, wkt walikuwa nyuma hawakutaka kujulikana ni lao hili.

Wakatae, wanataka wakupe ushauri wa kukupoteza zaidi na walinde chochote kitu chao.

20. Umoja wa nchi ni zaidi ya uchumi. Rais aamue mapema ktk hili na alindwe ipasavyo.
 
Such a fake promise, what if lilipita na likatimika kumzuia!!
Shida ni hapa lilipofikia.
Kelele zimekuwa nyingi.

UPEPO umekuwa KIMBUNGA.

Ila kama lingepita kimya kimya au Kwa makelele kidogo, angepiganiwa mvua jua. Maana wakuu wote wa vyombo ni wao.

Hapa limechukua sura ngumu.

JK huwa sio wa kuzungumza.

Kiufupi, wamechanganyikiwa kwenye hili dili.
 
TEC imewapa akili.

Mungu awabariki hao Maaskofu.

Japo mie ni raia wa huku chini sana ila nasema, Maaskofu wote Mungu atawalipa.

Kweli tuliishapoteza mwelekeo.
 
Tunaanza kupata akili wakati njia imejaa miba sana.
 
UNAFIKI pembeni!
Moja kwa moja kwenye ajenda.

1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani?

2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa hadi kufikia hatua hii? Kila sehemu ya nchi anatafutiwa mapande mapande ya ardhi, kuanzia bandari, mbuga mbali mbali, Ranchi za Taifa, misitu, n.k?

3. Ngorongoro na wananchi waishio huko wapo katika maumivu mengi sana, Mbunge wao ni shahidi, kama hadi Mbunge anatishiwa kuuwawa tena na wateule wa Rais, wakuu wa kamati za usalama. Je, ni wananchi wangapi wapo kusikojulikana?

4. Hatuna Bunge lenye sauti ya wananchi. Hatuna mahakama ya Haki.

5. DP WORLD ni mkakati ovu wa watu tulionao humu ndani kwa asilimia 70 (70%).

6. Timu ya Mzee wa nne inampa wakati mgumu sana kiongozi wa sasa. Ndio maana anachokisema sio anachokitenda. Akili inataka moyo unagoma.

7. Kundi la JK ndio lilileta hoja nyingi za kibaguzi katika Taifa.
Tangu enzi za kumuita Dr. Salim Ahmed Salim, kuwa sio mzanzibar asili, Hezbollah!
Hili ndio kundi mwaka 2010 lilimtumia Prof. Lipumba na kufanya siasa msikitini waziwazi ili JK ashinde uchaguzi (video zipo Prof. alikiri mwenyewe).
Hili ndio kundi lilitengeneza kitu inasemekana sukuma gang, kuwa label watu kwa kabila.
Hili ndio kundi leo, halijibu mjadala wala kipengele cha mkataba wa bandari, wao wanatembea na hoja ya udini.

8. Kuna mitego mingi sana inategwa katika awamu hii na watu walio nje ya serikali, lengo wanufaike wao na vizazi vyao.
Njia inayotumika ni kusainisha mikataba mbalimbali na serikali kwa vimemo.
Huko mbele watafaidika kwa namna mbili, mikataba ikivunjwa wanafungua kesi wanashinda, wanalipwa mabilioni. Mbili, ni kama ikiendelea basi wanavuna mapato makubwa makubwa miaka na mikaka.

9. Wamejipanga haswa kwa mtu wao ajaye.
Kwenye hili la bandari, kuna kitu kinaonekana. Nacho ni hiki...
Kuna baadhi ya mawaziri hawatazungumzia au kutoa maoni yoyote juu ya hili (ni lengo maalumu).
Si kwamba hawako pamoja nalo, HAPANA.
Lengo ni kuitega TISS na vetting organs zitakapoanza kumtafuta mbadala wa huyu. Reference kubwa itakuwa uliona wkt wa ufisadi wa mkataba ule, huyu hakuwa upande ule, na hakusema chochote!.

10. CCM imechoka sana sasa kuliko wakati mwingine wowote ule tangu kuumbwa kwa Dunia.
Mfano, ukiona mwijaku anamshambulia Fr. Kitima, jua hiyo ni CCM ilichoka hadi mbavu zipo nje. Ni mixer pepopunda, kifaduro, kwashakoo na TB!

11. UFISADI umekita mizizi ndani ya CCM.
Watu wanaongea waziwazi ni kuchukua chako mapema, usiangalie ni wananchi wangapi wanateseka au wanakosa mahitaji.
Mfano ni huko Ngorongoro.
Hii inawezekana tu Kwa kuwa hao wakubwa wamepewa pacent yao.

12. UDINI ni propaganda ya CCM na vipenyo wao flani flani ndani ya TISS.View attachment 2723234View attachment 2723236
Haya hapo juu ni maigizo yao. Huyu anayehojiwa hapo ni chawa kipenyo mmoja. Wana mseti katika matukio mbalimbali.
Anayemhoji hajioneshi ni nani, na maiki inayotumika ni ile ile.

View attachment 2723239
Huyo hapo juu anaitwa Bakari Dafa.
Anyway video zao zipo. Wako staged!
View attachment 2723242
Uzi huu hapa chini, mwaka 2010, hali ya uchaguzi ilikuwa ngumu kwa JK, baadhi ya maeneo, hivyo akafanya siasa msikitini. Prof. Lipumba anakiri kumsaidia.

Ngongeza ya maoni ya wadau.
View attachment 2723251
View attachment 2723253

13. Kwa nini serikali na watu wake, hawajibu hoja za mkataba kipengele kwa kipengele?

Hata ukisoma heading to ya mkataba, inasema bandari za bahari na maziwa. Lakini atasimama , mwana serikali anasema ni bandari ya DSM tu. Halafu anasema hao wanaopinga hawajasoma mkataba.

14. Huyu ni mwana CCM kabisa tunamjua hapa JF, katika baadhi ya komenti zake kwa kujisahau, akasema, ...jisomee...
View attachment 2723263
Kwa hiyo ni kweli kwamba hili li document limechanganywa na ya wabongo wenzetu, na ndio maana lina utata wa ajabu, hata wao hawaelewi. Yani ni 'famba' mbaya.
Kwa hiyo bandari zingine za Mtwara, Tanga, bagamoyo, rufiji, na za maziwa ni wabongo. SGR kama ilivyotajwa ni ya wabongo. Zile special economic zones ni za wabongo. Hayo mapande ya ardhi yaliyosemwa atapewa, ni kivuli cha wabongo.
Hawa ni wana CCM wanajuana.
Nadhani mnaelewa kwa nini kajitokeza kusema ooh udini. Yumo!

15. Dola $ zipo wapi?!

16. Ni nani atakayeiweka sawa nchi, pasi na kuangalia manufaa binafsi ya vikundi vya watu na familia zao?!

17. Kwa nini hotuba za Nyerere, Baba wa Taifa hazipewi nafasi ktk vyombo vya radio na TV sana sasa hivi?!
Anyway Kuna project ya kumdogosha Baba wa Taifa.

18. Kwa nini walioko nyuma ya mgongo wa Rais wetu wawe na nguvu kuliko yeye? Je, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinamsaidia ipasavyo kweli? Sio majukumu ya kiulinzi, HAPANA.
Kumpa nguvu na kuibomoa nguvu ya hao waliopo nyuma.
Yani leo Mzee Warioba anaogopa kusema waziwazi maoni yake anabaki kufumba fumba, kisa kuna Mzee mwingine ana nguvu kwa wa sasa, kweli?!

19. Kuna mkakati wa kumtega Rais tena, ili aanze kuwasikiliza wale wale wa kundi lililomfikisha hapo ktk biashara na waarabu.
Kuna nyuzi zitakuja humu, unda Tume ya watu hawa ikusaidie Rais, kataa, hao wamepangwa na ushauri wao wameutoa huko huko kwa hao waliokuwa wanakushauri mwanzo na kukwambia huu ni upepo tu, utapita.
Haya UPEPO umekuwa KIMBUNGA sasa.
Mpaka na wao wamekuja mbele leo, wkt walikuwa nyuma hawakutaka kujulikana ni lao hili.

Wakatae, wanataka wakupe ushauri wa kukupoteza zaidi na walinde chochote kitu chao.

20. Umoja wa nchi ni zaidi ya uchumi. Rais aamue mapema ktk hili na alindwe ipasavyo.
Umeandika upuuiz mmoja Kwa namba nyingi na kuurudia kuonesha kuwa unawashwa na upigaji wa bar-ndar kupigwa spana ,hata ukitoa machozi ya damu lazima bar-ndar ipewe DP

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
USSR , Acheni kunyanyasa wananchi wa huko Ngorongoro.
Hela za mwarabu mtazitapika tu.

Kwa hiyo compensation ni huko Ngorongoro?

Mtaua Mbunge wenu!

Back
Top Bottom