Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kwenye Twitter ya .nyika ameandika

Screenshot_20210726-154300.png
 
Kukusanya watu wakati wa janga(epidemic) kama korona ni ugaidi, acha ashughulikiwe!

Na zile hela wanazopokeaga Nairobi baada ya Lissu kuzisomba toka ulaya wanadhani vipepeo hawazionagi? Vipepeo wako katika inner circle ya Chadema,mnakaa mnapanga, zinavujishwa!

Angalia kiwango kikubwa cha usaliti wa viongozi wakuu wa CDM, Mashinji, aliyekuwa katibu mkuu Bavicha sasa waziri, angalia wabunge wa COVID, chama kimeingiliwa siafu,wametoka baadhi tu,wengi wamo bado
 
Tatizo na nyinyi Chadema mlianza shobo mapema sana kwa Samia mlikuwa nyinyi ndo mmepewa kazi ya kusifu na kuabudu ghafla mwenyekiti wenu kajitokeza alipojificha na kutaka kukutana na Rais lile tu nikajua bhasi siku zote mwanamke ukimshobokea sana anakudharau hata kama alikuwa na interest na ww 😂😂

Jpm pamoja na mabaya yake wanayosema Chadema hakuwahi kumpa kesi ya Ugaidi mwenyekiti wa wachaga na Chadema Mr Mbowe . Sasa Serikali ya Muhula wa 6 mliyokuwa mnaipamba na kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu kwa roho mbaya zenu juu ya JPM, inamweka ndani Mwenyekiti wenu na Kesi ya Ugaidi


Mbowe yupo kundi Moja na Osama na Chadema ni Chama cha kigaidi kikiungana na Abu Sayyaf Group (ASG),Afghan Taliban,Al-Nusrah Front, Al-Shabaab,Ansar al-Sharia, Ansar Bayt al-Maqdis (ABM), Al-Qa'ida Core (AQ)
 
Jpm pamoja na mabaya yake wanayosema Chadema hakuwahi kumpa kesi ya Ugaidi mwenyekiti wa wachaga na Chadema Mr Mbowe sasa Serikali ya Muhula ya 6 mliyokuwa mnaipamba na kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu kwa roho mbaya zenu juu ya JPM anamweka ndani Mwenyekiti wenu na Kesi ya Ugaidi sasa Mbowe yupo kundi Moja na Osama
 
Mama Samia kwenye hili mimi na wewe hatukubaliani kabisa... kamwe Mbowe awezi kuwa gaidi na wala si gaidi bali ni mmoja wa watu wema kabisa ....pamoja na kumpeleka mahakamani lakini ukweli ni kwamba haya mashitaka yake yanatia shaka sana....
Mbowe awezi kuwa gaidi kamwe
 
Mama Samia kwenye hili mimi na wewe hatukubaliani kabisa... kamwe Mbowe awezi kuwa gaidi na wala si gaidi bali ni mmoja wa watu wema kabisa ....pamoja na kumpeleka mahakamani lakini ukweli ni kwamba haya mashitaka yake yanatia shaka sana....
Mbowe awezi kuwa gaidi kamwe
mbona mnaingilia Uhuru wa mahakama? ebu tulieni mahakama itatupa majibu wacha kujifanya unamjua sana Mbowe
 
Back
Top Bottom