Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

Kuna mdada aliwahi kuwa boss wangu, alikuwa mtu wa makelele mno. Niliamua kuwa nakaa kimya si zaidi ya salamu na maelekezo ya kazi, nikiingia kazini ni serious na kazi zangu na sina story nae na akijiongelesha namwangalia tu simjibu chochote, baada ya muda kupita akaanza kunipa deal za hela na training mbalimbali, mwisho wa siku alikuwa mpole tukawa marafiki
Dawa yao kaa kimyaa ujifanye mdogo
 
Unaonekana wewe una above 30 na ba hujaolewa, ndo stress zenyewe hizo
Mtoa mada hajaongelea habari ya ubosi wala uzembe we umeshaenda kwingine. Kubali matokeo kama hujaolewa
ivi mpaka leo hujanijua vzr??
mama wa kidos 4 na kifuachuma wa haja, nina miongo nakaribia kuanza wa nne.
 
Habari zenu wakuu.

natumai mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kulipeleka mbele gurudumu la Tanzania.

Kuna hiki kitu huwa najiuliza lakini sipati jibu, hivi kwanini wadada ambao wana 30 na kuendelea wanakuwa visirani sana, unakuta dada ananuna bila ya sababu muda wote, maana hata kazi haziendi, ukimuambia hivi kosa, ukimuambia vile kosa. Mtu unabaki unajiuliza me ndio niliokufanya usiolewe au nilikutia mikosi.

Basi sawa hata kama ndio mna stress zenu, msije nazo mpaka sehemu za kazi mziache nyumbani kwenu.

Kitu kingine ambacho kinashangaza, nyie huwa mnasema "kuolewa ni bahati", sasa mpaka umri uliokuwa nao kwanini usikubali matokeo kuwa hauna bahati ya kuolewa, kina dada msifanye hivyo bhana kama umeamua kuja kazini njoo stress zenu kwenu.

Natumai wahusika mtakuwa mmeupokea ujumbe na kuufanyia kazi, mnatukwaza wenzenu bana, wengine hatupendi kuona mwanamke ananuna hana furaha.

Ni hayo tu.
Mkuu ni majanga salamu hawatoi wakiona upo na BINTI ,wakikuona na binti pia Mara wakuangalie kwa dharau kukutema mate aaarg
 
maskinii ! ana kasoro gani watu hawamtaki?
wengine sio kwamba wanaume hawawataki. Wao hutaka kuolewa na mwanaume ambaye ukitajiwa sifa/wasifu wake utagundua kwamba huyo mtu ni imaginary na ha- exist, hivyo hustukia wameshazeeka kabla hawajaolewa.
 
Ninavyofahamu maisha yoyote utakayo yachagua yana changamoto zake. Ukiwa married, single, sister, pastor etc.

Stress zinaweza zikampata yeyote regardless uko married or not. Na zikamfanya someone to behave strangerly. Kwa bahati nzuri huwa stress zinaweza kumpata yeyote mwanaume au mwanamke. Ila kutokana na culture na jamii inayotuzunguka issue fulani akiifanya mwanaume inakuwa poa ila the same thing akifanya mwanamke inakuwa big deal na inatengenezewa justification kibao.

Mtoa mada: hicho alichokifanya huyo dada mwenye 30+ anaweza akafanya hata dada mwingine mwenye 20- au hata wewe mwenyewe unaweza ukawa hivo kutokana na kadhia ulizo kutana nazo siku hiyo.
 
ivi miongo kuanzia mi4 ni miaka 29??

uliandika karibia unaanza muongo wa nne. ukisema karibia unaanza muongo/mlongo wa nne maana yake unakaribia kugonga 30 years kiumri, hapo umemaliza miongo mitatu tayari na unaanza wa nne.
correct me if I m wrong, na pia kubali kama utaona umekosea.

rejea post yako hapa chini

ivi mpaka leo hujanijua vzr??
mama wa kidos 4 na kifuachuma wa haja, nina miongo nakaribia kuanza wa nne.
 
uliandika karibia unaanza muongo wa nne. ukisema karibia unaanza muongo/mlongo wa nne maana yake unakaribia kugonga 30 years kiumri, hapo umemaliza miongo mitatu tayari na unaanza wa nne.
correct me if I m wrong, na pia kubali kama utaona umekosea.

rejea post yako hapa chini
why not 39?
 
Hivi wewe unajuwa 1decade ni miaka mingapi?
 
uliandika karibia unaanza muongo wa nne. ukisema karibia unaanza muongo/mlongo wa nne maana yake unakaribia kugonga 30 years kiumri, hapo umemaliza miongo mitatu tayari na unaanza wa nne.
correct me if I m wrong, na pia kubali kama utaona umekosea.

rejea post yako hapa chini

You're right bro...!
 
Back
Top Bottom