Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,608
- 109,239
Dah...mzee mzima unataka kubisha tena...!
10+10+10 +10=?
Dah...mzee mzima unataka kubisha tena...!
=40
Muongo wa nne unaanzia kwenye 30 au 40?
hivi kwani wanawake hawawezi kuishi bila wanaume?
Pia muda mwingine menopause inachangia, na at 30's kwa wengine ndo dalili zinaanza kujitokeza....hata kama kaolewa anaweza kuwa kisirani hatari....!
Anza kusoma upya post yake then huwezi kuja tena na maswali ya kitoto.
gfsonwin huyu mwanafunzi wako endelea naye.ivi mpaka leo hujanijua vzr??
mama wa kidos 4 na kifuachuma wa haja, nina miongo nakaribia kuanza wa nne.
You're right bro...!
=40
Muongo wa nne unaanzia kwenye 30 au 40?
Hata wewe mkuu... Nijuavyo muongo mmoja una 10yrs, kama anakaribia kuanza wa nne it.means ana miongo mitatu = 30+...
0-10 1st dec, 11-20 2nd dec, 21-30 3rd dec, 31-40 4th dec. Sasa kama ndo anakaribia muongo wa 4 kwa nini asiwe kwenye late 20's?Amesema anakaribia kuanza muongo wa nne... Which means yuko karibu na muongo wa nne... 38/39yrs!
0-10 1st dec, 11-20 2nd dec, 21-30 3rd dec, 31-40 4th dec. Sasa kama ndo anakaribia muongo wa 4 kwa nini asiwe kwenye late 20's?
Matola nadhani sio kosa lako. Majukumu na wanawake wanatufanya tushindwe kufanya reasoning ndogondogo kama hizi. Sorry buddy..!0-10 1st dec, 11-20 2nd dec, 21-30 3rd dec, 31-40 4th dec. Sasa kama ndo anakaribia muongo wa 4 kwa nini asiwe kwenye late 20's?
True that..jaman wanawake tuna tabu.......
so kama hajazaa akinuna kisa ni hana mtt
kama hajaolewa akinuna kisa ni hana mume
sasa kama kaolewa na ana mtt akinuna kisa huwa ni nini?
mbona vitu vingine ni tabia tu na wala havina uhusiano na status za watu?
Dada yangu charminglady utakuwa umemuelewa Sanji sio??Amesema anakaribia kuanza muongo wa nne... Which means yuko karibu na muongo wa nne... 38/39yrs!
Kuna mtu hapa leo ndio nimegunduwa ana miaka 24 sitopata tena shida ya kulumbana na school boys.
Pamoja kaka,hakuna kitu kinachotushinda sana sisi watu wa dunia ya 3 kama logical thinking and reasoning. Na rule ya 1 ni kutokudharau wazo lisilo lako bali yakupasa kulitafakari kabla ya kuhitimisha, kama nilazima.