BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,744
- 3,546
Mbona hujaweka @cc: ?au hjui kuwa hata humu wamejaa? mutant gene
Last edited by a moderator:
Kuna ka ukweli, ila hujakajengea hoja tu, kadhalika wanamme.
Stress mbaya sana, na hii inawaathiri wanawake zaidi. Hata performance Yao makazini inapungua. Wengine wala sio mabosi lakini unaona wanavyoumia rohoni, ukimgusa tu hata kwa utani umeharibu.
Sio stress za ndoa tu, hata tamu. Kama mdada amekaa mda mrefu sana bila kupewa dozi anakuwa restless na mistress, mawazo na performance kazini huwa sio nzuri.
Kwenye hili ni kweli kabisa
Na hata kukataa ukweli huu ni tabia yao pia!
wanaume wengi hawapendi mwanamke awe juu
Na wanaume weng hawapend mwanamke mmbea na mchonganishi hahahahaaa lol