Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

1st AID

1st Aid umenifurahishaje leo. Yaaani nimekupenda bureeee bila chenga..wherever u r Big up sana bebito
Umefanya niume kucha! asante nak..nda pia

queenlishas nimepata trauma..niambie kipi kimekufurahisha mpaka unimwagie malove ya bure bila chenga?
 
Tulikuwa tunaanza la kwanza kavukavu, huko huko ukajifunze kila kitu.

Huyu hakuwepo kipindi tunazungusha mkono kushika sikio la upande wa pili. Then unaoneka kuwa tayari kuanza shule..
 
Habari zenu wakuu.

natumai mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kulipeleka mbele gurudumu la Tanzania.

Kuna hiki kitu huwa najiuliza lakini sipati jibu, hivi kwanini wadada ambao wana 30 na kuendelea wanakuwa visirani sana, unakuta dada ananuna bila ya sababu muda wote, maana hata kazi haziendi, ukimuambia hivi kosa, ukimuambia vile kosa. Mtu unabaki unajiuliza me ndio niliokufanya usiolewe au nilikutia mikosi.

Basi sawa hata kama ndio mna stress zenu, msije nazo mpaka sehemu za kazi mziache nyumbani kwenu.

Kitu kingine ambacho kinashangaza, nyie huwa mnasema "kuolewa ni bahati", sasa mpaka umri uliokuwa nao kwanini usikubali matokeo kuwa hauna bahati ya kuolewa, kina dada msifanye hivyo bhana kama umeamua kuja kazini njoo stress zenu kwenu.

Natumai wahusika mtakuwa mmeupokea ujumbe na kuufanyia kazi, mnatukwaza wenzenu bana, wengine hatupendi kuona mwanamke ananuna hana furaha.

Ni hayo tu.

Nyege hzo. Akipata mtu wa kum tightisha kisawa sawa mbona anabadilika huyo. Alaf wadada walio single, wenye hela na vyeo makazini kwao ndio huwa nawataka, nsha wa gegeda kama watatu hvi wa type hzo istoshe hawana gharama kama mwanaume ukijishusha na kujifanya mjinga......Si kingine ni nyege tu hzo zinawasumbua. Kama unajiamini mtongoze na ugegede utakuja kuniambia mwenyewe.
 
nisamehe buree
eti nimeusoma uzi wako nikapata picha eti wewe ni subordinate wa mdada ofcn kwenu
af mdada amekuwa mkali so ukaamua kumjengea hioja kwamba ni mkali kisa hajaaolewa
kumbe sio kweli, mzembe ni wewe na anakugombeza kisa uzembe wako
jiongeze na wewe ili usiwe subordinate.

af sjui kwann hili ni kwazo sana kwa wakaka yaan bosi akiwa mdada tu ataandamwa hadi akome, mara oooh ana mastress ya kutoolewa, akiolewa mara ooh ana stress za ndoa, hakunaga jema jaman mdada akiwa bosi
Nimekupenda bureeeeee,una akili sana.May God bless u
 
Nani hakuwepo na wewe mm nillianza nikiwa na 12above
unavyosema sikuwepo kwanini? Kwanza mm ni mkubwa mwenzio
huyu hakuwepo kipindi tunazungusha mkono kushika sikio la upande wa pili. Then unaoneka kuwa tayari kuanza shule..
 
nisamehe buree
eti nimeusoma uzi wako nikapata picha eti wewe ni subordinate wa mdada ofcn kwenu
af mdada amekuwa mkali so ukaamua kumjengea hioja kwamba ni mkali kisa hajaaolewa
kumbe sio kweli, mzembe ni wewe na anakugombeza kisa uzembe wako
jiongeze na wewe ili usiwe subordinate.

af sjui kwann hili ni kwazo sana kwa wakaka yaan bosi akiwa mdada tu ataandamwa hadi akome, mara oooh ana mastress ya kutoolewa, akiolewa mara ooh ana stress za ndoa, hakunaga jema jaman mdada akiwa bosi

Unaonekana wewe una above 30 na ba hujaolewa, ndo stress zenyewe hizo
Mtoa mada hajaongelea habari ya ubosi wala uzembe we umeshaenda kwingine. Kubali matokeo kama hujaolewa
 
Hahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu jamani sitishi bhana si unajua hata kiongozi wetu wa tz kwanza naye alianza msingi akiwa na 12 yrs?
haaahahhh umetisha mi nakumbuka nikiwa nilishindwa kushika sikio bse ya ufupi na umri ukiwa tayari,ni mbaya jaman
 
wewe ni mwalimu wangu
halafu unasema sijui sasa kuhesabu hivi

pp.png
nani alinifundisha kama sio wewe?
wewe ni mkubwa mwenzangu bhana
Mmmh... Haya mkubwa mwenzangu..!
Mambo ya kikubwa unayajua???
 
jaman wanawake tuna tabu.......
so kama hajazaa akinuna kisa ni hana mtt
kama hajaolewa akinuna kisa ni hana mume
sasa kama kaolewa na ana mtt akinuna kisa huwa ni nini?

mbona vitu vingine ni tabia tu na wala havina uhusiano na status za watu?


teeeeell them mamaaa.. akiwa na mme na watt watasema hasuguliwi vizuri na mmewe, watu wanajitiaga wajuaji saana kwa ku`judge maisha ya watu, unaweza pata wenyewe ndy vyavyo vya kununiwa na hao.. wao wamebakia kuwapakazia tuu...FYI (TINDIKALIKALI & Muntant gene) some are happily single n single mama, jichunguzeni nyie kwanza. mxiiiiiew! mmeuzi kishenzi.:angry: mimi sio 30 am very below that but yu guys shud learn to be logical.
 
nisamehe buree
eti nimeusoma uzi wako nikapata picha eti wewe ni subordinate wa mdada ofcn kwenu
af mdada amekuwa mkali so ukaamua kumjengea hioja kwamba ni mkali kisa hajaaolewa
kumbe sio kweli, mzembe ni wewe na anakugombeza kisa uzembe wako
jiongeze na wewe ili usiwe subordinate.

af sjui kwann hili ni kwazo sana kwa wakaka yaan bosi akiwa mdada tu ataandamwa hadi akome, mara oooh ana mastress ya kutoolewa, akiolewa mara ooh ana stress za ndoa, hakunaga jema jaman mdada akiwa bosi
ungemwambia sio kwa wadada tu, hata wanaume wanaweza kuwa hivyo. hii inatokana na stress, ukipitia kitu kinachokupa stress basi yeyote atakayepita mbele yako aangalie asiingie kwenye anga zako, hasira zote zinaishia kwake. ninaye mdada mmoja nafanya naye kazi, ni 37, hajaolewa, hana mtoto, wachumba naona wanamchezea tu na kumkimbia. unaweza kufanya naye kazi leo vizuri tu, ila kesho usifikiri kama atakuwa kama leo, anaweza kukubadilikia hadi ukakimbia, muda wote kununa etc. sitaki kusema inawatokea wadada wasiozaa au wasioolewa, lakini hata wanaume wasiozaa, wasiooa, wenye kasoro fulani labda ulemavu unaowazuia kufanya kitu fulani na ambao hawakuzaliwa nao, yaani mtu yeyote mwenye stress kaa naye kwa akili, la sivyo atakuharibia siku.
 
ila kweli jamani nna mam angu mdodo ana38 hana mtoto han ndoa jamani utamuonea huruma anastress,vitu vidogo vidogo kwake bonge la ishu
uyamuonea huruma hata mchumba hana

Hahaaaa eti hata mchumba hana uwiii..babu yangu anatafuta mchumba
 
Back
Top Bottom