gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,715
are you hurted?Tuna tabu sana sie wenye 30+....
Uuuuuwiiiii.... Sijui nijitoe JF???
are you hurted?Tuna tabu sana sie wenye 30+....
Uuuuuwiiiii.... Sijui nijitoe JF???
Sasa wewe si mwanaume??
Inabidi tukija JF tuvae niqqab ili wasituone khaaaa....
hahaha sorry sana kwa mtazamo wangu.yap late 30's wit 4 kidos na kifua chuma .
so sifall ktk hilo kundi laa nafall ktk kundi la walala uchi kila siku usiku kwa ruhusa ya paroko
are you hurted?
hana kasoro kubwa zilizopo za kibinadamu
inafika mda anajitolea hadi mahari but anashindwa kuolewa
Kuoa/kuolewa hakuna umri labda kwenu huko Sengerema wewe mutant gene
Maskini ya Mungu.....uhenda alicheza mpaka akajisahau when she was hot, ila Mungu ana miujiza yake uhenda akapata mtu tena wa ukweli mkashangaa. msalimie, mwambie Matumbo anamsalimu sana.
nani kakuambia kwetu sengerema?Kuoa/kuolewa hakuna umri labda kwenu huko Sengerema wewe mutant gene
jaman wanawake tuna tabu.......
so kama hajazaa akinuna kisa ni hana mtt
kama hajaolewa akinuna kisa ni hana mume
sasa kama kaolewa na ana mtt akinuna kisa huwa ni nini?
mbona vitu vingine ni tabia tu na wala havina uhusiano na status za watu?