Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

hivi kwani wanawake hawawezi kuishi bila wanaume?

Mku hapa umedanganya ni wanaume tu sisi tusioweza kuishi bila wanawake reference adamu alininuna mpaka Mungu akaona ni vema amletee kiburudisho eva ndiyo mjinga akacheka baada ya kutoa nyege....
 
wanafundisha vyuoni kwani huwajui au unanitega sio?
aliyekufundisha nursery school anaitwa nani? kama sio teacher?
Mmmh..mwalimu wa waalimu? Wanafundishia wapi hao waalimu wa waalimu?
 
ila kweli jamani nna mam angu mdodo ana38 hana mtoto han ndoa jamani utamuonea huruma anastress,vitu vidogo vidogo kwake bonge la ishu
uyamuonea huruma hata mchumba hana

maskinii ! ana kasoro gani watu hawamtaki?
 
Back
Top Bottom