Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

sorry mkuu samahani sana kama nimekuboa niwie radhi
ladyfurahia...!
Kuna vitu sio vya kuandika kabla ya kufikiri.
Hicho ulichoandika ni very sensitive, huwezi kuandika kuwa nimekuja PM kwa ID nyingine wakati huna uhakika.
Huwa siendi PM ovyo...!
Nakuhesimu as a friend...!
 
Last edited by a moderator:
si nimeshakwambia sorry my friend,
sasa haya yote ya nini jamani bestito?
kuwa mwelewa best mkono wa mdomoni ulinitereza.



ila kuna mtu ameingia kwa pm yangu ambaye
ananifahamu kaamua kutumia id mpya ya
mwezi august sijui kwanini lakini wanafanya hivi?
utanisaidaje kwa hili best?
ladyfurahia...!
Kuna vitu sio vya kuandika kabla ya kufikiri.
Hicho ulichoandika ni very sensitive, huwezi kuandika kuwa nimekuja PM kwa ID nyingine wakati huna uhakika.
Huwa siendi PM ovyo...!
Nakuhesimu as a friend...!
 
buddie, niliposema ninakaribia kuanza muongo wa 4 i meant am close to my 40,s
sasa let go back to arithmetic is 40 inclusive ama exclusive unapoanza muongo wa 4??
11-20, 21-30,31-40, 41-50 sasa hapa ndipo penye utata wa swali come back mnipe majibu

Dada mkubwa, mie hesabu ilinipta kushoto, wacha nisikize tu!
 
mnaowasema 30's and above, bila shaka umri wenu mmeuweka pouse, lakini kama unaplay 30's mtapita tuuu, labda mfe kabla, so acheni kujishauwa kwa kujiona watoto.
 
jaman wanawake tuna tabu.......
so kama hajazaa akinuna kisa ni hana mtt
kama hajaolewa akinuna kisa ni hana mume
sasa kama kaolewa na ana mtt akinuna kisa huwa ni nini?

mbona vitu vingine ni tabia tu na wala havina uhusiano na status za watu?

Embu waambie! af watuacheee na gud time zetu
 
Habari zenu wakuu.

natumai mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kulipeleka mbele gurudumu la Tanzania.

Kuna hiki kitu huwa najiuliza lakini sipati jibu, hivi kwanini wadada ambao wana 30 na kuendelea wanakuwa visirani sana, unakuta dada ananuna bila ya sababu muda wote, maana hata kazi haziendi, ukimuambia hivi kosa, ukimuambia vile kosa. Mtu unabaki unajiuliza me ndio niliokufanya usiolewe au nilikutia mikosi.

Basi sawa hata kama ndio mna stress zenu, msije nazo mpaka sehemu za kazi mziache nyumbani kwenu.

Kitu kingine ambacho kinashangaza, nyie huwa mnasema "kuolewa ni bahati", sasa mpaka umri uliokuwa nao kwanini usikubali matokeo kuwa hauna bahati ya kuolewa, kina dada msifanye hivyo bhana kama umeamua kuja kazini njoo stress zenu kwenu.

Natumai wahusika mtakuwa mmeupokea ujumbe na kuufanyia kazi, mnatukwaza wenzenu bana, wengine hatupendi kuona mwanamke ananuna hana furaha.

Ni hayo tu.


Duh mambo mengine jamani!!
Yani kakasirika sababu hajaolewa!

Na akiolewa si ungesema malaya anajichekesha hovyo wanawake wanashida.
 
Back
Top Bottom