jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 995
umeona eeh! na hawawezi jua labda wao ndo huwa wanasababisha mdada kuwa hivyo kutokana na kauli zao kama hizo...MTUWACHE MIAKA BILIONI!!!!!
jaman wanawake tuna tabu.......
so kama hajazaa akinuna kisa ni hana mtt
kama hajaolewa akinuna kisa ni hana mume
sasa kama kaolewa na ana mtt akinuna kisa huwa ni nini?
mbona vitu vingine ni tabia tu na wala havina uhusiano na status za watu?