Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,347
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.

Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.

Video hii hapa

====

SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU

Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kushinda kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020 sio tatizo

Amesema waislamu wote wamekubaliana kumchagua Lissu. Hivyo atashinda tatizo linaweza kuja kwenye suala la kutangazwa

Pia Sheikh Ponda amesema Mungu atashindwa kusikia maombi na sala za watanzania kama hawatamchagua Tundu Lissu kuwa Rais

#JFLeo #JamiiForums #Uchaguzi2020 #TZ2020



Your browser is not able to display this video.
 
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga, na wanaomuunga mkono Lissu wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
 
wataiba tena bila presha yoyote how to evade ghost voters and ghost polling stations
Na safari hii wakijaribu kuiba kura watakoma, Lissu hataki ujinga, wafadhili/mabeberu nao hawataki ujinga na wanaomuunga mkono wote nao hawataki ujinga, CCM itabidi wajue wataibaje hizo kura kwa akili vinginevyo kazi wanayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…