Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Kisbo ni usafiri wa uhakika na naamini kufikia saa 7 usiku utakuwa Dar, usiangalie umepitwa na basi ngapi njiani
kisbo ni hatari usiwe na haraka utafika dar leo.na ukitoka dar unafika mwanza hakuna kulala.
 
kisbo alikua anasumbuliwa na city boy. leina tour.kwa sasa dar mwanza hayo masemi trela.kisbo baba yao
 
Muda mwingi tunasafiri kama adventure

Unajisikiaje unapita njiani unapishana na aina tofauti tofauti za uoto wa asili
Milima,mapori miji
Vijiji n.k

Kwangu ni adventure

Naenjoy kusafiri kwa bus kuanzia Mbeya - Arusha
Dar-Kigoma
Sumbawanga
Ilmimradi nisafiri kuenjoy uumbaji.
 
Speed za kawaida tu
Ingekua na speed kali ingeingia Dar saa nne kamili.
 
Duuu nikipataga root ya kigoma huwa kichwa kinaniuma
Vumbi, Gari bovu, watu wanagonga kilugha ad unajistukia
 
Safari ya dar-mwanza inabikumbusha mbali sana


Kwenye ally’s walikuwa wananijua nakaafa siti no 1 pembeni ya dereva.
Nadhani hiyo nia ndio nmesafiri mara nyingi zaidi na nimeshapata ajali mara 2 na kulala porini mara 1
 
Ungepanda fastjet tu, nimekuja mwanza kwa fastjet kwa elf 79, kufika mwanza nimelipa elf 15 mpak tabora, nikalipa elf 5 mpaka urambo, nikalioa 7 ya bodaboda elf 7 mpaka kijijini songambele, dar nimetoka saa 12, mwanza saa 1 na robo mwanza, saa 4 ninetoka mwanza, saa 10 mboka, nikafika urambo saa 11 na nusu, nikaingia kijiji songambele saa 12, nilisave muda sana, ningechukua basi ningelala tabora mjini gharama nyingine
 

Hata wakati limesimama lilipitwa na TOYO, kupitwa siyo hoja ya Msingi
 
Mwandila
 
Kisbo huyo mnyama hata madereva wa mabasi mengine wenyewe wanaukubali mziki wake.

Dereva akitembea spidi 2 tajiri anambadilisha anampa basi dereva mwingine.

Tajiri ananunua tochi,yaani dereva akipigwa tochi yeye tajiri anachekelea,anaona huyo ndio mwanaume,gari halitalala njiani.

Hizo gari ni kwikwi aisee,sijui zina injini za ndege,yaani zinatiririka balaaa

Mkuu we kula Popcons zako tu,Dar mapema tu hao DarLux gairo kunawahusu.

Mi ni konda hapa Msamvu, yaani hii basi ikiingia tu hapa stendi wappiga debe wote wanaacha shughuli zao wanapiga miruzi kushangilia chombo kinavyoingia kibabe stendi.

Hilo basi ni la Kibabe hatari mjomba
 
Mhola sana. Wagisyage songambele. Ene ni waurambo
Mitaa gani mkuu, nipo songambele huku, kweli hapa kazi imepamba moto, mvua zinanyesha sana, urambo yote ni greenish, hali ya hewa tamu sana, ila asubuhi miji unaikuta na watoto tu, mpaka mida ya saa 7 ndio wanaanza onekana, kweli hapa kazi imepamba moto
 
Kula dk 5??? Hapo ni ununue take away,
Kusafiri na mibasi bongo shida tupu.
Break kula ni 30 min full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…