mlagilamakawao
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 189
- 120
Bora hihihi kuliko mwendo kasi mie sitaki speeedPremier siyo gari kabisa utalala mafinga na saa kumi alifajir kesho utaendelea na safari keep calm mbeya kesho saa 2+ asubuhi,
Bora hihihi kuliko mwendo kasi mie sitaki speeedPremier siyo gari kabisa utalala mafinga na saa kumi alifajir kesho utaendelea na safari keep calm mbeya kesho saa 2+ asubuhi,
Nipo premier kwenda mbeyaKwahiyo wewe uko basi gani.. Fanya mpango muonane na huyu mwana jf mwenzio
Tunafukuzana ila Dodoma ndo tutaachanaKwahiyo wewe uko basi gani.. Fanya mpango muonane na huyu mwana jf mwenzio
Mimi pia ni wa dar OG ila vitu vingine hatar![]()
![]()
![]()
tuachieni wanaume zetu jamani.
Kumbe uhujui mziki wa premier eeeeh...we subiri uone, SAA 3 mko Iringa hiyo km 970 toka Mwanza,afu ndo muanze itafuta MbeyaWatu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa
Kwa kisbo dar utatoboa leoleo labda gari izingue njiani. Lkn kama mmeongozana na dar lux ile mpya DLF ikiwatangulia tu mtakutana nayo darnimeiona dar lux nyuma yetu hapa missungwi stand. sasa nataka nione kisbo vs dar lux. ikitupita na hii yaan ndo ntakata tamaa kabisa na kujiandaa kisaikologia kulala moro
Ligi tamu sana bhabhaUnafurahi ligi,
nimeiona dar lux nyuma yetu hapa missungwi stand. sasa nataka nione kisbo vs dar lux. ikitupita na hii yaan ndo ntakata tamaa kabisa na kujiandaa kisaikologia kulala moro




Unaizungumzia kisbo ya zamani sana ndg,kisbo sasaivi kichomi kizuri tu.Mkuu kama utasikia mabasi yote ya nwanza yamelala Moro isipokuwa gari moja, basi hiyo gari moja itakuwa Kisbo. Wewe tulia mtoke shinyanga hakuna uchwara itawaona hapo
leo sijabahatika aisee
Nani ka kuambia mwanza dar fast jet n 150000 unajidanganya mchana kweupeNauli kutoka Mwanza hadi dar Kwa basi ni elfu 60, Chakula njiani 20, tax kufika standi 10, ( masaa 14hrs road) ukishuka ubungo either ulale gest 30000 au uchukue tax elf 30, kama kuna ndugu Wa kukupokea (hasara na usumbufu Wa kukufuata stand tumpe naye elf 30) haya uchofu Wa safari utakupasa upumzike ambapo hasara ya kulala siku nzima inayofuata elf 30 n.k let's say imekucost laki mbili kupanda bus,
Ungefanya mipango ya FASTJET 150000 /= AU Ungefanya mpango Wa precision Air 360000/= Ungefika chap na Kwa haraka ukaendeleza majukumu yako ya kuingiza Pesa nyingine ;
Mi ninafikiri siku nyingine panda ndege kupunguza gharama ( Note; gharama zingine hazionekani direct)
SAFARI ZA BUS MASAFA MALEFU IFIKE MAHALI TUACHANE NAZO zimepitwa na wakati ( Tutumie bus safar fupi fupi)
==========================
NI SAWA NA KUNUNUA KIWANJA KWENYE KILIMA AU BONDENI 2MIL HALAFU MSINGI WA NYUMBA IKAKUCOST 15MIL pamoja risk za Maji na bomoabomoa! Wakati kuna viwanja flat saafi vinauzwa 8mil na mzingi only 3mil na ni sehemu salama
![]()
![]()
![]()
tuachieni wanaume zetu jamani.
Hao kisbo wamefungiwa sana na mwaka Jana sijui walifutiwa leseni lazima wabadilikekhaa! kuna gari inaitwa katagi nayo imetupita hapa hatujafika hata missungwi
Hivi we ni mdada eeenh!?...eti mejikuta tuu nataka kujua mkuu...samahani lakini?Wala usiwaze kabisa mkuu unaingia dar leo leo hilo basi ni hatari usijali kuhusu kupitwa yatakutwa na yatapitwa yote.
Hapana, hamna basi inayoitwa Master ni Frestermkuu ulituona?!