Scania za Engine nyuma Kiswele na MaketeWe tunaendana umri.Miaka ya 1992 mpaka 95 wamasai wa Ruvu walikuwa wanaulizana "Kiswele napita?" Haya toa ng'ombe.
Maana Kiswele iliwahi gonga ng'ombe 10 halafu ikatambaa.
Those days bus zilikuwa na bull bars.Na kulikuwa hakuna camera.
Basi zilikuwa zinakimbia balaa.
Route ya dar arusha ndio imekua ya kibwege hakuna gari linalokimbia tena...
Daima tutazikumbuka
Buffalo
Ngorika macedonia
Chakito longway
Meridian express
Mkuu leo tumeifanya safari yako kuwa fupi sana, tangu ulipoanza safari asbh tuko na wewe tu, binafsi safari ya mwz Dar kwa basi huwa inaniwazisha sana, manake sio kwa kuchoka kule....hope umeinjoy kusafiri na kisbo safari, mwenye basi anatakiwa akupe ticket ya bure kurudi mwanza manake umeitangaza gari yake sana tu.......sikuiona mkuu.
Mkuu leo tumeifanya safari yako kuwa fupi sana, tangu ulipoanza safari asbh tuko na wewe tu, binafsi safari ya mwz Dar kwa basi huwa inaniwazisha sana, manake sio kwa kuchoka kule....hope umeinjoy kusafiri na kisbo safari, mwenye basi anatakiwa akupe ticket ya bure kurudi mwanza manake umeitangaza gari yake sana tu.......
New force na golden deer ni kampuni moja. Zote mmiliki wake ni Jason(mchina) na mara nyingi madereva wanabadilishiwa magari. Madereva wakali ni Jaja na Linyama... Wote wa tunduma.mi naona new force ya tunduma ndo iko vizuri maana huwa napanda zile Costa za usku (Hakuna kulala) kila ukitoka mbeya gari ya kwanza kupishana ni new force ya tunduma
dah..! nahisi kuna watu wame bet muda wa kisbo kufika dar(ubungo), maana wananchi wanaufuatilia huu uzi kwa umakini wa ajabu
Ndiyo tunatoka msamvu sasa.mtatoboa kweli!
Hahahahaaa safi sana mkuu.. Mmiliki wa kisbo/kibo/skyline ni Husein Nkya.kweli aisee, safari imekuwa fupi na ya kupendeza zaidi. huyu mwenye kisbo anifikirie kwa kweli teh!
dah..! nahisi kuna watu wame bet muda wa kisbo kufika dar(ubungo), maana wananchi wanaufuatilia huu uzi kwa umakini wa ajabu
hapo sawa mkuuNew force na golden deer ni kampuni moja. Zote mmiliki wake ni Jason(mchina) na mara nyingi madereva wanabadilishiwa magari. Madereva wakali ni Jaja na Linyama... Wote wa tunduma.
Mfikishie hizi taarifa....tunaomba ticket ya kurudi mwanza ya huyu nduguHahahahaaa safi sana mkuu.. Mmiliki wa kisbo/kibo/skyline ni Husein Nkya.
Kumbe mchaga wa machame... Mm nilidhan ni msukuma...Hahahahaaa safi sana mkuu.. Mmiliki wa kisbo/kibo/skyline ni Husein Nkya.
Bila shaka... Fika ubungo no 40 utajipatia tikiti yako kwa bei nafuu. Bila kusahau popcorn na maji uwapo njiani. Karibu The Kirikiri nationMfikishie hizi taarifa....tunaomba ticket ya kurudi mwanza ya huyu ndugu
Uko sahihi kabisa. Sio msukumaKumbe mchaga wa machame... Mm nilidhan ni msukuma...
Hahahahahaha super sami haina maishaKuna mghamba na asante rabi za arusha ni noma sana mkuu
Ungepanda kitu kimoja kinaitwa super samy hakika usinge juta
Mwanza - dar hakunacku hizi kuna mghamba ya MWZ_Dar?? Najua za arusha na moshi na wao mnaachania Singida wao wanaelekea kateshi_Bahati nyie mnasonga Dom