Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

khaa! kuna gari inaitwa katagi nayo imetupita hapa hatujafika hata missungwi
Katagi inaenda zake mbeya.Ila jua mnyama kisbo atakuwa mbele tu. Alafu utatupa mrejesho. Kwa mbeya katagi ndo [emoji146] wao
 
Kwa hyo wenye mabasi wayaapaki au
 
Huu ndio uzi wa wiki, kifurushi kimekata namwagiza dogo kwa Mangi fastaaa! Sexer kama huna bando niambie dogo alete na vocha yako kabisa maana hii mida no kuchimba dawa no kununua vocha!

mkuu ni full data, network maeneo mengine inakata
 
Umenikumbusha ligi ya Tawaqal na Kiswele enzi hizo Dar to Songea, huku kuna giriki kule yuko Yogi palikuwa hapatoshi!
We tunaendana umri.Miaka ya 1992 mpaka 95 wamasai wa Ruvu walikuwa wanaulizana "Kiswele napita?" Haya toa ng'ombe.

Maana Kiswele iliwahi gonga ng'ombe 10 halafu ikatambaa.

Those days bus zilikuwa na bull bars.Na kulikuwa hakuna camera.

Basi zilikuwa zinakimbia balaa.
 
Kama mkipata ajali msilalamikie mwendo kasi ilhali mnaupenda kwa kiwango hiki. Pokeeni maumivu na mateso yake kwa namna hii hii mpendayo mwendokasi.

The Quill.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…