Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,247
- 47,443
Acha kutapatapa
Kama huyu. Anaandika thread akiwa anapuliza.
Kama huyu. Anaandika thread akiwa anapuliza.
Ulikuwa usanii hatariTurilejea kipindi Cha utumwa mbunge anaacha ubunge chama a anaenda kugombea ubunge huo huo chama b
Yule ni jembeMr Ruge bin Marila aligoma kucheua mabilioni?
Ila Mwendazake JPM alikuwa Mwamba kweli kweli. Zaidi ya mwaka na nusu kapumzika zake lakini JF Jukwaa la Siasa bado linadumu kwasababu ya jina lake. Kama Mayahudi walivyosema, "hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.."! Nami nadiriki kusema, "Hakika JPM alikuwa Mwamba na Jiwe hasa..."!Tuendelee kupambana na marehemu lakini kumbuka nchi ina shida ya
Maji
Umeme
Inflation
Rushwa
Huduma za afya ni tete
Usalama wa ndani ni kikuhemuhe
Wasiojulikana wanakata shingo bado
Tozo za kijambazi
Uongozi unaolamba asali
Ukabila na ukanda
Elimu mbofu mbofu
Na kazalika
Msisahau kumleta marehemu aje kujibu tuhuma zake
Hizo shida zote utatuzi wake umo ndani ya katiba mpya.Tuendelee kupambana na marehemu lakini kumbuka nchi ina shida ya
Maji
Umeme
Inflation
Rushwa
Huduma za afya ni tete
Usalama wa ndani ni kikuhemuhe
Wasiojulikana wanakata shingo bado
Tozo za kijambazi
Uongozi unaolamba asali
Ukabila na ukanda
Elimu mbofu mbofu
Na kazalika
Msisahau kumleta marehemu aje kujibu tuhuma zake
nani alimshambulia kwa risasi TUNDU LISU na kwann? mbona hajakamatwa hata kuku anayeshukiwa?Hawa vijana wa sasa hivi matumizi ya mihadarati yamewazidi.
Ili kiweninini?Nina mpango wa kuchunguza mifupa ya JPM chanzo cha kifo kipoje
Subhanallah!Yarabi roho yangu miye!Karibu ustaadh tulime vitunguu hapa Mtandika!Karibu kurbia yakheee!Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja,
Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake
EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe wake EL anaitwa Sumari akaambiwa join us au mkweo aoezee jela.
EL akichekecha kichwa akasalimu amri nani hapendi kiishi uraiani.
Orodha ni ndefu kuna RA mdogo wake alikamatwa na nyara za serikali na silaha kinyume cha sheria,RA akaitwa ikulu akaambiwa share zake zote za Radio M na Tv ya canal 10 azikabidhi kwenye chama chetu au mdogo wake afiie jela palepale RA akagawa share zake zote kwa chama kubwa.
Aliponogewa ndio akaanzisha plea bargain akachota mabilioni huko kama sio matrilioni toka kwa aliowatarget.
Unamkumbuka yule Rais wa Tucta aliyempelekesha Jk mpaka akaja na msemo wa mbayuwayu akili za kuambiwa changanya na zako?
Sasa kidogo Jpm yamkute kuna rais wa Tucta alitaka kumvimbia akaitwa akaambiwa we bwana wee acha ujanja wako una vyeti feki so tulia tule keki ya taifa ,jamaa akawa mpole,kwa kipindi chote cha utawala wake huyo bwana hakuwahi kuwatetea wafanyakazi.
Mnaodhani hii ni stori ya kufikirika ni kwamba huyo bwana ni msomi kweli,alikuwa ni daktari pale hospitali ya iringa,alizaliwa kijiji cha mtandika B,kata ya Ruaha Mbuyuni,wilaya ya kilolo,katika harakati za kutafuta elimu alitumia jina la mtu aliyefaulu ila akaitendea haki hiyo fursa akasoma mpaka kuwa doctor.
Watu wake wa karibu walimjua kwa jina la S.Kitamxxx..i ila akaja kutumia jina la Y Msigxxxxx
Case yake haina tofauti na ya Bashite.
RIP JPM
Tunahitaji rasimu ya wananchi maana ya warioba ina mtazamo wa kisiasa zaidiHizo shida zote utatuzi wake umo ndani ya katiba mpya.
Tupambane kuipata rasmu ya Warioba
Huyu Mzee ni mwamba hasa.Mr Ruge bin Marila aligoma kucheua mabilioni?
Msalimie Rais mataafu wa Tucta,uko mtandika A au mtandika BSubhanallah!Yarabi roho yangu miye!Karibu ustaadh tulime vitunguu hapa Mtandika!Karibu kurbia yakheee!
Nimewakuta na mzee Mapepele wanabadilishana mawazo.Wapo vizuri.😂😂😂Msalimie Rais mataafu wa Tucta,uko mtandika A au mtandika B
WasalimieNimewakuta na mzee Mapepele wanabadilishana mawazo.Wapo vizuri.😂😂😂
ila haya mambo inawezekana yakawa kweli kwasababu utawala ule nimewahi kushuhudia mzee mmoja pale mtwara mamlaka inamwambia atanyang'anywa korosho zake kama tani 50 alizovuna shambani kwake na atapewa kesi ya ununuaji kangomba kisa tu alikataa kutoa mchango wa mafuta kwa msafara wa CCM mkoaIla Mwendazake JPM alikuwa Mwamba kweli kweli. Zaidi ya mwaka na nusu kapumzika zake lakini JF Jukwaa la Siasa bado linadumu kwasababu ya jina lake. Kama Mayahudi walivyosema, "hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.."! Nami nadiriki kusema, "Hakika JPM alikuwa Mwamba na Jiwe hasa..."!
Na yeye alikuwa na Phd fakeNamkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja,
Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake
EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe wake EL anaitwa Sumari akaambiwa join us au mkweo aoezee jela.
EL akichekecha kichwa akasalimu amri nani hapendi kiishi uraiani.
Orodha ni ndefu kuna RA mdogo wake alikamatwa na nyara za serikali na silaha kinyume cha sheria,RA akaitwa ikulu akaambiwa share zake zote za Radio M na Tv ya canal 10 azikabidhi kwenye chama chetu au mdogo wake afiie jela palepale RA akagawa share zake zote kwa chama kubwa.
Aliponogewa ndio akaanzisha plea bargain akachota mabilioni huko kama sio matrilioni toka kwa aliowatarget.
Unamkumbuka yule Rais wa Tucta aliyempelekesha Jk mpaka akaja na msemo wa mbayuwayu akili za kuambiwa changanya na zako?
Sasa kidogo Jpm yamkute kuna rais wa Tucta alitaka kumvimbia akaitwa akaambiwa we bwana wee acha ujanja wako una vyeti feki so tulia tule keki ya taifa ,jamaa akawa mpole,kwa kipindi chote cha utawala wake huyo bwana hakuwahi kuwatetea wafanyakazi.
Mnaodhani hii ni stori ya kufikirika ni kwamba huyo bwana ni msomi kweli,alikuwa ni daktari pale hospitali ya iringa,alizaliwa kijiji cha mtandika B,kata ya Ruaha Mbuyuni,wilaya ya kilolo,katika harakati za kutafuta elimu alitumia jina la mtu aliyefaulu ila akaitendea haki hiyo fursa akasoma mpaka kuwa doctor.
Watu wake wa karibu walimjua kwa jina la S.Kitamxxx..i ila akaja kutumia jina la Y Msigxxxxx
Case yake haina tofauti na ya Bashite.
RIP JPM
Vipi kuhusu makonda?Na yeye alikuwa na Phd fake