vyeti feki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  2. chiembe

    Kwa nini Makonda anasimamia idara ya mafunzo na utafiti CCM wakati yeye mwenyewe ana tuhuma ya kuwa na vyeti feki?

    Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM. Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama...
  3. A

    DOKEZO Serikali itusaidie Wanafunzi Chuo cha Mbeya Training College, Chuo hakijasajiliwa kinatoa vyeti feki

    Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana (2022) wakati tunajiunga na chuo hiki ada ilikuwa ni Shilingi Milioni 1.36 na mmiliki wa chuo...
  4. S

    Bilioni 47 zilizotengwa Vyeti Feki walipwe hawa

    SUALA la kulipwa watumishi wa umma waliotumbuliwa vyeti feki kiasi cha shilingi Bilioni 47 linaonekana kuwa na kizungumkuti wa kisheria ndio maana hadi sasa hakuna Waziri Jenista Mhagama anawalalamikia maafisa utumishi kwamba wamekaidi agizo la Rais. Nilikuwa nashauri hizo bilioni 47 zitumika...
  5. Lady Whistledown

    TANGA: Watumishi wabainika kuongeza idadi ya Wagonjwa wa VVU ili kunufaika na Fedha za AMREF

    Watumishi wa afya katika wilaya ya Muheza waliohusika kusajili wagonjwa hewa 313 wa virusi vya Ukimwi (VVU) ili kuonyesha takwimu zipo juu za wanaoishi na VVU kwa maslahi yao binafsi ikiwemo kujinufaisha na fedha zinazotolewa na shirika la afya la AMREF. Awali akitoa taarifa kwa waandishi wa...
  6. M

    Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

    Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja, Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe...
  7. P

    Ikiwa watalipwa vyeti feki, nimekusudia kuishitaki Serikali

    Langu ni hilo! Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine! Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango. Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani...
  8. The Burning Spear

    Kulipwa vyeti feki upenyo wa wajanja kupiga hela

    Mi najua kufoji cheti au kitu chochote Kwa Nia ya kujipatia kipato ni udanganyifu na ni kosa la jinai. Sijui hawa watu wanalipwa Kwa sheria ipi. Au ndo kujaribu kusaka Kura za mapema. Achana na hivyo wajanja tayari wameona upenyo kuna hela wafanyskazi hewa wengi Sana wanaenda kulipwa. Hizo...
  9. peno hasegawa

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta), Tumaini Nyamhokya, waliokumbwa na vyeti feki wanalipwa kwa formular ipi?

    Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi. Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili...
  10. MANKA MUSA

    Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  11. Roving Journalist

    TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

    Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
  12. Jabali la Siasa

    Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

    Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania, POINT TO NOTE, 1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!? 2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!? 3. Hawa...
  13. J

    Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

    Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini? Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na...
  14. Analogia Malenga

    #COVID19 Ufaransa 13 wakamatwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti feki

    UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon. Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti vya COVID-19. === France Arrests 13 on Suspicion of Faking 60,000 Covid...
  15. DustBin

    Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

    Nawasalimu kwa jina la JMT Moja kwa moja niende kwenye mada. Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma. Heko..! Kwa...
  16. ommytk

    Hivi mafao kwa wale vyeti feki bado ayajaanza nakumbuka mama kama alisema tulipwe

    Kwa anayejua vipi kuhusu mafao ya sue vyeti feki maana wengine tulikaribia umri kustaafu tukakumbuna na hili dhoruba.sasa nakumbuka mama kama alisema tupewe mafao yetu mifuko ya jamii mpk sasa mbona kimya kuna mwenye taarifa nini kinaendelea maana tunalazwa hospital tunatoka basi tupo tupo mpk...
  17. The lost

    Serikali imeshindwa kuajiri vijana wenye vyeti halali, inarudisha kazini wenye vyeti feki

    Wakati mwingine mpaka unahisi kuna laana juu ya nchi yetu. Vijana wasio na mbele wala nyuma but wakiwa na taaluma zao mmegoma kuwapa ajira lakini cha kushangaza mnawarudisha wazee 4000 walioshutumiwa na kuondolewa kazini kwa udanganyifu wa taaluma zao. Watu hao kama walionewa waseme walienda...
  18. beth

    Mdee ahoji watumishi waliofukuzwa kwa vyeti feki kutolipwa

    Sakata la watumishi waliofukuzwa kazi kwa vyeti feki limetinga bungeni baada ya mbunge wa viti maalumu Halima Mdee kuhoji nini mstakabadhi wa malipo ya mafao yao. Mdee amehoji hilo leo Jumatatu Juni 7 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka...
  19. GENTAMYCINE

    Kurugenzi ya Habari Ikulu ifafanueni vizuri 'Vyeti Feki' nao 'Kulipwa' kwani huku Mitaani Mbwembwe na Hofu zimetawala

    Kwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa umuulize Mama au lifafanuliwe vyema nawe kwani ninayoanza kuyaona kwa 'Wahanga' nalo huku Mitaani ni...
Back
Top Bottom