Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Aisee!!!

Uelewa wa watu humu unasikitisha na kufurahisha at the same damn time!

How come some of us don’t even see a problem or difficulty in understanding the difference between ‘believing’ and ‘knowing’ but some seem to not even have an inkling of what those two are?

Good grief!
 
Uliza uambiwe ndugu.Inaonekana umejikita katika kubisha uwepo wa Mungu mpaka unapitwa na yanayojiri duniani.

Katika medicine watu kama wewe wanaitwa delusional...wana grandiose delusions ambayo ni dalili ya psychosis.
Hujajibu swali nililokuuliza, na kama kuna swali umejibu, sijakuuliza hilo.
 
Hapa sio size yako rudi huku ndio kunakokufaa... Kwenye hiyo mada yako moja umezungumzia kuhusu roho.. But am sure nikikuuliza saivi roho ninini hutaweza kujibu View attachment 784625
Wapi nimezungumzia roho mkuu?

Mbona unatapatapa sasa?

Umeulizwa kitu kimoja unakuja na Id yangu kuhusu post.

Hata ukiuliza roho ni nini. Jibu sijui kitu kiitwacho roho.

Akili ni nini au nini maana ya neno akili?
 
Hujajibu swali nililokuuliza, na kama kuna swali umejibu, sijakuuliza hilo.
God bless you my son...

I am signing out.It is is only imbeciles who can engage in these kind of depressive debates.
 
Hpana, post namba 100, nimeeleza vizuri sana umuhimu wa ku define terms ili nisije kujibu swali ambalo sijaulizwa na kuacha kujibu swali nililoulizwa.

Kwani Mshana kunipadefinition yake tuendeleena mjadala anaona ugumu gani? Kamakweli anaelewa anachoulizani nini?
Lakini kumbuka aulizaye swali ana nusu ya jibu.
Hivyo wewe mpe nusu na yeye ajazie ili na sisi tujumlishe Kama tutapata jibu sahihi.
 
Walozi mpo kamavile flat earthers walivyokuwapo.

Kuamini duara bapa kunakufanya uwe flat earther, hakufanyi dunia iwe bapa.

Kuaminiuchawi kunakufanya uwe mchawi, hakufanyi uchawi uwepo.

Mkuu unamaanisha kutokuamini uwepo wa mungu kunakufanya uwe mpinga mungu,
hakufanyi mungu asiwepo
 
Mkuu neno akili ni msamiati mpya?
Mnona tukienda ktk staili hii mijadala humu haita isha?

Mfn: wewe tukianza kuuliza kila neno la hoja zako utoe maana zake sidhan kama mjadala utaisha, kwasababu hata majibu utakayotoa tinaweza uliza maana ya kila neno katika jibu hilo ninini!!


Mshana Jr Wewe ni mwanaume?


Kiranga Nini maana ya mwanaume?

Ligi hii itaendelea kuwa ngumu
 
..mjadala wa kufikirisha huu...najua kiranga amemshika mshana pabaya....kudos ngosha!

..ngoja tumsaidiege mshana...Ili aweze kuendelea na alichotaka toka kwa kiranga..

..kwa uelewa wangu...akili au kwa kimombo ' intelligence' au 'intellect'au 'intellectual capacity' au 'mental capacity' au hata wengine humu wameita mind.......Ni uwezo wa kufikiri, kuelewa na kufanya maamuzi sahihi kwa kiwango kikubwa....
..akili (intelligence) hutofautiana Kati ya mtu na mtu na kwa maana hiyo kila mtu ana kiwango Fulani cha akili....na kwa maana hiyo swali la je mtu ana akili ama la si sahihi....

....kwasababu watu hutofautiana akili....basi kumewekwa kipimo cha akili ambacho huitwa intelligence quotient (ama IQ)....ambacho huonesha viwango tofauti vya akili Kati ya mtu na mtu....
...hii ni namna mimi navyoelewa akili....kama itawasaidia kwenye mjadala wenu...
 
God bless you my son...

I am signing out.It is is only imbeciles who can engage in these kind of depressive debates.
On that token, you are an imbecile too.

For you have already engaged me in this debate.

Imbecile.

I will callyou that name whenever I see you here. Citing your very own designation.
 
Lakini kumbuka aulizaye swali ana nusu ya jibu.
Hivyo wewe mpe nusu na yeye ajazie ili na sisi tujumlishe Kama tutapata jibu sahihi.
Kwa nini nimfanyie kazi yake?

Kuna watu wamefafanua maana yao ya akili ,na nimewajibu.

Kwanini wao walazimike kufafanua, halafu Mshana awe special?

Miminiko fair, principle moja kwa wote. One law for all.

Mshana afafanue tu, atajibiwa, la sivyo anapata tuhuma ya kukwamisha mjadala.
 
Mshana Jr Wewe ni mwanaume?


Kiranga Nini maana ya mwanaume?

Ligi hii itaendelea kuwa ngumu

Mtu mwingine atakwambia mwanamme ni mtu mume aliyeenda jando.

Mwingine atakwambia ni mtumume aliyefikisha miaka 18.

Mwingine atasema lazima awe rijali pia.

Mwingine atakwambia lazima awe na kwake.

Swali dogo, linaweza kuwa na tafsiri kibao.
 
Hii ni sawa na kuulizwa una "mbuzi" pasipo kujua ni mnyama au kifaa unaamua tu kujibi ndio au hapana. Hivyo basi mshana unatakiwa utoe maana ya AKILI

Ukiwa na kimojawapo kati ya 'mbuzi mnyama' na 'kibao cha kukunia nazi' UKO SAHIHI KUJIBU NDIO

Unaweza kutoa maana 3 za akili?
 
Mtu mwingine atakwambia mwanamme ni mtu mume aliyeenda jando.

Mwingine atakwambia ni mtumume aliyefikisha miaka 18.

Mwingine atasema lazima awe rijali pia.

Mwingine atakwambia lazima awe na kwake.

Swali dogo, linaweza kuwa na tafsiri kibao.

Sasa ukijibu kwamba huna/unazo akili utakuwa umekosea nini?

Jibu kwa muktadha wako!

Mshana Jr akisema si hivyo ndio aseme alikuwa anamaanisha akili kwa maana gani?
 
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao uasi hauwezekani, watu wana maamuzi ya kufanya mambo mazuri tu?

Unaposema halikuwa kusudi la Mungu, maana yako Mungu alishindwa kufikia kusudi lake?

Mungu anaweza kushindwa?
Unabishana na watu ambao hata basics tu za philosophy of religion hawajui...watu wanakuja kwenye debate wakati hawajawasoma kina St. Aquinas kujua hoja zao za uwepo Wa mungu. Wanakuja na majibu ya Katekisimu Yetu.
 
Aisee!!!

Uelewa wa watu humu unasikitisha na kufurahisha at the same damn time!

How come some of us don’t even see a problem or difficulty in understanding the difference between ‘believing’ and ‘knowing’ but some seem to not even have an inkling of what those two are?

Good grief!
And the question was or still is plainly simple and clear: define "akili" so that the interlocutor gets a chance to respond to "una akili?"... It's so sad
 
Back
Top Bottom