Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mpakasasa sijaelewakwa niniMshana anaona ugumu kujibu swali langu.

Kuna watu wanafikiri akijibu swali languanakuwa kashajijibu swali lake mwenyewe kwangu.

Fikra hizi ni potofu.

Swali la Mshana kwangu ni kama nina akili. Swali langu kwake ni akili ninini.

Akinipa maelezo ya akili ni nini, bado nitakuwa na swali la kujibu kama ninayo hiyo akili au sina.

Hata sioni kwa nini anaona ugumu kunijibu.
Nafikiri hapo kwenye kumtaka Mshana Jr akufafanulie maana ya akili anayokusudia ina hoja yenye mashiko.

Kwa sababu mtu anaweza kukuuliza vipi jana ulikula bata?

Unaweza kujibu ndio ukidhania bata yule ndege kitoweo kumbe anaekuuliza anakusudia bata kama kitendo cha kufanya starehe kama vijana wa sasa wanavyosema kwa lugha ya mtaani.
 
Hahahaaa! Funny!

About 3 weeks ago I met an ‘agnostic atheist’ who told me God fails the most basic common sense test.

I agreed with him. And one need not be a rocket scientist to see that.

But some of these folks here don’t seem to even know the difference between believing and knowing.

So how can one have a meaningful debate with someone who doesn’t even know or understand the basics of the subject of the debate??????
Kuna mtu anaitwa capitalpool

Anaandika kwamba kuna swali kashawahi kuniuliza nikashindwa kumjibu.

Nikasema naaam, hawa ndio watu nnaowataka wenye maswali magumu ambayo sijayajibu.

Mimi sijawahi kukimbia challenge ya swali, niko radhi kusema sijui jibu kuliko kukimbia swali.

Sasa namsoma namsoma, najisikia vibaya kwamba anafikiri nimekimbia swali, nataka nilijue hilo swali gani gumu hilo?

Huyu mtu atakuwa amesoma "The Critique of Pure Reason" cha Immanuel Kant?

Kasoma proofs za Alvin Plantinga labda, anatakakuja na arguments za "God's own philosopher" ?

Kamsoma St. Anselm? St. Augustine?

Anakuja na vigongo vya Thomas Aquinas? Au John Calvin?

Namsomaa, namsomaa.Anauliza swali gani?

Eti ananiuliza kama nishawahi kuuona upepo!

Huyu hata hajui kwamba ninampinga Mungu kwa sababu ya contradiction za kidhana kwenye uwepo wa huyo Mungu, sijawahi kumpinga Mungu kwa sababu haonekani. Gravity haionekani, lakini conceptually haina contradiction na ina ushahidi kwamba ipo, sijawahi kuipinga.

Sasa with this level of skuldugerry and hogwash hullaballoo tutajadiliana vipi mjadala wenye maana?
 
Nafikiri hapo kwenye kumtaka Mshana Jr akufafanulie maana ya akili anayokusudia ina hoja yenye mashiko.

Kwa sababu mtu anaweza kukuuliza vipi jana ulikula bata?

Unaweza kujibu ndio ukidhania bata yule ndege kitoweo kumbe anaekuuliza anakusudia bata kama kitendo cha kufanya starehe kama vijana wa sasa wanavyosema kwa lugha ya mtaani.
Shukurani kwa kuelewa.

Sasa sielewi kwa niniMshana anaona ugumu kufafanua kwamba kwa mujibu wa muktadha wa swali lake,Akili ni nini.

Kwa sababu anaweza kuniuliza "una Akili" nikamjibu ndiyo ninaye mshikaji wangu anaitwa Akili yupo home kwangu tunaangalia ndondi kwenye pay per view tumechangishana.

Halafu nikawa nimejibu kitu tofauti na alichouliza.
 
Mungu angekuwepo, mtu asingeishikwamiaka 70 tu, angeishi milele.

Watu kuishi miaka 70ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unaelewa hilo?
Kila kitu kina mwanzo na mwisho.Wewe Kiranga utakufa tu.Hakuna anajejua maisha baada ya kifo ni yatakuwaje.Kwa kifupi ubishi wako hauna tija.Wewe endelea na imani yako ya kipagani na waache wenzio waishi maisha ya hofu ya Mungu.Kuna mambo mengi hatuyafahamu.

Nakushauri utumie sehemu yako ya maisha ilitobakia kutenda na kuwasaidia wenzako inapobidi.Furahia maisha yako.Mambo mengine ambayo huna uhakika nayo yaache moyoni mwako.Ni bora kuamini Mungu yupo ukamkuta hayupo kuliko kujitia ujuaji kuamini wewe ndio Mungu alafu mwisho wa siku unakufa unakutana naye.
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho.Wewe Kiranga utakufa tu.Hakuna anajejua maisha baada ya kifo ni yatakuwaje.Kwa kifupi ubishi wako hauna tija.Wewe endelea na imani yako ya kipagani na waache wenzio waisha maisha ya hofu ya Mungu.

Nakushauri utumie sehemu yako ya maisha ilitobakia kutenda na kuwasaidia wenzako inapobidi.Furahia maisha yako.Mambo mengine ambayo huna uhakika nayo yaache moyoni mwako.Ni bora kuamini Mungu yupo ukamkuta hayupo kuliko kujitia ujuaji kuamini wewe ndio Mungu alafu mwisho wa siku unakufa unakutana naye.
Kufa ni ushahidi kwamba Mungu hayupo. Si ushahidi kwamba Mungu yupo.

Usibadili mambo juu kukawa chini na chini kukawa juu.

Kwanini Mungu mwenye uwezowote, ujuzi wote na upendowote, awatenganishe baba na mama, mtoto na wazazi, ndugu, jamaa na marafikiwanaopendana sana kwa kifo?

Kwanini hakuumba ulimwengu huu usiwezekane kuwa na kifo?

Uwezoalikuwa nao, ujuzi alikuwa nao, upendo alikuwa nao.

Kwa nini hakuumba dunia hii isiweze kuwa na kifo watu wapete milele?
 
Kufa ni ushahidikwamba Mungu hayupo.

Kwanini Mungu mwenye uwezowote, ujuzi wote na upendowote, awatenganishe baba na mama, mtoto na wazazi, ndugu, jamaa na marafikiwanaopendana sana kwa kifo?

Kwanini hakuumba ulimwengu huu usiwezekane kuwa na kifo?

Uwezoalikuwa nao, ujuzi alikuwa nao, upendo alikuwa nao.

Kwa nini hakuumba dunia hii isiweze kuwa na kifo watu wapete milele?
Uumbe basi na wewe viumbe visivyokufa.
 
Heshimu mawazo ya mtu izo lugha chafu unazomtamkia kiranga zina maanisha kuwa una uchungu sana na mungu ?
Au
Mungu ndiye amekutuma kuongea hivyo?
Ungeanza kwanza kwa kuheshimu mawazo yangu.NA nilichoandika ndio hicho hicho nimekusudia kuandiika.
 
Ungeanza kwanza kwa kuheshimu mawazo yangu.NA nilichoandika ndio hicho hicho nimekusudia kuandiia.
Ulichoandika sio mawazo ni matusi toka lini matusi na kebehi zikawa ni mawazo?
 
Kufa ni ushahidi kwamba Mungu hayupo. Si ushahidi kwamba Mungu yupo.

Usibadili mambo juu kukawa chini na chini kukawa juu.

Kwanini Mungu mwenye uwezowote, ujuzi wote na upendowote, awatenganishe baba na mama, mtoto na wazazi, ndugu, jamaa na marafikiwanaopendana sana kwa kifo?

Kwanini hakuumba ulimwengu huu usiwezekane kuwa na kifo?

Uwezoalikuwa nao, ujuzi alikuwa nao, upendo alikuwa nao.

Kwa nini hakuumba dunia hii isiweze kuwa na kifo watu wapete milele?
Uasi wa adamu na hawa ndio ulioleta kifo cha kimwili ila halikua kusudi la Mungu binadamu kufa
 
This is a logical non sequitur.

Mimi sijawahi kusema mimi ni Mungu.

Unaelewa hata kupanga mawazo kichwani wewe?
Kuna huyu Mh.Kingunge.Yeye hakuwa pia hakuamini uwepo Mungu.Nasikia siku chache kabla ya kukutwa na umauti wake alirejea imani yake katika Mungu.

Nasubiri kwa hamu siku ukikaribia umauti utatoa neno gani kabla ya kuaga dunia.
 
Uasi wa adamu na hawa ndio ulioleta kifo cha kimwili ila halikua kusudi la Mungu binadamu kufa
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao uasi hauwezekani, watu wana maamuzi ya kufanya mambo mazuri tu?

Unaposema halikuwa kusudi la Mungu, maana yako Mungu alishindwa kufikia kusudi lake?

Mungu anaweza kushindwa?
 
Kuna huyu Mh.Kingunge.Yeye hakuwa pia hakuamini uwepo Mungu.Nasikia siku chache kabla ya kukutwa na umauti wake alirejea imani yake katika Mungu.

Nasubiri kwa hamu siku ukikaribia umauti utatoa neno gani kabla ya kuaga dunia.
Unasikia au una uhakika?
 
Uasi wa adamu na hawa ndio ulioleta kifo cha kimwili ila halikua kusudi la Mungu binadamu kufa
Kifo ni mpango wa Mungu.

Kisayansi pia ni kifo kinamfanya binadamu aweze kuboreka kimaumbile ( evolution) ili aweze kupambana na mabadiliko ya ulimwengu.
 
Kumbe upo? Haaaahaaaaa

Entropy imekusaidia nini so far?
Bila watu kuelewa entropy hizo disk za servers za websites unazotumia kutuma maneno yako hapa zisingekuwepo.

Unaelewa kwamba unauliza entropy imesaidia nini kupitia chombo ambacho kisingeweza kuwapo bila watu kuelewa entropy inafanya kazi vipi?
 
Unasikia au una uhakika?
Uliza uambiwe ndugu.Inaonekana umejikita katika kubisha uwepo wa Mungu mpaka unapitwa na yanayojiri duniani.

Katika medicine watu kama wewe wanaitwa delusional...wana grandiose delusions ambayo ni dalili ya psychosis.
 
Kusema nikae pembeni unamaanisha nini?

Kwa nini nikae pembeni wakati mjadala umeuleta hapa ili wote tuhujadili, kama ulikuwa wa mtu mmoja ungemuendea pm usingeusisha jamiiforums nzma.

Ushabiki ktk nini, na kwa nini udai nina ushabiki kwa mtu?

Wewe umeulizwa akili ni nini au maana yake mpaka sasa haujajibu unategemeaje kupewa majibu unayotaka bila kuelezea unachouliza?

Kabla ya kukujibu
AKILI NI NINI?
Hapa sio size yako rudi huku ndio kunakokufaa... Kwenye hiyo mada yako moja umezungumzia kuhusu roho.. But am sure nikikuuliza saivi roho ninini hutaweza kujibu
IMG_20180523_210857_212.jpg
 
Bila watu kuelewa entropy hizo disk za servers za websites unazotumia kutuma maneno yako hapa zisingekuwepo.

Unaelewa kwamba unauliza entropy imesaidia nini kupitia chombo ambacho kisingeweza kuwapo bila watu kuelewa entropy inafanya kazi vipi?

Haaahaaa...nielimishe tafadhali
 
Back
Top Bottom