Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kama watu wote wangezaliwa na uelewa wa kuhusu mungu basi suala la uwepo wa mungu lisingekuwa jambo la imani tena kwamba kuna watakaoamini na watakaokataa kuamini.

Mungu anataka wewe umuamini na si kwamba kashindwa kukufanya wewe kuwa hivyo ambavyo wewe ungetaka afanye.
sasa hapa wewe umegeuka kuwa msemaji wa Mungu" mkuu " Inshort kama anasifa ya uweza wa yote " angeweza tu kufanya hivyo " kisha akawaacha watu wenyew waendelee kumuamini au wasimuamini """
 
Wewe kaa tu pembeni tu sasa.. Huwezi mijadala na tangu mwanzo sijaona cha maana ulichoandika... Zaidi ya ushabiki mwepesi na replies zisizo na mashiko... Hili swali hata wewe mpaka sasa hujaweza kulijibu! Sasa itendee haki post yako unijibu hili swali JE UNA AKILI?
Kusema nikae pembeni unamaanisha nini?

Kwa nini nikae pembeni wakati mjadala umeuleta hapa ili wote tuhujadili, kama ulikuwa wa mtu mmoja ungemuendea pm usingeusisha jamiiforums nzma.

Ushabiki ktk nini, na kwa nini udai nina ushabiki kwa mtu?

Wewe umeulizwa akili ni nini au maana yake mpaka sasa haujajibu unategemeaje kupewa majibu unayotaka bila kuelezea unachouliza?

Kabla ya kukujibu
AKILI NI NINI?
 
Swali la msingi hawezi kulijibu kwa sababu lina mkanganyiko,linahitaji ufafanuzi kwanza!.....yeye anataka huo mkanganyiko umalizwe kwanza!
Kuweka msisitizo hapo, kuna watu wawili tayari (sio Mshana), washanijibu akili ni nini kwa tafsiri zao.

Na nishawajibu kama nina akili au sina.

Kuna mmoja kasema akili ni uwezo wa kutambua uwepo wa Mungu.

Nikamwambia kwa tafsiri hiyo sina akili, maana sijaweza kutambua uwepo wa Mungu.

Mwingine kaniambia akili ni uwezo wa kupambanua mambo negative na positive (I am paraphrasing). Nikamwambia kwa msingi huo akili ninazo maana nimeweza kudadavua hoja ya uwepo wa Mungu kwa "proof by contradiction" ambayo inaanza upande wa positive kwa assumption kwamba Mungu yupo, halafu nikaonesha contradictions katika imani hiyo, kwamba imetumia wrong assumptions, nikaishusha imani ikawa negative kwamba Mungu hayupo.

Hawa watu wawili walionipa tafsiri zao za akili ni nini, nimewambia nina akili au sina akili, kwa kuelezea kimantiki, kwa nini, kutokana na definition zaoza akili.

Sasa hapo utaona sina tatizo kujibu swali, nataka nielewe muktadha na definition ili nijikite kwenye swali linaloulizwa, si ninalotaka kujibu mimi.

Sasa Mshana kwa nini anaona ugumu kuniambia akili ni nini kwa mujibu wa definition na muktadha anaouliza?

Mbona wenzake wawili hao nimewajibu vizuri tu?

Yeye kwa nini hafunguki nimjibu?
 
Kiranga nakuuliza tena na tena... Una akili ama huna? Mengine yote ni non n void.. Acha kukwepa swali kwa maelezo yasiyo akisi uhalisia.. Maelezo mepesi mno yaliyojaa utetezi wa kitoto
Kwamujibu wakoakili ni nini?
 
Hatutaki kugoogle kwa sababu tunataka tumuingiza mtu tunduni![emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mtu swali aulize yeye halafu mimi nimsaidie kuuliza? Nikilipindisha nilifanye liwe rahisi kwangu je?

Kuna watu wawili wamenipadefinitions zaoza akili.

Zote tofauti.

Moja kwa mujibu wake, nimesema sina akili.

Nyingine, nikasema nina akili.

Na definitions zao ndizo zinathibitisha kwamba nina au sina akili.

Sasa Mshana hataki kunipa definition yake ya akili.

Hajauliza swali bado.

Anataka jibu la swali ambalo ameshindwa kuuliza.
 
Kuweka msisitizo hapo, kuna watu wawili tayari (sio Mshana), washanijibu akili ni nini kwa tafsiri zao.

Na nishawajibu kamanina akiliau sina.

Kunammoja kasemaakili ni uwezo wa kutambua uwepo wa Mungu.

Nikamwambia kwa tafsiri hiyo sina akili, maana sijaweza kutambua uwepo wa Mungu.

Mwingine kaniambia akili ni uwezo wa kupambanua mambonegative na positive (I am paraphrasing). Nikamwambia kwa msingihuo akili ninazo maana nimeweza kudadavua hoja ya uwepo wa Mungu kwa "proof by contradiction" ambayo inaanza upande wa positive kwa assumption kwamba Mungu yupo, halafu nikaonesha contradictions katika imani hiyo, kwamba imetumia wrong assumptions, nikaishusha imani ikawa negative kwamba Mungu hayupo.

Hawa watu wawili walionipa tafsiri zao za akili ni nini, nimewambia nina akiliau sina akili, kwa kuelezea kimantiki, kwa nini, kutokana na definition zaoza akili.

Sasa hapo utaona sina tatizo kujibu swali, nataka nielewe muktadha na definition ili nijikite kwenye swali linaloulizwa, si ninalotaka kujibu mimi.

Sasa Mshana kwa ninianaona ugumu kuniambia akili ni ninikwa mujibu wa definition na muktadha anaoulizaia?

Mbona wenzake wawili hao nimewajibu vizuri tu?

Yeye kwa nini hafunguki nimjibu?
Naam

yeye inabidi aelezee maana ya akili kama alivyopaswa kujibiwa kuwa unazo au hauna.

Anafanya mjadala unakuwa murefu bila kung,amua chochote.
 
Watu kama Kiranga ni wa ovyo.Ni watu wenye mawazo finyu tu ambao wanaweza kubisha uwepo wa Mungu.
Binadamu sana sana ana miaka 70 ya kuishi ila dunia ipo na itaendelea kuwepo.Ni busara kuacha kubisha uwepo wa Mungu.Ni bora mtu akae na imani yake ya kipagani moyoni badala ya kila kukicha anapinga.
Mungu angekuwepo, mtu asingeishikwamiaka 70 tu, angeishi milele.

Watu kuishi miaka 70ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Unaelewa hilo?
 
Vyote vyote bro, nmewai kuwa na mjadala na wewe before kuhusu uwepo wa Mungu. Nasikitika hukuwa ukijibu swali bali kulukia hoja na dhana ulizo kalili.

Nilithibitisha uwepo wa Mungu kupitia maandiko, na only thru scriptures tunaweza kum - define na kumdhihirisha Mungu. Sikutaka kuchangia kabisa kwa sababu huna jipya yote umekwisha Yasema. Wacha niwe mfuatliaji ni kipata majibu kusaidia nitafanya hivyo.

Swali nlo uliza last time ilikua, Umewahi ona upepo bila shaka unakumbuka .. HUKUJIBU.
Unaelewa kwamba swali lako halina msingi kwa sababu sijawahi kubisha Mungu hayupo kwa sababu sijamuona?

Unaelewa hilo?
 
Mkuu neno akili ni msamiati mpya?
Mnona tukienda ktk staili hii mijadala humu haita isha?

Mfn: wewe tukianza kuuliza kila neno la hoja zako utoe maana zake sidhan kama mjadala utaisha, kwasababu hata majibu utakayotoa tinaweza uliza maana ya kila neno katika jibu hilo ninini!!
Mkuu huwezi jibu swali ambalo haujalielewa vizuri utakuwa unatoa jibu lisilo sahihi.

Kwa mfano nakuuliza wewe unashiba nusu kilo?

Sasa hapo lazima upewe ufafanuzi nusu kilo ya nini?
Ya bisi (popcon) au ya nyama au ya ice cream n.k.

Mshana Jr amjibu Kiranga kisha ikishajulikana hiyo akili anayoulizia ni kitu gani basi atapewa jibu sahihi kulingana na hiyo akili aliyokusudia kuulizia.
 
Back
Top Bottom