Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,701
Ukomo wa Maisha siyo hoja hapa...maana hata Yesu, Kama alikuwepo, alikufa piaMalumbano ya kipumbafu yanachosha.Mungu awepo asiwepo nyie mtaishi miaka yenu 70 kisha mtakufa tu.Mavumbini mtarudi.
Ukomo wa Maisha siyo hoja hapa...maana hata Yesu, Kama alikuwepo, alikufa piaMalumbano ya kipumbafu yanachosha.Mungu awepo asiwepo nyie mtaishi miaka yenu 70 kisha mtakufa tu.Mavumbini mtarudi.
Yanaweza yawepo...ila Mengi ni kwa hizo dini tatu ambazo Zina asili mojaKuna andiko lingine ambalo linaelezea hizo contradictions apart from basing on christian/jew/muslim?
Nimeeleza kwanini iko hivi na si hivyo ambavyo wewe unataka,ila ajabu bado unasisitiza angefanya tu hivyo kisa anaouwezo huo.sasa hapa wewe umegeuka kuwa msemaji wa Mungu" mkuu " Inshort kama anasifa ya uweza wa yote " angeweza tu kufanya hivyo " kisha akawaacha watu wenyew waendelee kumuamini au wasimuamini """
Mungu muweza yote, mwenye upendowote na ujuzi wote hayupo.
Hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
Ina contradiction kwa sababu Mungu huyo angekuwepo, duniaisingekuwa na mabaya yoyote.
Lakini dunia imejaa mabaya.
Kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo, asingeumba dunia inayowezekana kuwa na mabaya kamahii.
Ukisema yupo, thibitisha kwamba yupo.
Hivi kama ni muweza wa yote sasa kwa nini we umpangie cha kufanya?Kufa ni ushahidikwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo angeumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo kwa viumbe wake vipenzi.
Nimeandikasana hapa contradiction za omnipotent, omniscient, omni benevolent godhead ambaye kaumba ulimwengu huu wenye mabaya.
Tafuta kitabu kinaitwa "The Philosophy of Religion: An Anthology"
Humo wamekusanya arguments zaote za kutetea kuwepo kwa Mungu na za kupinga kuwepokwa Mungu.
Kutoka dini zote kubwa na tamaduni zote kubwa za dunia.
Sasa ukisoma vitabu kama hivyo halafu ukaja kubishana na kina Mshana, unaona tofauti kama usiku na mchana katika level ya debate.
Unatoka kusomadebates za Aquinas, Anselm,Augustine, Plantinga, Russell etc.
Unaenda kubishana na mtu ambaye akiulizwa "akili ni nini?" anaogopa kujibu!
ukisema hivyo " unakuwa umerahisisha " wepesi wakujengeka hoja " kuwa ni muweza wa yote" lakini hana upendo kwa wote ...in short bado maandiko yanaji contradict "" ......Hivi kama ni muweza wa yote sasa kwa nini we umpangie cha kufanya?
Inamaana akiamua kuleta magonjwa ni uwezo wake
Akiamua kuleta kifo ni uwezo wake
Wewe acha uongo hapo ulibugi tu kukubali kwamba huna akili,lakini hakuna aliyesema ya kwamba akili ni uwezo wa kutambua uwepo wa mungu..umebadili wewe ili kuficha ujinga wako.Kuweka msisitizo hapo, kuna watu wawili tayari (sio Mshana), washanijibu akili ni nini kwa tafsiri zao.
Na nishawajibu kamanina akiliau sina.
Kunammoja kasemaakili ni uwezo wa kutambua uwepo wa Mungu.
Nikamwambia kwa tafsiri hiyo sina akili, maana sijaweza kutambua uwepo wa Mungu.
Mwingine kaniambia akili ni uwezo wa kupambanua mambonegative na positive (I am paraphrasing). Nikamwambia kwa msingihuo akili ninazo maana nimeweza kudadavua hoja ya uwepo wa Mungu kwa "proof by contradiction" ambayo inaanza upande wa positive kwa assumption kwamba Mungu yupo, halafu nikaonesha contradictions katika imani hiyo, kwamba imetumia wrong assumptions, nikaishusha imani ikawa negative kwamba Mungu hayupo.
Hawa watu wawili walionipa tafsiri zao za akili ni nini, nimewambia nina akiliau sina akili, kwa kuelezea kimantiki, kwa nini, kutokana na definition zaoza akili.
Sasa hapo utaona sina tatizo kujibu swali, nataka nielewe muktadha na definition ili nijikite kwenye swali linaloulizwa, si ninalotaka kujibu mimi.
Sasa Mshana kwa ninianaona ugumu kuniambia akili ni ninikwa mujibu wa definition na muktadha anaoulizaia?
Mbona wenzake wawili hao nimewajibu vizuri tu?
Yeye kwa nini hafunguki nimjibu?
Hii ni miongoni mwa weakness zako kuu, kukitizama kifo kama adhabu, mateso na kuhisi ni udhaifu kwa Mungu.Kufa ni ushahidikwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo angeumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo kwa viumbe wake vipenzi.
Yawezekana pia hayo unayosema mabaya ni kwa tafsiri yako tu.Mungu muweza yote, mwenye upendowote na ujuzi wote hayupo.
Hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
Ina contradiction kwa sababu Mungu huyo angekuwepo, duniaisingekuwa na mabaya yoyote.
Lakini dunia imejaa mabaya.
Kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo, asingeumba dunia inayowezekana kuwa na mabaya kamahii.
Ukisema yupo, thibitisha kwamba yupo.
Mungu angekuwepo, hata tafsiri yangu tu isingeweza kutafsiri mambo kama mabaya.Yawezekana pia hayo unayosema mabaya ni kwa tafsiri yako tu.
Yani Mungu wako muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote kashindwa kuumba dunia ambayo watu hawafi halafu haina overcrowding?Hii ni miongoni mwa weakness zako kuu, kukitizama kifo kama adhabu, mateso na kuhisi ni udhaifu kwa Mungu.
Dunia imekuwa designed Kuhakikisha inajitegemea yenyewe ili kusuport life na ku exist for years na kuwa na self sustainability. Hivyo kufa ni lazma ili binadamu akizikwa ardhini wale worms wachukue nutrients kwenye mwili mfu na kuupa udongo rutuba then Maisha yaendelee Duniani kwa cycle ya namna hiyo. That's why nlishatoa usia nikifa...nifukiwe mita nne chini ili nutrients zangu zifike haraka kwenye top soil nirutubishe michicha fasta ya Duniani...! [emoji23] [emoji23]
Kwanza imagine kama since day one watu wangekuwa hawafi!? Dunia ingekuwa overcrowded na life ingekuwa mashakani...Leo hii Mimi na wewe tunaenjoy sababu kuna watu walitupisha humu Duniani hivyo tuwe tayari na sisi kupisha other generation.
Na God alivyo genius na kuthibitisha akili zetu ni ujinga tu kwake..kifo sio kibaya na hakina maumivu as wengi tunafikiri maana pain is in our brain na clinically wanasema death is simply brain stop so brain ikistop kutafsiri zile taarifa then maumivu hakuna tena. So kwanini kifo kiwe kibaya?
Hivyo kwa point yako ya kutaka kumkana Mungu kisa kaumba kifo hiyo haina mashiko, na akili zetu tunazohisi kubwa na kubishania hapa JF kwake yeye ndio ujinga wake huo...imagine akili yake ikoje.
He is the master of the universe and people.
Nikikuonesha unaniruhusu nikuite jina gani?Wewe acha uongo hapo ulibugi tu kukubali kwamba huna akili,lakini hakuna aliyesema ya kwamba akili ni uwezo wa kutambua uwepo wa mungu..umebadili wewe ili kuficha ujinga wako.
Hakuna aliyetoa tafsiri hiyo humu.
Yani Mungu wako muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote kashindwa kuumba dunia ambayo watu hawafi halafu haina overcrowding?
Muktadha wangu unakuja vipi kwenye swali analouliza yeye?
Hivi hawa wanaomtetea inakuwaje, hawaoni hili? Au wanazi tu wanaleta ushabiki kama wa Simba na Yanga?God fails the most basic common sense test!
Mkuu kwa kutumia logic, rhetoric and Socratic argumentative zako Mungu hauwezi kumthibitsha uwepo wake kamwe. Na ndio maana huwa unashindana kirahisi sana kwenye arguments nyingi hapa JF, maana kwenye barabara yako ya argumentations Mungu hatembelei huko.Mungu angekuwepo, hata tafsiri yangu tu isingeweza kutafsiri mambo kama mabaya.
Tafsiri yangu kutafsiri mabaya ni ushahidi Mungu hayupo.
Nikisema haya maneno umetunga tu kukimbia kuthibitisha kwamba Mungu yupo utakataa?Mkuu kwa kutumia logic, rhetoric and Socratic argumentative zako Mungu hauwezi kumthibitsha uwepo wake. Na ndio maana huwa unashindana kirahisi sana kwenye arguments nyingi hapa JF.
God exist in another dimension of spiritual universe of infinity ambayo haihitaji hata science wala philosophy kuthibitisha that's why kwa kutumia concept na arguments zako najua Mungu atakuwa aexist but siku ukigeukia na kuupa nafasi ulimwengu wa rohoni kuna kitu utapata.
Choice yake ilikuwa aunde Dunia yenye infinity kwa namna hiyo ya Ku recycle kila kitu.Yani Mungu wako muweza yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote kashindwa kuumba dunia ambayo watu hawafi halafu haina overcrowding?
Kwa nini hiyo iwe choice yake, wakati inaumiza watu wengi sana wanaotenganishwa na wapenzi wao, ndugu zao etc?Choice yake ilikuwa aunde Dunia isiyo na infinity kwa namna hiyo ya Ku recycle kila kitu.
Hata maji ni yale yale tangia kuumbwa Kwa Dunia maana yanakuwa mvuke na kupanda juu angani then yananyesha kama mvua na kujaza mito, bahari, na maziwa and the cycle continues.
Angeamua ingewezekana. But hivi ndivyo alivyoamua tuishi.
We give him thanks and praises. The most high.