Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
Unathibitishaje kisichokuwepo?Hapo naona umesema hayupo
Unaweza thibitisha hayupo?
Unathibitishaje kisichokuwepo?Hapo naona umesema hayupo
Unaweza thibitisha hayupo?
Kuna maandiko mengi sana...google andiko moja LA MTU anaitwa Bertrand Russell " Why I am Not a Christian" itakusaidia kuanza kuona contradictionsHivi kuna uzi wako full ukielezea hicho ulichosema?
Kama upo naomba link
Kwa nini mungu mwenye uwezo wa yote,upendo wa yote na ujuzi wa yote aruhusu uasi wa adam na hawa???!Uasi wa adamu na hawa ndio ulioleta kifo cha kimwili ila halikua kusudi la Mungu binadamu kufa
Huku ni kuishiwa hojaFinish your home work.U got school tommorrow my son!
Unathibitishaje kisichokuwepo?
........mjadala wa kufikirisha huu...najua kiranga amemshika mshana pabaya....kudos ngosha!
..ngoja tumsaidiege mshana...Ili aweze kuendelea na alichotaka toka kwa kiranga..
..kwa uelewa wangu...akili au kwa kimombo ' intelligence' au 'intellect'au 'intellectual capacity' au 'mental capacity' au hata wengine humu wameita mind.......Ni uwezo wa kufikiri, kuelewa na kufanya maamuzi sahihi kwa kiwango kikubwa....
..akili (intelligence) hutofautiana Kati ya mtu na mtu na kwa maana hiyo kila mtu ana kiwango Fulani cha akili....na kwa maana hiyo swali la je mtu ana akili ama la si sahihi....
....kwasababu watu hutofautiana akili....basi kumewekwa kipimo cha akili ambacho huitwa intelligence quotient (ama IQ)....ambacho huonesha viwango tofauti vya akili Kati ya mtu na mtu....
...hii ni namna mimi navyoelewa akili....kama itawasaidia kwenye mjadala wenu...
Malumbano ya kipumbafu yanachosha.Mungu awepo asiwepo nyie mtaishi miaka yenu 70 kisha mtakufa tu.Mavumbini mtarudi.Huku ni kuishiwa hoja
Imbecile.Finish your home work.U got school tommorrow my son!
Nishajibu swali mara mbili.Sasa ukijibu kwamba huna/unazo akili utakuwa umekosea nini?
Jibu kwa muktadha wako!
Mshana Jr akisema si hivyo ndio aseme alikuwa anamaanisha akili kwa maana gani?
Kuna maandiko mengi sana...google andiko moja LA MTU anaitwa Bertrand Russell " Why I am Not a Christian" itakusaidia kuanza kuona contradictions
Mungu muweza yote, mwenye upendowote na ujuzi wote hayupo.Hapo naona umesema hayupo
Unaweza thibitisha hayupo?
ST. Aquinas mbali kote huko, Alvin Plantinga tu hawajawahi hata kumsikia.Unabishana na watu ambao hata basics tu za philosophy of religion hawajui...watu wanakuja kwenye debate wakati hawajawasoma kina St. Aquinas kujua hoja zao za uwepo Wa mungu. Wanakuja na majibu ya Katekisimu Yetu.
Nimeandikasana hapa contradiction za omnipotent, omniscient, omni benevolent godhead ambaye kaumba ulimwengu huu wenye mabaya.Kuna andiko lingine ambalo linaelezea hizo contradictions apart from basing on christian/jew/muslim?
Kufa ni ushahidikwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Malumbano ya kipumbafu yanachosha.Mungu awepo asiwepo nyie mtaishi miaka yenu 70 kisha mtakufa tu.Mavumbini mtarudi.
Utathibitishaje kisichokuwepo?So umeshindwa kuthibitisha kama hayupo kwa saabu hayupo?