Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nikikuambia kua kuna mkoa upo hapa tanzania unaitwa Zamtanga utakubali kua mkoa huo upo kwasababu unajina?

Sent using unknown device
Zamtanga!!! Utakuwa umeitaja kwa mara ya kwanza wewe peke yako.Maana Tanzania yenye watu takribani million 50,Zamtanga wewe peke yako!! Sikubali.
MUNGU Sasa,dunia nzima hadi wewe unalijua,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka sana,yote uliyoyaandika nayafunga katika kauli hii "Kuna uislamu na matendo ya waislamu"

Hii nakupa ziada nakupa mwaka na ziada uniletee ushahidi hata wa uongo kama kuna mtu anafuga majini,unajua kuna ukweli na uongo,viwili hivi havikai pamoja,naona unapenda sana kusikia kuliko kuhakiki habari.
Una bahati kweli yule Babu yenu katangulia_alikuwa na kipindi kwenye television moja (jina kapuni)unamkuta anijifaragua kwa marefu na mapana ningekutuma uende kwake ukapate uthibitisho
Naona umerukia kuhusu kurogwa kwa mtume,hilo linafahamika na ni kweli alirogwa lakini kurogwa kwake hakubadilishi ukweli juu ya utukufu wake,ukweli wake na uaminifu wake.

Nipo .....
Nilijua utabisha _Na Mimi wala sizungumzii utukufu wa mtu wala uaminifu wake na ukweli_hayo unayajua wewe na yapo mbali nami

Mimi nilikuwa nashanga tu kwa mtu kama wewe na imani kama ile kweli ushindwe kujua mimechanism ya kutupia maDubwana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una bahati kweli yule Babu yenu katangulia_alikuwa na kipindi kwenye television moja (jina kapuni)unamkuta anijifaragua kwa marefu na mapana ningekutuma uende kwake ukapate uthibitisho

Yule alikuwa anaenda kinyume na Uislamu kwani alikuwa anafanya Ushirikina na alipewa nasaha sana na masheikh kadha wa kadha kwamba kile anachokifanya ni haramu katika Uislamu. Ile elimu ya Falaki (Elimu ya utabiri wa nyota) ni katika Elimu ambazo haramu kujifunza.

Hapa nakupa angalizo,ukileta hoja dhidi ya Uislamu leta hoja ya mambo ambayo yapo katika Uislamu kwa dhati yake sio unaleta hoja kwa mambo ambayo Uislamu umeyakataza.
 
Nilijua utabisha _Na Mimi wala sizungumzii utukufu wa mtu wala uaminifu wake na ukweli_hayo unayajua wewe na yapo mbali nami

Mimi nilikuwa nashanga tu kwa mtu kama wewe na imani kama ile kweli ushindwe kujua mimechanism ya kutupia maDubwana

Hili ndio huwa nashangaa kutoka kwenu,asikwambie hakuna elimu inayopatikana kirahisi,ndio maana huwa sishangai kuona nyinyi kila mkikugusa mnakosea.

Najua yote uliyoyasema huwezi kuyathibitisha kielimu zaidi ya kuwa ulisikia. Nakupa miaka kumi kama Mola akitupa umri mrefu uje kunithibitishia hayo uliyoyasema.

Nipo ....
 
Kujua tunataka ndio maana tunadadisi... lakini majibu tunayopewa ndio yanapelekea tusiyaelewa... (jambo lenye kueleweka halihitaji nguvu kubwa).

Ndio maana hauwezi kumuelezea mtoto mdogo maumivu yakoje kama hajawahi-experience hiyo hali... huenda suala la Mungu lipo kwenye personal experience ya mtu mmoja mmoja hivyo linakosa sifa ya kuwa compulsory kwa kila binadamu...

Manake tukiliweka kwenye elimu ndio linafeli vibaya kabisa... kwasababu binadamu anakuwa na uelewa zaidi na jambo analokuwa na interest nalo... kila ambacho ni compulsory kwa binadamu kinafanyika bila kuhitaji mahubiri... Tatizo langu kubwa na God believer ni kitendo cha kuwaambia hata wale wanaokanusha uwepo wa Mungu kwamba wanatenda makosa hivyo wataadhibiwa na huyo Mungu kwa kufanya hivyo... kwa mtazamo wangu Mungu huyo kama yupo basi atakuwa wa ajabu kuliko hata binadamu mwenyewe.

Kwa maoni yangu Mungu wa kwenye biblia na wa kwenye quran... sijawahi kumuelewa... kama yupo tuna haki zote za kumuwajibisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuwajibisha nani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au wewe ndio yule aliyeandika Uzi ule wenye title ya "Hapo Mwanzo mtu Alimuumba Mungu kwa mfano wake" [emoji848]

Najaribu kuwaza tu kwa sauti_nadhani mtakuwa mmehitimu shule moja

Sent using Jamii Forums mobile app[/b]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom