Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nimekuuliza kua ulivyoandika upembembuzi ulikosea wewe umekana ukasema hukukosea, sasa iweje saizi ujirekebishe kua ulikua hauko sahihi ulivyotumia hilo neno mwanzo kwa kuandika usahihi wake saizi?

Sent using unknown device

Nilikataa sababu dhana yangu ya hakika nilivyokuwa na andika akilini mwangu nilikuwa najua naandika "upembuzi" ila ikawa kinyume chake,na hili si geni na kama mswahili kindaki ndaki utajua kabisa nilikuwa nakusudia kuandika nini.

Kosa langu hasa hapo ni kuto hariri kile nilicho kiandika,na sikumakinika pia kwa ile nukuu yako basi.
 
Nimekuuliza swali upembembuzi ni neno la kiswahili fasaha kutoka kwenye kamusi ipi ya kiswahili hujanijibu?

Mimi niliyeona kua ni kosa umeniambia sio kosa kosa ni langu mimi kwasababu kiswahili kinanipa tabu, ulivyoandikwa ndivyo nilipaswa kukisoma pasipo kuongeza wala kukosoa chochote kwasababu hukukosea na ulikua sahihi

Nataka unipe tafsiri ya neno "upembembuzi" kutoka kwenye kamusi ya kiswahili ili nisipate tabu tena ya kujua maana ya maneno kwenye hiki kiswahili ambacho kinanisumbua

Naona unabishana kwenye "hamna". Soma tena ulicho kinukuu na ile post kabla ya hiyo.

Tunapoelekea nitamuomba mtu akufasirie kile nilicho kiandika sasa kuliko kupoteza muda.
 
Mimi siamini kama binadamu anaweza kumtupia binadamu mwenzake mashetani au kufuga mashetani.
Hapa umeandika wewe au umeandikiwa..!? Sio kwa dini yenu hiyo_Nyie ndio maKonki wa hayo Madubwana
Hapa naomba unipe ushahidi wa namna inavyowezekana na kuwa.
[emoji1][emoji1][emoji1] Kwa kujifaragua tu hujambo_Mh wako alipigwa kitu na myahudi mmoja hivi akawa ananyonyoka nywele halafu wewe leo 2019 unatuuliza yanawezekanaje kweli...! Au husomi hadithi wewe..!?
Ukishindwa ninawajibika kukuita wewe ni muongo tena mjinga unae uongea pasi na elimu.Nipo .....
Kabla ya kumuita Muongo nitakuletea jina la kitabu Cha hadithi na ukurasa wake_ukiendelea kubisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umeandika wewe au umeandikiwa..!? Sio kwa dini yenu hiyo_Nyie ndio maKonki wa hayo Madubwana [emoji1][emoji1][emoji1] Kwa kujifaragua tu hujambo_Mh wako alipigwa kitu na myahudi mmoja hivi akawa ananyonyoka nywele halafu wewe leo 2019 unatuuliza yanawezekanaje kweli...! Au husomi hadithi wewe..!? Kabla ya kumuita Muongo nitakuletea jina la kitabu Cha hadithi na ukurasa wake_ukiendelea kubisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Nacheka sana,yote uliyoyaandika nayafunga katika kauli hii "Kuna uislamu na matendo ya waislamu"

Hii nakupa ziada nakupa mwaka na ziada uniletee ushahidi hata wa uongo kama kuna mtu anafuga majini,unajua kuna ukweli na uongo,viwili hivi havikai pamoja,naona unap
 
Hapa umeandika wewe au umeandikiwa..!? Sio kwa dini yenu hiyo_Nyie ndio maKonki wa hayo Madubwana [emoji1][emoji1][emoji1] Kwa kujifaragua tu hujambo_Mh wako alipigwa kitu na myahudi mmoja hivi akawa ananyonyoka nywele halafu wewe leo 2019 unatuuliza yanawezekanaje kweli...! Au husomi hadithi wewe..!? Kabla ya kumuita Muongo nitakuletea jina la kitabu Cha hadithi na ukurasa wake_ukiendelea kubisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nacheka sana,yote uliyoyaandika nayafunga katika kauli hii "Kuna uislamu na matendo ya waislamu"

Hii nakupa ziada nakupa mwaka na ziada uniletee ushahidi hata wa uongo kama kuna mtu anafuga majini,unajua kuna ukweli na uongo,viwili hivi havikai pamoja,naona unapenda sana kusikia kuliko kuhakiki habari.

Naona umerukia kuhusu kurogwa kwa mtume,hilo linafahamika na ni kweli alirogwa lakini kurogwa kwake hakubadilishi ukweli juu ya utukufu wake,ukweli wake na uaminifu wake.

Nipo .....
 
Naona unabishana kwenye "hamna". Soma tena ulicho kinukuu na ile post kabla ya hiyo.

Tunapoelekea nitamuomba mtu akufasirie kile nilicho kiandika sasa kuliko kupoteza muda.
Bado nasubiri jibu ni kamusi gani ya kiswahili imeandika neno upembembuzi na kutoa tasfiri yake?

Sent using unknown device
 
fasiri1

KITENZI ELEKEZI~ia, ~iana, ~ika, ~isha,~iwa
  • 1
    eleza maana za maneno kutoka lugha moja mpaka lugha nyingine.

    Visawe

  • 2

    ‘Fasiri ndoto’

    Visawe
Nilifanya hivyo kwa makusudi nilijua tu lazima utaleta hii nukuu

Sasa nipe nukuu kutoka kwenye hiyo hiyo kamusi ikielezea maana ya neno upembembuzi ili tuthibitishe kua mimi kiswahili kinanipa tabu kiasi gani

Sent using unknown device
 
Sio kwamba ubinafsi,lazima tuwe makini katika kuzungumzia mambo ya kielimu.

Mimi nimefundishwa hivi "Elimu kwanza kabla ya kauli na kutenda"

Sasa bora hivi mimi na nyinyi kuna muda tunavumiliana hivyo hivyo tunapeana majibu. Mimi nimesomeshwa na walimu ambao ukimuuliza swali anakujibu "Sijui" , na unajua kabisa kwamba mwalimu hili swali analijua,yawezekana hayupo kwenye 'mood' ya kujibu swali au ameona endapo akikujibu anaweza akaharibu,hapa anakuwa ana kukumbusha adabu za kuuliza maswali na kadhalika anakukimbusha wajibu wako wa kuwa makini katika kuyaendea mambo ya kielimu,au unaweza kumuuliza jambo kama lina faa au halifai,aka kujibu tu 'Halifai' au 'Linafaa' bila kukupa ushahidi wowote akawa amemaliza,wewe unatakiwa ujiongeze,kwani kuna jambo anakuwa amelikusudia.

Nimekukumbusha wajibu wako wa kufanya kwanza kabla ya kufikia hapo ulipofikia.

Nipo .....

BTW hii ni forum, ni watu wengi wanaingia huku kwa ajili ya kujifunza.
Kwa iyo Kama utafata filosofi ya walimu wako sidhani kama kutakua na faida ya kuwepo hapa. Watu tunatofautiana katika kujua/kutambua/kufikiria/kuchanganua mambo.
Wewe ni mbinafsi
 
Back
Top Bottom