Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,844
- 131,437
Narudia Tena.Jina ni nini?.Unamkataa mume wako hayupo wakati anajina?
Hapo huwezi kukubali kua umeolewa, huwezi ukawa na kichaa cha namna hiyo hata siku moja
Sent using unknown device
Amedai kua kila chenye jina ni lazima kiwepo, amesisitiza kua kwasababu jina la mungu lipo basi ni lazima awepo
Narudia Tena. Elisha ndiyo nini?.Amedai kua kila chenye jina ni lazima kiwepo, amesisitiza kua kwasababu jina la mungu lipo basi ni lazima awepo
Ndio nimemtolea mfano kua elisha ni jina la mume wake sasa anaogopa kusema yupo anapiga chenga
Sent using unknown device
Narudia Tena.Jina ni nini?.Amedai kua kila chenye jina ni lazima kiwepo, amesisitiza kua kwasababu jina la mungu lipo basi ni lazima awepo
Ndio nimemtolea mfano kua elisha ni jina la mume wake sasa anaogopa kusema yupo anapiga chenga
Sent using unknown device
Mkuu! Nasisitiza tena kuwa,kisichokuwepo hakina jina,hakijadiliki,hakifikiriki,hakihisiki wala akilini hakipo.
Kwaiyo ni kweli mume wako elisha yupo?Mkuu! Nasisitiza tena kuwa,kisichokuwepo hakina jina,hakijadiliki,hakifikiriki,hakihisiki wala akilini hakipo.
Je? Mkuu! Unaweza niambia sthaiea ni nini?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wajinga eti wanapiga dua mvua inyeshe dar hivi wanajua effect yake?Wanamuomba huko ili alete mvua.... aisee
Kuna mambo yanahitaji kujitoa ufahamu ndio unaweza kuyafuata.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kiimani inabidi ujitoe ufahamu...Wale wajinga eti wanapiga dua mvua inyeshe dar hivi wanajua effect yake?
Mimi niliwaambia wamwambie huyo mufti apige dua ije baridi joto litoke
Sent using unknown device
Hahahahaaaa utasikia lazima uwe na roho mtakatifu hivi hivi hauwezi, yaani wanavituko hawa watuMambo ya kiimani inabidi ujitoe ufahamu...
Hawa ndugu zetu wamechagua kutohoji masuala ya imani kwa kuwa wameaminishwa kufanya hivyo ni dhambi....
"Tell people there's an invisible man in the sky who created the universe, and the vast majority will believe you. Tell them the paint is wet, and they have to touch it to be sure."
Sent using Jamii Forums mobile app
Sote tunaishi kwenye ulimwengu mmoja ila tunatofautiana mitazamo na uelewa wa mambo,kutofautiana huku kunafanya tuwe kama tunaishi dunia tofauti.mfano kuna watu hawaamini uchawi na kusema haupo kabisa ila kuna wengine hushinda kwa waganga kutatua matatizo yao ya kichawi hivyo mtu huyu ukimwambia hakuna uchawi atakushangaa tu. Lakini pamoja na kutofautiana kote huko ila maisha yanaenda kila mtu anaona athari zake wa uelewa na mitazamo yake.Mambo ya kiimani inabidi ujitoe ufahamu...
Hawa ndugu zetu wamechagua kutohoji masuala ya imani kwa kuwa wameaminishwa kufanya hivyo ni dhambi....
"Tell people there's an invisible man in the sky who created the universe, and the vast majority will believe you. Tell them the paint is wet, and they have to touch it to be sure."
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo utafurukuta lakini huwezi kujibu hilo swali hata kama unaakili za kuvukia barabara
Ndiyo wanamuomba muumba wa vyote, MUNGU.Wale wajinga eti wanapiga dua mvua inyeshe dar hivi wanajua effect yake?
Mimi niliwaambia wamwambie huyo mufti apige dua ije baridi joto litoke
Sent using unknown device
Kisichokuwepo ni hakipo,hakielezeki,hakihisiki,akijulikani na hakijadiliki.Hapo utafurukuta lakini huwezi kujibu hilo swali hata kama unaakili za kuvukia barabara
Sent using unknown device