Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Sasa unazungumzia dini au imani ya Mungu? Unataka kusema kabla dini kuletwa afrka kulikuwa hakuna imani ya Mungu duniani?
Una maswali na majibu ya ajabu kweli.
Sasa unazungumzia dini au imani ya Mungu? Unataka kusema kabla dini kuletwa afrka kulikuwa hakuna imani ya Mungu duniani?
Niambie wewe kulikua na imani gani ya Mungu kabla hujaletewa na wazungu pamoja na waarabuSasa unazungumzia dini au imani ya Mungu? Unataka kusema kabla dini kuletwa afrka kulikuwa hakuna imani ya Mungu duniani?
Una maswali na majibu ya ajabu kweli.
Ok huwa hatutoi uthibitisho huwa tunakubali tu havipo.
Ok poa yaishe kulikuwa hakuna imani yeyote Mungu,jamii ya waarabu na wazungu tu ndio wameleta imani ya Mungu.Niambie wewe kulikua na imani gani ya Mungu kabla hujaletewa na wazungu pamoja na waarabu
Sent using unknown device
Hua hautoi uthibitisho kwa minajili ipi? Unamaanisha unakua unao uthibitisho wa vitu ambavyo havipo lakini hautaki tu kuutoa?Ok huwa hatutoi uthibitisho huwa tunakubali tu havipo.
Hakuna anayetaka uthibitisho wa kisichokuwepo kama vile kwamba hakuna mwenye kutaka uthibitisho wa ambavyo teyali vipo.
Conclusion itayofanya yaishe inakuaje?Ok poa yaishe kulikuwa hakuna imani yeyote Mungu,jamii ya waarabu na wazungu tu ndio wameleta imani ya Mungu.
Kujua tunataka ndio maana tunadadisi... lakini majibu tunayopewa ndio yanapelekea tusiyaelewa... (jambo lenye kueleweka halihitaji nguvu kubwa).Ninayajua kama ni yake kwa kutumia Elimu ya uhakiki wa habari.
Wengine hamjui sababu hamtaki kujua,kwani hakuna aliyezaliwa ana jua.
Kujua tunataka ndio maana tunadadisi... lakini majibu tunayopewa ndio yanapelekea tusiyaelewa... (jambo lenye kueleweka halihitaji nguvu kubwa).
Ndio maana hauwezi kumuelezea mtoto mdogo maumivu yakoje kama hajawahi-experience hiyo hali... huenda suala la Mungu lipo kwenye personal experience ya mtu mmoja mmoja hivyo linakosa sifa ya kuwa compulsory kwa kila binadamu...
Manake tukiliweka kwenye elimu ndio linafeli vibaya kabisa... kwasababu binadamu anakuwa na uelewa zaidi na jambo analokuwa na interest nalo... kila ambacho ni compulsory kwa binadamu kinafanyika bila kuhitaji mahubiri... Tatizo langu kubwa na God believer ni kitendo cha kuwaambia hata wale wanaokanusha uwepo wa Mungu kwamba wanatenda makosa hivyo wataadhibiwa na huyo Mungu kwa kufanya hivyo... kwa mtazamo wangu Mungu huyo kama yupo basi atakuwa wa ajabu kuliko hata binadamu mwenyewe.
Kwa maoni yangu Mungu wa kwenye biblia na wa kwenye quran... sijawahi kumuelewa... kama yupo tuna haki zote za kumuwajibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumkana na matendo ni vitu viwili tofauti....Unajua kama akili salama haipingani na ufunuo,yaani maneno ya Mola muumba ? Mola alipotuumba sisi waja wake alitupa hali wezekano ya asili ya kutambua uwepo wake na kukubali uwepo kwa kutumia milango ya fahamu na kutafakari,hali hii hubadilika au hutoweka kwa kupitia kwa wazazi au walezi wa mtoto husika,kwani wao ndio wanaweza kumfanya mshurikina,mzandiki,muabudu moto na mfano wake.
Akili salama ni ile akili ambayo haijaingizwa uchafu wa fikra potofu na uovu. Akili salama kamwe haikatai uwepo wa Mola na ndio mana sote tunazaliwa hali ya kuwa hatujui chochote.
Mola alivyo tuumba hakutuacha hivi hivi,akachagua watu wake miongoni mwetu (sis wanadamu) na kuwafanya mitume na wengine akawafanya kuwa manabii ili kutufikishia ujumbe na kulinda mipaka ya Mola wetu.
Mola wetu amejiharamishia kumuadhibu mja wake kwa lile ambalo halijui mja huyo. Mola wetu hatoi adhabu kwa viumbe kabla viumbe husika hawajafikishiwa ujumbe. Hapa unatakiwa kufikiri kikubwa,kutumia akili na upembembuzi wa ajabu.
Mola akatuumbia hiari yaani kufanya mambo vile tunavyotaka sisi wenyewe,ndio maana wewe leo una mkana na mimi namtukuza.
Nipo ....
"Upembembuzi" ndio nini?Unajua kama akili salama haipingani na ufunuo,yaani maneno ya Mola muumba ? Mola alipotuumba sisi waja wake alitupa hali wezekano ya asili ya kutambua uwepo wake na kukubali uwepo kwa kutumia milango ya fahamu na kutafakari,hali hii hubadilika au hutoweka kwa kupitia kwa wazazi au walezi wa mtoto husika,kwani wao ndio wanaweza kumfanya mshurikina,mzandiki,muabudu moto na mfano wake.
Akili salama ni ile akili ambayo haijaingizwa uchafu wa fikra potofu na uovu. Akili salama kamwe haikatai uwepo wa Mola na ndio mana sote tunazaliwa hali ya kuwa hatujui chochote.
Mola alivyo tuumba hakutuacha hivi hivi,akachagua watu wake miongoni mwetu (sis wanadamu) na kuwafanya mitume na wengine akawafanya kuwa manabii ili kutufikishia ujumbe na kulinda mipaka ya Mola wetu.
Mola wetu amejiharamishia kumuadhibu mja wake kwa lile ambalo halijui mja huyo. Mola wetu hatoi adhabu kwa viumbe kabla viumbe husika hawajafikishiwa ujumbe. Hapa unatakiwa kufikiri kikubwa,kutumia akili na upembembuzi wa ajabu.
Mola akatuumbia hiari yaani kufanya mambo vile tunavyotaka sisi wenyewe,ndio maana wewe leo una mkana na mimi namtukuza.
Nipo ....
Kumkana na matendo ni vitu viwili tofauti....
Kati yetu humu tunaojadili hii mada... kuna uwezekano mkubwa sana mnaosema yupo matendo yenu yakawa ni against na mnayoyaamini....
Je
1. Kuna ambae hajawahi kuzini?
2. Hakuna wanaokunjwa pombe?
3. Hakuna waliowahi kuiba au kudhulumu???
Na ndio maana tukiugeuza mjadala hapa kati ya nyinyi believers... tumjadili Mungu wa kwenye biblia (Yehova) au Mungu wa kwenye quran (Allah).. utakuwa ugomvi mkubwa sana... tena afadhali wakristo wavumilivu kuliko waislamu.. wana attitude za kishamba na kupanic.
Tukichunguzana matendo humu ni jambo lingine kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa wameungana... lakini ni wanafiki wakubwa mno kwa natendo yao... angalia walio kwenye siasa, angalia wanaosalisha... ni wachache mno ambao wanaishi kwa vitendo. Majority wanatapatapa tu.Yan mkuu hawa believers wenyewe kwa wenyewe wanapingana. Alafu kwa unafiki wao wanasema Mungu ni mmoja
Kumkana na matendo ni vitu viwili tofauti....
Hapa wameungana... lakini ni wanafiki wakubwa mno kwa natendo yao... angalia walio kwenye siasa, angalia wanaosalisha... ni wachache mno ambao wanaishi kwa vitendo. Majority wanatapatapa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumkana na matendo ni vitu viwili tofauti....
Kati yetu humu tunaojadili hii mada... kuna uwezekano mkubwa sana mnaosema yupo matendo yenu yakawa ni against na mnayoyaamini....
Je
1. Kuna ambae hajawahi kuzini?
2. Hakuna wanaokunjwa pombe?
3. Hakuna waliowahi kuiba au kudhulumu???
Na ndio maana tukiugeuza mjadala hapa kati ya nyinyi believers... tumjadili Mungu wa kwenye biblia (Yehova) au Mungu wa kwenye quran (Allah).. utakuwa ugomvi mkubwa sana... tena afadhali wakristo wavumilivu kuliko waislamu.. wana attitude za kishamba na kupanic.
Tukichunguzana matendo humu ni jambo lingine kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan mkuu hawa believers wenyewe kwa wenyewe wanapingana. Alafu kwa unafiki wao wanasema Mungu ni mmoja
Unajua sifa za mtu mnafiki ? Hivi kwanini manatanguliza sana ujinga kuliko elimu ?
Ebu zitaje mkuu, ili ambao hatuzijui tuzijue
Sasa kama huzijui,kwanini umetumia tamko "unafiki" kutilia nguvu hoja yako ?