maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,233
- 1,320
Kutaja sio kigezo kwamba umethibitisha... wewe unaona umejibu kwa usahihi kabisa.Nimeshataja.
Ukisema umesoma bado sio jibu.. kwa kuwa unachokisoma kimeandikwa na watu.. bali sema hao watu waliondika wamethibitishaje uwepo wa malaika... tumia reference zao kutuonyesha tuangalie au tusikilize au tuhisi nini ili tutambue uwepo wao....
Sent using Jamii Forums mobile app