Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Tofauti haziishi,ila tofauti kubwa ni tofauti ya kiimani.

Kusema Mungu ni mmoja hakutoshi,kwani wapo wanao dai lakini hawamjui katika dhati yake hii wengi hawajui.

Mambo yamewekwa wazi kiasi ambacho usiku wake ni sawa na mchana wake,na sisis huwa tunasema hivi leteni hoja zenu kama nyinyi mnasema ukweli. Isiwe kama yale watu wanao dai,ooh Laila mchumba wangu Laila mchumba wangu,na tukienda kumuuliza Laila kuhusu hao wanao dai kuwa ni wachumba zake,Laila ana kana kwani hawajui.

Nipo .....
Shukrani kwa elimu pana na ustahimilivu wa kujibu hoja bila jazba kashfa wala vijembe

Jr[emoji769]
 
Okay naona na ubinafsi umeuonyesha
.....

Sio kwamba ubinafsi,lazima tuwe makini katika kuzungumzia mambo ya kielimu.

Mimi nimefundishwa hivi "Elimu kwanza kabla ya kauli na kutenda"

Sasa bora hivi mimi na nyinyi kuna muda tunavumiliana hivyo hivyo tunapeana majibu. Mimi nimesomeshwa na walimu ambao ukimuuliza swali anakujibu "Sijui" , na unajua kabisa kwamba mwalimu hili swali analijua,yawezekana hayupo kwenye 'mood' ya kujibu swali au ameona endapo akikujibu anaweza akaharibu,hapa anakuwa ana kukumbusha adabu za kuuliza maswali na kadhalika anakukimbusha wajibu wako wa kuwa makini katika kuyaendea mambo ya kielimu,au unaweza kumuuliza jambo kama lina faa au halifai,aka kujibu tu 'Halifai' au 'Linafaa' bila kukupa ushahidi wowote akawa amemaliza,wewe unatakiwa ujiongeze,kwani kuna jambo anakuwa amelikusudia.

Nimekukumbusha wajibu wako wa kufanya kwanza kabla ya kufikia hapo ulipofikia.

Nipo .....
 
Tamko hilo linatokana na tamko "Pembua". Kutenganisha kati ya kisicho hitajika dhidi ya kinachohitajika,lengo na shabaha kupata kitu kisafi,na huu ni mchakato wa kuelekea kupata kilicho safi.
Inamaana ulikosea?

Sent using unknown device
 
Naona kama umeanza kuelewa na kuhamia upande huu.

Mola alituumba hali ya kuwa hatujakamilika,tumeitwa "Insaan" kwa lugha ya kiarabu kiswahili pia ni binadamu sababu tunakosea na kupatia na tunasahau pia,na ndio mtume wetu amani ya Allah iwe juu yake akasema "Kila binadamu ni mwenye kukosea,na mbora wa wenye kukosea ni yule afanyaye toba" au kama alivyosema mtume wa Allah.
Hatujakamilika kivipi?

Kwamba kuna viungo vime miss kwenye miili yetu au?

Sent using unknown device
 
Tofauti haziishi,ila tofauti kubwa ni tofauti ya kiimani.
Hapa nakubaliana na wewe kua mnatofauti kubwa za kiimani na dini nyingine

Kusema Mungu ni mmoja hakutoshi,kwani wapo wanao dai lakini hawamjui katika dhati yake hii wengi hawajui.
Sio wapo bali ni watu wote wenye kudili na imani hawajui wanavyoviamini na ndio maana wanaamini tu bila uthibitisho, ukisema unajua hapo unakua uko nje ya imani maana katika ujuzi huambatana na ushahidi pamoja na uthibitisho

Mambo yamewekwa wazi kiasi ambacho usiku wake ni sawa na mchana wake,na sisis huwa tunasema hivi leteni hoja zenu kama nyinyi mnasema ukweli. Isiwe kama yale watu wanao dai,ooh Laila mchumba wangu Laila mchumba wangu,na tukienda kumuuliza Laila kuhusu hao wanao dai kuwa ni wachumba zake,Laila ana kana kwani hawajui.

Nipo .....
Mambo gani ambayo yamewekwa wazi??
Yangewekwa wazi hivi hiyo hoja yako yakusema kuna utofauti mkubwa wa imani ungeiweka kwenye mjadala upi wa imani?

Sent using unknown device
 
Hahahaa, mshana bwana.... unajua kwamba wewe na mimi ni makafiri kwa imani ya mshikaji...

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiondoi uhalisia pale ninapokubaliana naye..... Kuna post moja alinichagiza kwa namna ambayo kwa mtazamo wangu haikuwa sawa na nikamjibu kuwa kwa heshima yangu kwake sitamjibu...
Hatuwezi kufanana kwa kila kitu lazima tutofautiane na hata huo ukafiri ni dhana tu yenye uhalisia wa waamini wake kwahiyo hainisimbui asilani

Sawa sawa mkuu Mshana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nilikuwa nakuonyesha kwamba binadamu kamfikiria Mungu kwa mfano wake yeye mwenyewe binadamu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Au wewe ndio yule aliyeandika Uzi ule wenye title ya "Hapo Mwanzo mtu Alimuumba Mungu kwa mfano wake" [emoji848]

Najaribu kuwaza tu kwa sauti_nadhani mtakuwa mmehitimu shule moja

Sent using Jamii Forums mobile app[/b]
 
Kama hukukosea niambia ni kamusi gani ya kiswahili ina neno la "upembembuzi" pamoja na tafsiri yake

Sent using unknown device

Sikumakinika vyema hapo awali,hapa ndio nimepitia kile nilichokiandika hapo awali,ya kuwa "upembembuzi" ila usahihi ni "upembuzi". Kama nilivyo toa ufafanuzi hapo awali juu ya asili ya neno "upembuzi" kuwa ni "pembua".
 
Nimekuuliza kua ulivyoandika upembembuzi ulikosea wewe umekana ukasema hukukosea, sasa iweje saizi ujirekebishe kua ulikua hauko sahihi ulivyotumia hilo neno mwanzo kwa kuandika usahihi wake saizi?

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom