Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Chai umechukulia kama nini kwenye mfano wako?
Nimeuchukulia kama wewe ulivyoutumia kwenye hoja yako?

Umedai kua je umevitumiaje viungo vyako kugundua kua chai haina sukari bila kuonja

Nimekuuliza je utawezaje kutumia ulimi kutest ladha ya kitu ambacho hakipo?



Sent using unknown device
 
Chai umechukulia kama nini kwenye mfano wako?
Nimeuchukulia kama wewe ulivyoutumia kwenye hoja yako?

Umedai kua je umevitumiaje viungo vyako kugundua kua chai haina sukari bila kuonja

Nimekuuliza je utawezaje kutumia ulimi kutest ladha ya kitu ambacho hakipo?



Sent using unknown device
 
Imani za kiroho hapa nilimaanisha zile zinazohusiana na mambo ya dini

Jr[emoji769]
Mambo ya DINI kama haya mkuu:-
7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kumbukumbu la Torati 5:7

8 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi.
Kumbukumbu la Torati 5:8

11 Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure.
Kumbukumbu la Torati 5:11

16 Waheshimu baba yako na mama yako; kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
Kumbukumbu la Torati 5:16

17 Usiue.
Kumbukumbu la Torati 5:17

18 Wala usizini.
Kumbukumbu la Torati 5:18

19 Wala usiibe.
Kumbukumbu la Torati 5:19

20 Wala usimshuhudie jirani yako uongo.
Kumbukumbu la Torati 5:20

21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
Kumbukumbu la Torati 5:21

5 Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18:5

6 Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18:6

7 Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18:7

8 Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
Mambo ya Walawi 18:8

9 Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Mambo ya Walawi 18:9

10 Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
Mambo ya Walawi 18:10

11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18:11

12 Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
Mambo ya Walawi 18:12

13 Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
Mambo ya Walawi 18:13

14 Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
Mambo ya Walawi 18:14

15 Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
Mambo ya Walawi 18:15

16 Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.
Mambo ya Walawi 18:16

17 Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
Mambo ya Walawi 18:17

18 Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.
Mambo ya Walawi 18:18

19 Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
Mambo ya Walawi 18:19

20 Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.
Mambo ya Walawi 18:20

22 Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
Mambo ya Walawi 18:22

23 Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
Mambo ya Walawi 18:23

24 Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo; kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote;
Mambo ya Walawi 18:24

13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Mambo ya Walawi 20:13

14 Tena mtu mume akimwoa mke pamoja na mama yake, ni uovu mkuu; watachomwa moto, yeye mume na hao wanawake pia; ili kwamba usiwe uovu kati yenu.
Mambo ya Walawi 20:14

15 Tena mtu mume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama.
Mambo ya Walawi 20:15

17 Na mtu ampigaye mtu hata akafa, lazima atauawa;
Mambo ya Walawi 24:17

19 Na mtu akimtia mwenziwe kilema; vile vile kama alivyofanya, naye atafanyiwa vivyo;
Mambo ya Walawi 24:19

20 jeraha kwa jeraha, jicho kwa jicho, jino kwa jino; vile vile kama alivyomtia mtu kilema, naye atalipwa vivyo.
Mambo ya Walawi 24:20

Nipo sawa?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Uwepo wa sisi unaonesha yupo alotuweka, je uwepo wa aliyetuweka sisi unaonesha kua amewekwa na nani?

Sent using unknown device
Na ndio linakuwa swali gumu sana kujibu kuliko hilo la kwanza.... watakuambia alfa na omega...

watakuambia ulimwengu hauwezi kutoka from nothing... je huyo anaedaiwa ameuumba je hawaoni kwamba ni from nothing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio linakuwa swali gumu sana kujibu kuliko hilo la kwanza.... watakuambia alfa na omega...

watakuambia ulimwengu hauwezi kutoka from nothing... je huyo anaedaiwa ameuumba je hawaoni kwamba ni from nothing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu pasua kichwa sana yani mtu anatumia hisia zilizo kichwani mwake kujenga hoja

Sent using unknown device
 
Kama Uwepo wa sisi unaonesha yupo alotuweka, je uwepo wa aliyetuweka sisi unaonesha kua amewekwa na nani?

Sent using unknown device

Aliyetuweka sisi hajatanguliwa na wakati,sababu yeye ndiye aliyeumba muda.

Yeye ni wa mwanzo asie na chanzo kabla yake na yeye ni wa mwisho asie na wa mwisho baada yake,anajua kilochopita,kilichopo,kinachokuja na kile ambacho hakipo anajua laiti kingekuwepo kingekuwaje.

Kwa maana swali lako umeuliza ni swali la uongo.

Nipo ....
 
Nikikuambia kua kuna mkoa upo hapa tanzania unaitwa Zamtanga utakubali kua mkoa huo upo kwasababu unajina?

Sent using unknown device


Naona elimu ya kutoa mifano imekupiga chenga ya mwili. Jitahidi kujiepusha na mambo yasiyowezekana,kutambua hili kunataka Elimu pia.

Huwezi kutoa mfano huo wakati hali halisi na majina ya mikoa ya Tanzania yanajulikana.

Nipo....
 
Back
Top Bottom