Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Bila shaka kwenye mitihani darasani ulikuwa unashika nafasi ya mwisho dhidi ya wanafunzi wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza swali nilitegemea jibu sio porojo

Mmedai kua mungu kawaumbeni mkiwa hamjakamilika

Swali

Vitu gani ambavyo vimekosekana katika miili yenu ili kukamilisha ukamilifu ulio miss?

Je umejifananisha kitu gani mpaka ukagundua kua hujakamilika?

Na umejuaje kua hujakamilika?

Sent using unknown device
 
Oscar huku ni intelligence forum.... Jibu kama hilo linakupunguzia weledi

Jr[emoji769]
Weledi kivipi?

Yeye kasema kila chenye jina lazima kiwepo sijakuona ukimkosoa kua yuko intelijensia

Sasa nimetoa mfano wa kitu ambacho hakipo ila jina lake lipo kufafanua kua sio kila chenye jina basi lazima kiwepo

mtoto ambaye anamiaka 50 anaitwa alima aliyezaliwa kutoka kwa mama yake mzazi mwenye miaka miwili anayeitwa jushua

Hapo nikasema je utakubali kua mama huyo yupo mwenye miaka miwili aliyemzaa mtoto ambaye ni mkubwa kuliko yeye mzazi, jamaa akasema ndio nakubali

Hilo jibu lake nilitegemea kama ukisoma komenti yake ni lazima ungemkosoa japokua yupo upande wako kimjadala, kwasababu alichokijibu sio ukweli kiintelijensia lakini hujafanya hivyo sijui unakubaliana naye kwa hoja yake ndio maana huja kosoa??

Mimi bado nasimamia point yangu ile ile kwamba sio kila chenye jina basi kipo, nimetoa mfano wa jina la mkoa unaoitwa zamtanga kua unapatikana hapa tanzania, nikaulize je mkoa huo ni kweli upo? Ukisema haupo nitakujibu iweje leo chenye jina kikawa hakipo? Na ukisema mkoa huo upo hapo utakua umepotosha. Kwaiyo ukiangalia kwa makini unakuta hoja ya jamaa inambana mwenyewe kwamba akiikubali inakua sio kweli akiikataa anakua anaipinga hoja yake mwenyewe

Nimezingatia hapo ulipomwambia kuwa MUME WAKE... ilihali ukitambua wazi kuwa huyu ni mwanaume

Jr[emoji769]
 
Nimezingatia hapo ulipomwambia kuwa MUME WAKE... ilihali ukitambua wazi kuwa huyu ni mwanaume

Jr[emoji769]
Sasa hilo ni swali la mtego ambalo likiteguliwa jibu litalokuja litamaanisha kua sio kila chenye jina lazima kiwepo

Akisema hajaolewa na elisha, hapo nitamuuliza imekuwaje hujaolewa wakati jina la elisha lipo??

Akisema kaolewa hapo itakua ni aibu yake na sitawajibika kwa kosa la kumuita mke wa mtu

Sent using unknown device
 
Nimeuliza swali nilitegemea jibu sio porojo

Mmedai kua mungu kawaumbeni mkiwa hamjakamilika

Swali

Vitu gani ambavyo vimekosekana katika miili yenu ili kukamilisha ukamilifu ulio miss?

Je umejifananisha kitu gani mpaka ukagundua kua hujakamilika?

Na umejuaje kua hujakamilika?

Sent using unknown device
Narudia tena. Bila shaka kwenye mitihani darasani ulikuwa ukishika nafasi ya mwisho dhidi ya wanafunzi wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom