Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Umeiparamia vibaya hoja,nimekusudia baada ya kuwepo chanzo aliyeumba je kuna haja ya yeye kuwa na chanzo ?
Kama yeye aliyeumba hakuna haja ya yeye kua na chanzo, je kilichoumbwa kina haja ya kuwa na chanzo?

Hapa ulitakiwa uonyeshe haja ya yule ambaye ni chanzo kuwa na chanzo ? Je kuna weza kuwa na chanzo asili kuwa na chanzo ? Hapa unatakiwa kutuliza akili.

Nakuja kukupa maana ya chanzo / Asili.

Nipo .....
Kama hakuna haja ya kuwa na chanzo je utajuaje chanzo chake? Haja yakujua chanzo cha kitu ni muhimu na ndio maana ukijua unapata maarifa ambayo mwanzo hukuyajua

Sent using unknown device
 
Kama yeye aliyeumba hakuna haja ya yeye kua na chanzo, je kilichoumbwa kina haja ya kuwa na chanzo?

Kuwa makini kaka,sasa hicho kilicho umbwa kwa vipi kisihitaji aliyekiumba ? Haiyumkiniki hili.

Unafikir kingekuwepo vipi pasi na chanzo ?
 
Kama umetumia kigezo cha uwepo wa binadamu na ulimwengu ndio uwepo wa Mungu.... je, umetumia kigezo gani kujua kwamba Malaika nao pia wapo????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sababu malaika nao ni viumbe wameumbwa na Mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivgomo.

Hii hoja yako sikuiona,huwa najitahidi kujibu kila swali. Ukamilifu ni wa Mola pekee.
 
Kuwa makini kaka,sasa hicho kilicho umbwa kwa vipi kisihitaji aliyekiumba ? Haiyumkiniki hili.

Unafikir kingekuwepo vipi pasi na chanzo ?

Sasa utajuaje kua kimeumbwa pasipo kutafiti?

Kama haiwezekani kitu kiwepo bila chanzo, kivipi useme Mungu hana chanzo?

Hivi umetumia tafiti gani mpaka ukajua hana chanzo?

Sent using unknown device
 
Nacheka sana. Huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake.
Unacheka au unajicheka?? Utakua tu unamatatizo ya utaila kama utakua hujanielewa

Narudia tena

Kitu ambacho hakipo wala hakijawahi kuwepo ila kina jina ni MUNGU

Sent using unknown device
 
Sababu malaika nao ni viumbe wameumbwa na Mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivgomo.

Hii hoja yako sikuiona,huwa najitahidi kujibu kila swali. Ukamilifu ni wa Mola pekee.

Sio "vilivgomo" sahihi ni vilivyomo

Sent using unknown device
 
Sababu malaika nao ni viumbe wameumbwa na Mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivgomo.

Hii hoja yako sikuiona,huwa najitahidi kujibu kila swali. Ukamilifu ni wa Mola pekee.
Unathibitishaje kwa kutumia njia ya milango 5 ya fahamu kama...ulivyofanya kwa muumba mbingu na ardhi....? Kwamba tunajua Mungu yupo kwa kijiangalia sisi wenyewe na ulimwengu ulivyo....

Kwa malaika umetumia njia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni kosa la kiuandishi tu,na si umbile la neno. Sikukusudia kuandika "vilivgomo" wakati wengine wakiandika "zambi" wanajua ndio sahihi.
Na ndio makosa ambayo yanakuja kutokana na kuandika kwa kukosea, ulitaka nisikusahihishe kua umekosea kutamka wakati umetumia maandishi kuwasilisha hoja yako?

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom