Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kwaiyo quraan aliyeandika ndiye alimchungulia mungu akajua jinsia yake?

Sent using unknown device

Wewe ulijuaje kama baba ako ni mwanaume ? Ulimchungulia au ilikuwaje ?

Mbona unauliza maswali ya kitoto sana na kijinga mno ? Unajua najitahidi sana kukuvumilia nikujibu maswali yako,lakini naona unazidi kuuliza maswali ya kijinga na kitoto.

Angalizo,kuna hoja zako au maswali yakl ukiona sijakujibu ujue nimeyapuuza ni hila.
 
Mola amejielezea mwenyewe kupitia Qur'aan na maneno ya mtume wake amani ya Allah iwe juu yake.

Hakuna binadamu anae weza kumuelezea Mola muumba kwa akili yake bila ya msaada wa ufunuo (Qur'aan na maneno ya mtume wake amani ya Allah iwe juu yake).
Unajuaje ni maneno yake?? Kwanin wengine hatujui kama ni maneno yake??

Kwahiyo kawaambia kabisa peponi ataenda kuwapa wake 72 na nguvu za kuwashughulikia hadi wanawake 100???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje ni maneno yake?? Kwanin wengine hatujui kama ni maneno yake??

Ninayajua kama ni yake kwa kutumia Elimu ya uhakiki wa habari.

Wengine hamjui sababu hamtaki kujua,kwani hakuna aliyezaliwa ana jua.
 
Wewe ulijuaje kama baba ako ni mwanaume ? Ulimchungulia au ilikuwaje ?

Mbona unauliza maswali ya kitoto sana na kijinga mno ? Unajua najitahidi sana kukuvumilia nikujibu maswali yako,lakini naona unazidi kuuliza maswali ya kijinga na kitoto.

Angalizo,kuna hoja zako au maswali yakl ukiona sijakujibu ujue nimeyapuuza ni hila.

Ukishasema baba tayali ni mwanaume kibaiolojia halafu pia ni mtu anaye onekana tofauti na huyo mungu wako aiyeonekana halafu ana jinsia.

Ishu ya Mungu kua na jinsia mlijuaje wakati umesema haonekani?

Sent using unknown device
 
Ninayajua kama ni yake kwa kutumia Elimu ya uhakiki wa habari.

Wengine hamjui sababu hamtaki kujua,kwani hakuna aliyezaliwa ana jua.
Elimu gani ya uhakiki inayokufunza kuamini na siyo kujua??

Ukisha hakiki kinachofata ni uthibitisho ukiambatana na ujuzi sio maswala ya imani unataka kutuongopea hapa siyo?

Sent using unknown device
 
Ukishasema baba tayali ni mwanaume kibaiolojia halafu pia ni mtu anaye onekana tofauti na huyo mungu wako aiyeonekana halafu ana jinsia.

Ishu ya Mungu kua na jinsia mlijuaje wakati umesema haonekani?

Sent using unknown device

Hapa natakiwa nikupe somo la mifano na kunukuu,kwa mifano kimaana na mifano kimatendo,mfano wangu umejikita katika maana.

Bado sijatoka kwenye mipaka ya kile nilichokusudia.
 
Elimu gani ya uhakiki inayokufunza kuamini na siyo kujua??

Ukisha hakiki kinachofata ni uthibitisho ukiambatana na ujuzi sio maswala ya imani unataka kutuongopea hapa siyo?

Sent using unknown device

Huanza elimu kwanza kisha inafata imani na kutenda.

Kwa maana hiyo nimejua kwanza kisha nikaamini.
 
Nafikiri hata wewe ungeelewa maana ya hilo neno basi pia hata usingekuwa unabishana hapa kwamba na kusema et hakuna Mungu kwa sababu hakuna uthibitisho.
Nasisitiza tena ukielewa maana ya uthibitisho usinge toa hoja ya kishamba kama hiyo,

Tangu lini uthibitisho ukafanywa kwenye vitu ambavyo havipo?

Ebu nikuulize unatumia procedures zipi kuthibitisha kisichokuwepo??

Sent using unknown device
 
Hapa natakiwa nikupe somo la mifano na kunukuu,kwa mifano kimaana na mifano kimatendo,mfano wangu umejikita katika maana.

Bado sijatoka kwenye mipaka ya kile nilichokusudia.
Unataka kunipa mfano wa Mungu??

Nimekuuliza iweje mungu asiyeonekana ukajua jinsia yake?

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom