Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Hivi wakuu hiki kipande cha chalinze hadi Mlandizi kimeishapona au manake sijapita siku nyingi njia iyo huwa napita bagamoyo tu siku hizi kwenda Arusha
daah hiyo barabara mbovu sana
 
Kwa kuwa naenda sana Kilimanjaro, ile kipande baada ya kutoka hotelini hadi kufika same panaboa sana hasa ukiwa idle tu. Kwa kurudi ni Segera mpaka kuipata Wami. Unaweza hisi umeshinda siku nyingine kwenye gari!
Hiyo kipande inakera
 
Kwa kuwa naenda sana Kilimanjaro, ile kipande baada ya kutoka hotelini hadi kufika same panaboa sana hasa ukiwa idle tu. Kwa kurudi ni Segera mpaka kuipata Wami. Unaweza hisi umeshinda siku nyingine kwenye gari!
kweli kuanzia pale same hadi Moshi barabara ni mbovu sana mashimo kibao...
Ukifika segera hadi uipate chalinze parefu sema njia nzuri unatembea tu
 
Hahahaaa nyakanazi to kigoma patamu sana ukipanda Kiazi kitamu au coastline ukishuka ni vumbi tupu..
Nakumbuka Mara ya kwanza naenda kigoma tulipita hyo njia tulikuwa tumepanda adventure tupofika tulikuwa tumechafuka na vumbi utazani tumetoka machimboni
 
Mzee si Sawa au sijakuelewa..Barabara ya Mbeya Tunduma ni raha tupu lami nzuri kasoro foleni Za Tunduma ukifika.Barabara Dume Kigoma Kasulu mpaka Nyakanazi...Hii mpaka ushibe Ndio usafiri
Ni nyembamba sana na kuna traffic kubwa ya malori plus mikoba kona milima miteremko sema ina vijiji na miji mingi imechangamka huwi mpweke
 
Its true kinachonishangaza ni kwamba kipande hiki miaka nendarudi kipo hivi lkn ndio barabara yenye uchumi mkubwa sana na kiunganishi cha nchi
Serikali haiko seriac,Tanzam road iko Bize sana kutoka ubungo to chalinze hadi Morogoro na kutoka uyole Mbeya hadi tunduma,hivi vipande vingejengwa dual carriage viko bize sana lakini road ni finyu
 
Kabisa Mkuu yaani kipande cha barabars kutoka Mbeya Mjini hadi Tundums ni balaa.

Roho huwa juu kweli,full mavumbi,Mchoko kama wote Daah
 
Back
Top Bottom