Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Kuna barabara ya Geita-Kahama licha ya kuwa inaunganisha sehemu zenye utajiri lakini ni vumbi na changarawe kama mawe!

Ukiwa na tatizo la tumbo sio ya kupita maana sizani kama mwisho utakuwa salama.
 
Njia nzuri sana hiyo mkuu, Bunju-Bagamoyo imekaa powa kabisa
Hivi wakuu hiki kipande cha chalinze hadi Mlandizi kimeishapona au manake sijapita siku nyingi njia iyo huwa napita bagamoyo tu siku hizi kwenda Arusha
 
Kwa kuwa naenda sana Kilimanjaro, ile kipande baada ya kutoka hotelini hadi kufika same panaboa sana hasa ukiwa idle tu. Kwa kurudi ni Segera mpaka kuipata Wami. Unaweza hisi umeshinda siku nyingine kwenye gari!
Nilitaka na Mimi niandike hii Mkuu.... Hiki kipande sijawahi kukipenda Kabisa..
 
Back
Top Bottom