Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Hahahahha nimepita hapo jana. Yani nikishafika mombo nikielekea Gonja huwa nawaza sana hicho kipande mpaka Gonja Maore kabla ya kupanda mlima
kupanda milima ya usambara. VUDEeeee----KIHURIO---Gonja---Kisiwani__Same.
 
Hamna kipande kinanitesa kama kutoka muheza hadi kwenye mashamba ya chai unaweza sema haupo tanzania
 
Wasalaam

Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau!

Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Katika safari zangu za mkoa wa Rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika Mbeya Mjini nikianza kuitafuta Tunduma.

Sijui wewe mdau kipande gani kinakutesa kutokana na Barabara kutokuwa rafiki na hali ya safari kwa ujumla
Hicho kipande kimeharibiwa sana na TRUCKS za mizigo za masafa marefu
Tz to DRC,ZAMBIA,N.k) hakina viraka ila kina matuta sana mkuu,mfano ukifika mlima CHENGURA unapoitafuta Sogea,unaweza hisi unapitisha Gari kwenye shamba lenye Matuta
N.B
Barabara ni ya zamani,inabidi wajenge kama ya tunduma-Swanga

Na Route ya Tunduma -Swanga ,kuna matuta (Ridges) za kutosha mpaka kero
 
Its true kinachonishangaza ni kwamba kipande hiki miaka nendarudi kipo hivi lkn ndio barabara yenye uchumi mkubwa sana na kiunganishi cha nchi
 
Huu uzi niliuchukulia poa kumbe ni bonge la nyuzi. Sasa hawa viongozi wetu wangekuwa wanapita pita maeneo haya wangepata sababu ya kufanya mtaji kwenye kampeni zao ila wapo fofofo
 
Binafsi kipndecha kitonga hiki hunitia ukakasi sikipendi kabisa mimi

Pia ruaha chini kupandisha stendi ya iringa i dislike this places kwa kweli
 
Nyakanzi to kigoma
Hii njia n mbovu baala hakuna lami plus vumbi linaingia had ndani ya gar, plus risk ya kutekwa na majambazi plus magari yote yanayopta njia hii ni choka mbaya hakuna Luxury... Utajuta
Nyakanazi, Kakonko, Kibondo, Kasulu hadi Mwandiga......
Hakika kipande hiki hakifai kabisa kwa matumizi ya usafiri binadamu
 
Singida - Arusha.
Barabara ina maaskari ile hadi inakera, kila wakati kusimama.
 
Nyakanzi to kigoma
Hii njia n mbovu baala hakuna lami plus vumbi linaingia had ndani ya gar, plus risk ya kutekwa na majambazi plus magari yote yanayopta njia hii ni choka mbaya hakuna Luxury... Utajuta
Zile Tata zimeandikwa Trump vip nazo choka mbaya?
 
Back
Top Bottom