Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Hivi wakuu hiki kipande cha chalinze hadi Mlandizi kimeishapona au manake sijapita siku nyingi njia iyo huwa napita bagamoyo tu siku hizi kwenda Arusha
Hiki kipande kilisha karabatiwa, ingawa ukarabati ulikua wa hovyo na wakaweka lami ambayo imekua kama dongo la mfinyanzi pale kwa jinsi lami ilivyo jikusanya penye ambapo tairi za magari hazikanyagi. Na kwa tatizo hili, wale wenye magari ya chini (madogo) wanatakiwa wachukue tahadhari sana kwasababu pana uwezekano mkubwa wa kupasua engine oil sump
 
Sipendi sehemu yoyote yenye traffic jam. Bora hata ruff road ntapiga shimo ntapotea, sipendi jam kwenye harakati zangu zote
 
Katikati ya Itigi na Tura Tabora Dar via itigi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hakika hili eneo ni majanga mkuu, maana lina mashimo kama mahandaki aiseeee...... na eneo hasa linalo nikera ni pale daraja la mwisho kabisa kama unatokea Itigi - Tabora, kabla ya kufika kwenye lami. Lile eneo huwa naomba Mungu nipite pakiwa mvua haijanyesha, maana sio kwa mfinyanzi ule na utelezi
 
mbezi mwisho hadi chalinze, barabara mbovu sana
 
mpakani mwa shinyanga na mwanza,,,,, barabara ya ya hakuanzia hapo mpakani mpaka ilula ni hovyo sana

na misasi-mwanangwA
 
Hiki kipande kilisha karabatiwa, ingawa ukarabati ulikua wa hovyo na wakaweka lami ambayo imekua kama dongo la mfinyanzi pale kwa jinsi lami ilivyo jikusanya penye ambapo tairi za magari hazikanyagi. Na kwa tatizo hili, wale wenye magari ya chini (madogo) wanatakiwa wachukue tahadhari sana kwasababu pana uwezekano mkubwa wa kupasua engine oil sample
Oil SUMP not sample
 
Segera to Chalinze!
umeniwahi mkuu, Segera to Wami kwangu ni janga, ni kipande kirefu na chenye kuchosha sana, Sehemu nyingine ni Minjingu to Arusha, Longido to Arusha, Gairo to Dodoma.
 
Back
Top Bottom