tameer
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 773
- 1,461
Hapana,zile shimo unaweza kuhisi barabara imeachwa kwa ajili ya kumbukumbu ya mahandaki enzi za vitaUnaogopa ile milima? K5, K9.?
Hapana,zile shimo unaweza kuhisi barabara imeachwa kwa ajili ya kumbukumbu ya mahandaki enzi za vitaUnaogopa ile milima? K5, K9.?
Kigamboni ina kero pia ukipita kibada kuna ile sehemu ina itwa Kona ya jeshiHamia kigamboni uwe unapiga mbizi kama mzee baba alivyosemaga enzi zile![]()
But angalau hautumii muda mrefu kukivukaKigamboni ina kero pia ukipita kibada kuna ile sehemu ina itwa Kona ya jeshi
pale panaboa sana,kwanza ukisafiri kw basi mkifika hapo hutaona mtu kwny basi anachati wala musikiliza muziki,chaajabu sana hata mtt mdogo wa miez miwili hutulia tuliiiii,utaskia muungurumo wa gari tu,panazingua sana,na mkivuka tu hapo hata breathrate na heartbeat-rate za watu hurud kwny ukawaida wakeMtera to iringa mjini![]()
mwaka juzi mwezi wa tatu nipo na new force la dar-songea,maeneo ya kifanya madaba huko tukashangaa limeanza kufyeka miti,hatujakaa sawa tukaskia kishindo kikubwa TIIIIIIIII,akili zinakuja kukaa sawa naning'inia kwny mkanda kichwa chini miguu juuu,zile kona acha tuuuNjombe to songea, zile corner utumbo wote unavurugika
pale panaboa sana,kwanza ukisafiri kw basi mkifika hapo hutaona mtu kwny basi anachati wala musikiliza muziki,chaajabu sana hata mtt mdogo wa miez miwili hutulia tuliiiii,utaskia muungurumo wa gari tu,panazingua sana,na mkivuka tu hapo hata breathrate na heartbeat-rate za watu hurud kwny ukawaida wake
Mbukweni , Mpwapwa sehemu ghani?Mbande - Mpwapwa.
Plus iyovi kanjia kadogo na hakuna mistari barabaraniMikumi-ruaha, daah iyovi inachosha!
Tunduma-swax, zile bamps ukifika mwili unauma
Morogoro to dar es salaam 200km unatumia masaa 6.Wasalaam
Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau! Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Ktk safari zangu za mkoa wa rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika mbeya mjini nikianza kuitafuta tunduma sijui wewe mdau kipande gani kinakutesa kutokana na Barbara kutokuwa rafiki na hali ya safari kwa ujumla.....
sehemu korofi sana hii, unaweza jikuta upo nje ya lamiHivi wakuu hiki kipande cha chalinze hadi Mlandizi kimeishapona au manake sijapita siku nyingi njia iyo huwa napita bagamoyo tu siku hizi kwenda Arusha
Ile big jii nilikua siipendi balaa tangu njia ya bagamoyo iishe sijawai pita hukosehemu korofi sana hii, unaweza jikuta upo nje ya lami
Hii sehem ni shida yani kuna vijiji pia vinanchangany'a majina mbayaSegera to Chalinze!
asa hichi kipande kinakukera niniMtera to iringa mjini![]()