Zile kona mkuu sio poa, btw sijawahi kupita kabla ya lami.Vp bado mikasa hata baada ya kuwekwa lami
mrembo ukija mikononi mwangu hutojuta[emoji23]nina ghorofa la upendo(sio nyumba)[emoji23][emoji23][emoji23]
heaven sent[emoji7][emoji7][emoji7]
Hebu mwambie[emoji19]hana hata msaada Mwifwa
Mie nakifurahia sana hiko kipande yan ni mwendo wa dk 35 had 40Nzega to Igunga sijui kwa nini Ila huwa pananikera sana
Nilipita wakati huo 90s,sasa fikiria na mvua ilikua inanyesha balaaZile kona mkuu sio poa, btw sijawahi kupita kabla ya lami.
Mimi kuanzia pale Ruhaa sheli mpaka Mang'ula mpaka Ifakara ni balabala ya vumbi kipindi cha mvua ni balaa na ni kilometers nyingi zaidi ya 80.Mikumi-ruaha, daah iyovi inachosha!
Tunduma-swax, zile bamps ukifika mwili unauma
Mwenge -tegeta??? HahaaaMwenge-Tegeta
Nyakanzi to kigoma
Hii njia n mbovu baala hakuna lami plus vumbi linaingia had ndani ya gar, plus risk ya kutekwa na majambazi plus magari yote yanayopta njia hii ni choka mbaya hakuna Luxury... Utajuta
Kipande kwanzia Mbeya hadi Tunduma kinanikera maana kuna traffic wengi barabarani na wananjaa ile mbaya, ukipita bila kusimamishwa ushukuru Mungu tu.Wasalaam
Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau!
Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Katika safari zangu za mkoa wa Rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika Mbeya Mjini nikianza kuitafuta Tunduma.
Sijui wewe mdau kipande gani kinakutesa kutokana na Barabara kutokuwa rafiki na hali ya safari kwa ujumla
Duuh....kipande hicho idadi ya matuta ni mengi kushinda kilometa za barabaraSi hivyo tuu! Kuna kutoka Tunduma kuelekea Laela, kuna matuta mengi hadi kero! Matuta kama ya viazi.[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
mwaka 2016 huyo new force aliua watu wengi maeneo hayo....mi siku hizi najipitia njia ya Lindi, japo ndefu lkn potelea mbalimwaka juzi mwezi wa tatu nipo na new force la dar-songea,maeneo ya kifanya madaba huko tukashangaa limeanza kufyeka miti,hatujakaa sawa tukaskia kishindo kikubwa TIIIIIIIII,akili zinakuja kukaa sawa naning'inia kwny mkanda kichwa chini miguu juuu,zile kona acha tuuu